Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hizo ni sifa za Mungu katika dini ya Uislamu.
Kila dini Ina sifa za Mungu wake, usiforce standards unazotumia wewe zifanane na za wengine. Dini kama ya Kihindu, Mungu wao anaonekana sasa utamuambia nini Mhindi?
 
Umemjibu vizuri kila dini Ina Mungu wake, hata Mungu wa Biblia ni tofauti na Mungu wa kitabu tukufu cha Qur'an.
 
Safi "Ibada Inapigwa Kwa Mwanakondoo Wa Mungu Kama Kawaida Ameketishwa Mkono Wa Kiumeni"
 
Hizo ni sifa za Mungu katika dini ya Uislamu.
Kila dini Ina sifa za Mungu wake, usiforce standards unazotumia wewe zifanane na za wengine. Dini kama ya Kihindu, Mungu wao anaonekana sasa utamuambia nini Mhindi?
Tupo sifa za Mungu wako wewe, ili tupimane uelewa
 
Hili nalo nililifanyia utafiti na wale watu warefu wanaoishi baharini na wanazungumza kiarabu..Baadhi yao walisema vitu tata sana.....
"Vitu tata sana." Thread na episode hiyo kuhusu tofauti ya Mungu wa Quraan na WA BIBLIA ni lini ndugu Nelson?
 
Mzeebaba sijasoma yote ila uchawi au ushirikina haupo ni story za kusadikika zinazoshamiri sana kwenye jamii za watu wajinga na maskini ndo maana ni rahisi mtu wa Chitipa kuamini karogwa kuliko mtu wa Masaki achilia mbali Ulaya na bongo.
Hujawahi kurogwa wewe
 
Wewe ndugu yetu au nawewe ni miongoni mwao hao watu warefu
 
"Vitu tata sana." Thread na episode hiyo kuhusu tofauti ya Mungu wa Quraan na WA BIBLIA ni lini ndugu Nelson?
Kuna miungu ya kila dini.Mungu wa walokole ni tofauti na Mungu wa waislamu.Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mungu wa Quran na Mungu wa Biblia.Lakini binadamu wanawachanganya hawa miungu wawili.
 
Sasa wewe kama Islamic unajuaje kama wakristo wanamwabudu Mungu asiyefanana na wa kwenu? Kwanini mnapenda kulazimisha Mungu wetu na wa kwenu wafanene? Nyinyi mnalazimisha kuwa yesu ni nabii issa na sisi hatumjui huyo issa achenu kufosi ukristo ufanane na nyinyi.
 
Kuna miungu ya kila dini.Mungu wa walokole ni tofauti na Mungu wa waislamu.Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mungu wa Quran na Mungu wa Biblia.Lakini binadamu wanawachanganya hawa miungu wawili.
Hapo hujakosea,kweli kuna tofauti. Mfano mungu wa waislamu wanasema hana mwana na Yule wa walokole Ana mwana. Mungu wa waislamu anawaambia wafuasi wake wafunge mwezi wa Ramadan na Mungu wa walokole anawaambia wafunge bila kujionyesha au kujitangaza kuwa wamefunga.Tofauti ni nyingi sana,hata namna ya kusali iko tofauti sana,walokole wanalia,waislamu hawalii.
 
Na BADO unasema sheria zipitazo ulimwengu wa mwili lakini wewe hujatuambia ni nani? hizo
Sheria zipitazo ulimwengu wa mwili ni zipi ambazo wewe unazifahamu? Huu ni ujinga na si kosa langu huenda wazazi wanasikitika

Circular reasoning fallacy

Ulichoandika ni kuendelea kuonyesha ujinga wako. Hujathibitisha kama mungu muweza wa yote, mwenye ujuzi wote na upendo yupo.

Baba mwenye watoto wanne halafu mmoja atukane aende kuua watatu waliobaki huyo ni katili kama makatili wengine. Halafu anajisifu mungu mwenye haki!!!
Unathibitisha vipi mungu wako ndiyo aliyeumba ulimwengu wakati kuna stori za mungu walioumba ulimwengu zaidi ya30 kutoka afrika, zaidi ya 15 toka america kusini zaidi ya70 kutoka Asia na bado

Mungu mjuzi wa yote
Bado hujathibitisha mungu yupo zaidi ya stori ila kwakua ushaamua kuwa kondoo sitakulazimisha maana tukianza kuleteana stori za mungu walioumba dunia hapa hatutamaliza ambazo n stori zilizotumika kuishape jamii husika.
Ukipata uthibitisho wake tujuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…