Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

Sasa kama nawe damn Fool umeshazaa nae si ni lazima tu utajitutumua Kumtetea hapa? Wala hatukushangai sana sana tunakuonea tu Huruma kwani kwa haya Mapungufu yako hauko mbali kuwa Psychopath.
 
Ukiwa na akili timamu hauwezi kushawishiwa na MANGE KIMAMBI hata kidogo.. wafuasi wake wengi ni wanaenda kama hawaendi.. hivi nimsikilize mange kweli.. maandamano yake yalee yalionesha tosha kama hana mtu anayemsikiliza tatizo watanzania tunapenda tu UMBEA hili ndio tatzo ila hakuna anayemsikiliza seriously
 
Nne...mm nna ushahidi kutoka kwa mwanadada aliekuwa anaimba kwaya kwenye kanisa la jamaa mmoja anaejiita MTUME NA NABII namna alivyokuwa akitakwa kimapenzi na mtumishi huyo wa Mungu

Hebu weka sawa rekodi hapa watu wapate kupona...
 
Sasa kama nawe damn Fool umeshazaa nae si ni lazima tu utajitutumua Kumtetea hapa? Wala hatukushangai sana sana tunakuonea tu Huruma kwani kwa haya Mapungufu yako hauko mbali kuwa Psychopath.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa haya Maelezo yako yaliyojaa Chuki kwa Mange Kimambi mbona hata Wewe unaonekana ni Mbea Mwandamizi vile vile?
 
Mama Mwamposa alitambulishwa siku moja tu madhabahuni tena baada ya waumini kuanza kunong’ona you wapi mama Mchungaji, kwani mke wa Mchungaji huwa kiongozi wa Women Forum kanisani.
Mlioamini mlipigwa ( mlidanganywa ) na Ukweli ni kwamba hakuwa Mkewe kweli ila alitengenezwa ili Kuletwa Kwenu muamini muache Kulijadili hilo na Kumjadili Yeye Womanizer, Mshirikina na Tapeli wa Kiimani wa Tanganyika Packers Kawe.
 
Dhambi huwa haijifichi, lazima ikuumbue, hata angeomba na kuomba Kama mtoto inabidi azaliwe angezaliwa tu. Mtoto Hana hatia, dhambi ya baba na Mama yake haimuhusu, labda uovu atabeba.

Uzinzi unawatafuna wengi sana madhabahuni, Mungu atusaidie. Dhambi Imekomaa tayari imezaa na mauti juu,

Huwa nasema dhambi zote unaweza tubu ukajiona mwepesi, uzinz jamn unakumaliza had usimame tena, Neema ya Mungu na kumsaka Mungu kwa nguvu zaidi unahitaji

hakuna haja ya kumtetea mtumishi, acha Mungu wake amtetee, Mungu anatabia ya kukutetea mwenyew hana msaidizi.
miungu Sasa itatafuta na usaidizi wa binadamu Kama kule kwa Gideon,( kitabu Cha waamuzi )

Kama Ni mtumishi wa Mungu aliye hai Mungu wake atamtetea, na Kama sio itaonekana,

Watu watafute Mungu binafsi na sio Mungu wa mtumishi, mwisho wa siku unajikuta unamuona mtumishi Kama mganga wako,akisemwa unalipuka na hasira juu. Lakini ukimjua Mungu, macho yako yataona tu hii madhabahu sawa hii sio sawa, akisemwa au hajasemwa haikistui cz unajua Mungu yupi unaye mwabudu
Mungu atuepushe na mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…