Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Nilimkuta Nabii Shilla anakata mauno pale nanii, Band inamtaja anamwaga mijihela tena ilikua jumamosi meaning jumapili alienda Kanisani kuhubiri neno la Mungu hehehehe sipati kusema huyo Mzee wa Upako na mwenziwe Gwaji Boy,
Hao wanaojiita Manabii na Mitume ni wazee wa Fursa usihadaike na mazingaombwe yao.
Hao wanaojiita Manabii na Mitume ni wazee wa Fursa usihadaike na mazingaombwe yao.