miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Yaan na wanawake ndo tunaongoza kwa kiwa mazuzu..Hizo Sadaka wanazotoa Masikini Wapumbavu kila Will Kwake ndiyo amezitumia Kununua Nyumba nzuri na yenye Eneo Kubwa ya aliyekuwa Rubani wa Ndege wa Hayati Mwalimu Nyerere kwa Shilingi Bilioni 2 hapo Avocado Mikocheni mita chache tu kutoka ilipo Tripple Seven Hotel na nyumba ya Mkwewe Rais Dk. Mwinyi wa Zanzibar.
Cc: LIKUD
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app