Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mkuu uzi huu umenipa hamasa Sana ya kusoma neno, wakati nafuatilia Habari za muonekano wa Malaika aka watu wa refu wanaoakisi mwanga Nika kutana na neno hili ambalo kiasi kikubwa linathibitisha usemayo, waebrania 1:7..na kwa Habari ya Malaika kasema, a fanya Malaika wake kuwa pepo na watumishi wake kuwa miali ya moto.. Pia Waebrania 1:13-14,je hao wote si roho watumikao, wa kitumwa kuwa huduma wale watakaourithi wokovu?
Kama unaesoma hujaokoka nakusihi kimbilia Neema hii ya wokovu Kuishi kama mwana wa mfalme... Tunapendwa sie.. Tunalidwa balaa... YESU nakushukuru kunifungua Macho ya Rohoni nikaona thamani ya Wokuvu Mkuu namna hii🙏🙏
Ndugu hakuna usalama nje ya ubinadamu zaidi ya kua na ushirika na roho za kiungu zinazokulinda...Kuokoka maana yake kua na usharika wa moja kwa moja na mwana wa mmliki""Nyota ya mashariki""au mungu wa walokole (Ana majina mengi) ila katika ulimwengu wa roho anaitwa mkuu wa wakuu au mmliki wa mfumo wa ulimwengu na sayari zake.
 
Watu wa Middle East ni waarabu mkuu ndo nilimaanisha, achana na Wayahudi wa Sasa walioko Israeli mi nawaona kama wazungu vile.
Wayahudi wapo hivyo toka zamani,hawafanani na waarabu sababu ni wa asili ya waajemi wa kimespotania wanaopatikana katikati ya bara asia.Jamii nyingi za asia ya kati zilikua zinahama hama mpaka mashariki ya kati na kuchangamana na jamii za wazawa.Hata waarabu asili yao pia ni asia ya kati.Jamii za asili ya mashariki ya kati ni Hazid,s na Kurd,s na Wakanaani,s na Wafilisti,s na Waamori,s na Wabedui,s.Zipo nyingi hizo ni chache tu.....
 
Thanks but you have not replied my questions;

  • do they use the same Bible?
  • and if they believe that Jesus stays in their heart etc than what are the current beliefs of those attending the Churches of the Catholics and Lutherans?

- Why do the preachers utilize 'oil' and charge for 'treatments'??
Walokole ni watoto waaminifu wa Mungu ambao wamemchagua Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wao!

Walokole si dhehebu lililofanywa na wanadamu bali ni kanisa la Mungu. Kwa sasa limetawanyika sana kama alivyosema mleta uzi! Wapo waaminifu ndani ya Lutherani, wapo waaminifu ndani SDA, wapo waaminifu ndani ya Katoliki nk

Soma:
YOHANA 10:14-15
„Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi; kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.“

Soma pia:
YOHANA 10:16
„Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.“

Kwa sasa kuna matengano:
YOHANA 10:19-21
„Kukaingia tena matengano kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo. Wengi wao wakasema, Ana pepo huyu, tena ana wazimu; mbona mnamsikiliza? Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je, pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?“

Kuna siku mwenyewe atawakusanya walio wake toka kila Kona! Kwa sasa kawaacha wamee na magugu!

Mathayo 13:30​

Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ”

NDIYO WANATUMIA BIBLIA MOJA! Haijalishi popote walipo! Katika ulimwengu wa kiroho wao ni wamoja!

Yn 17:21-23 SUV​

Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
 
NINAENDELEA......!!!
Mungu wa walokole ambae ndio mkuu wao anawajua watu au washirika wake kiroho na kimwili.Kiroho kila pumzi wanayotoa walokole ni uhai na wanaongozwa na utulivu wa akili na mioyo mnaita(Upendo)......!!!!
Walokole wanaposali basi mambo haya hutokea wakiyatamka.
NAFUNGA:Basi kunatokea vizuizi vya kingo za moto na wanafunga njia.
NAKEMEA:Basi kunatokea radi za moto na kuelekea kule kuliko kemewa.
NABARIKI:Basi kunatokea wingu jeupe linafunika kulikobarikiwa.
KWA JINA LA""YESU"": Hapa tusikilizane kidogo maaana ndipo penye kiini cha walokole wenyewe.Huyo yesu ni nani na kwanini walokole wanapomtaja ni kama kunatokea mtetemo wa aridhi na anga katika ulimwengu wa kiroho.Huyo yesu ni mlinzi mkuu wa walokole ambae jina lake halitajwi hovyo na walokole mpaka wawe kwenye matatizo.Ni kamanda wa wale watu warefu na anaakisi mwanga mara trioni kuliko mwanga wa jua.Ulimwengu wa kinajimu ndio yule wanamuita mwana wa mmliki au nyota ya mashariki au Issa.Hawawezi kutamka jina lake sababu halipo katika herufi za kibinadamu kiroho,ila linasomeka kwa kilatini kama""Alfa na Omega""maana yake mmliki wa wamiliki asiye na mwisho.
SIFA ZA HUYU YESU WA WALOKOLE
MOJA: Anao usharika na wale watu warefu ambao wana usharika na walokole.Yeye ndio kamanda wao
MBILI: Yeye na mungu wa walokole ni kitu kimoja na katika ulimwengu wa kinajimu waga hawatenganishwi.
TATU: Ni mkuu wa dini na imani ya walokole na ndie anaewalinda dhidi ya wanajimu na wachawi na washirika wao wa baharini.
Ninamzungumzia huyu yesu sababu walokole wana mihuri ya jina lake usoni mwao.Na jina lake ndio mwongozo wao,wakilitamka tu ulimwengu wote wa kiroho unatikisika.
NNE: Huyu yesu wa walokole ndie aliewafukuza wale watu warefu wa baharini kutoka angani za nje ya mfumo wa jua baada ya wao kupingana nae baadhi ya vitu miaka trioni elfu iliyopita.Wanajimu wanasema kua kimondo kilichoanguka duniani miaka bilioni sita hivi iliyopita kua kilikua ni rundo la wale watu warefu waliofukuzwa na huyu yesu wa walokole kutoka anga za mbali.
TANO: Sifa ya tano ya huyu yesu wa walokole ni kua ni marufuku,hapa nasisitiza NI MARUFUKU KWA WANAJIMU NA WAGANGA NA WACHAWI NA WASHIRIKA WAO WA BAHARINI KUMTAJA KWA JINA LAKE HILI LA ""YESU"".Wanaweza kumuita majina yoyote yale ila sio kwa jina hili.Sababu lina upinzani nao kiroho.Na hizi ndio sifa za yesu wa walokole.....TUENDELEE.........!!!!!!
Kuwaelewa walokole lazima kwanza uelewe muonekano wao kiroho upoje,ngoja nifafanue kidogo.
Walokole sio watu dhaifu kiroho kama watu wanavyodhani.Utasemaje watu dhaifu wakati wakiwa njiani kiroho wanaongoza vikundi vikundi vya walinzi wa kiungu.Utasemaje watu mafukara wakati kiroho zile taji zao ni za madini ya Lulu.Utasemaje hawana akili wakati kwenye ulimwengu wa kiroho sayansi yao imeshindikana kuigwa.Tofauti yao na binadamu wa kawaida ni kwamba wao walokole wamekaa sana kiroho kuliko kimwili.
Wale watu warefu wanatembea na walokole popote pale iwe barabarani au kwenye daladala au bafuni au chooni au kitandani au shambani au ofisini au kwenye mikusanyiko ya ibada na ni kama mapacha wa wa wale watu warefu wenye kushika panga za moto kuwalinda.Mungu wa walokole kawapa upendeleo wa ajabu walokole.Ukiwachunguza kinajimu unajikuta unaanza kuvutiwa nao.Mzee matata aliniambia ukiendelea kuwadadisi basi ipo siku na wewe utakua mlokole na utajikuta unakua kama wao kiroho.Basi nikamuuliza mzee matata wewe upo upande upi kiroho????? Akanijibu na kusema,"""Mjukuu wangu endelea na utafiti wako usinihoji""...Kuna vitu nikawa najiuliza na nikapanga nikawaulize walokole wa kanisani mambo yafuatayo:
MOJA: Je wanajua wanalindwa na watu warefu?????
MBILI: Je wanajua nguvu za hilo jina la""Yesu""????
TATU: Je wanajua kua wao ndio wanaongoza kwa sayansi ya kiroho kuliko makundi mengine????
NNE: Je wanawajua wapinzani wao kwenye ulimwengu wa kiroho??????
TANO: Je wanajua kua wao kiroho ni kama watu wa ulimwengu mwingine na sio dunia hii ya kimwili toka siku walipoamua kua walokole na kuamua kufanya usharika na mkuu wa wakuu na mwanae aitwae""Nyota ya mashariki au Mwana wa mmliki????.
SITA: Je wanajua kua yale matunda yao ya rohoni waga yanaonekana mwilini mwao kiroho wakitembea?????
SABA: Je wanajua miili yao ni kama mahekalu ya moto na ni makazi ya wale watu warefu mda wote???!!!
NANE: Je wanajua kua wakiwa na huzuni na Yesu wao anahuzunika pia na wakiwa na furaha na Yesu wao anafurahi pia na wakiomba anaomba nao na wakiimba anaimba nao
TISA: Je wanajua wao ndio muhimili wa dunia dhidi ya mashambulizi ya wale watu wa baharini na wachawi na waganga na wanajimu??????
KUMI: Je wanajua maana halisi ya neno ulokole ni mnyambuliko wa maneno mawili ya kiroho ambayo ni UPENDO USIO NA MIPAKA NA UTAKATIFU ULIOKAMILIKA????????
Maswali yote hayo nikapanga nitayatafutia majibu ya kiudadisi zaidi ili nijiridhishe na utafiti wangu kuhusu nguvu za mungu wa walokole...
NITAENDELEA.............!!!!
 
Kwanini? Unataka kupinga na kubisha maana sasa kuna Roho ya ibilisi imeachiliwa kwa wanadamu kupinga chochote kisemwacho au kishuhudiwacho kuhusu nguvu, amani na uwepo wa Mungu ila kusifia kuhusu pombe na ngono.
Ww upo upande upi tuanze sasa...
 
Kuna kipindi jamaa mmoja alinitishaga na kunipandikizia Roho ya mauti. Nilikuwa naogopa sana kuhusu Mauti. Bwana akaniambia, unaogopa nini wakati wana wa Mungu hawafi utalala tu kusubiri siku ya kuamsha kwako.

Hili lilinijenga sana na toka kipindi kile, siogopi tena Mauti.
Tena hata kulala Kwa mtakatifu ni Hadi amalizie mission.

Siku zetu zimehakikiwa, zimehesabiwa, hakuna kifo Cha ghafula au kifo kabla ya wakati.

Aliyeokoka ana thamani kubwa sana mbele za Mungu.

Ubarikiwe.
 
NINAENDELEA......!!!
Mungu wa walokole ambae ndio mkuu wao anawajua watu au washirika wake kiroho na kimwili.Kiroho kila pumzi wanayotoa walokole ni uhai na wanaongozwa na utulivu wa akili na mioyo mnaita(Upendo)......!!!!
Walokole wanaposali basi mambo haya hutokea wakiyatamka.
NAFUNGA:Basi kunatokea vizuizi vya kingo za moto na wanafunga njia.
NAKEMEA:Basi kunatokea radi za moto na kuelekea kule kuliko kemewa.
NABARIKI:Basi kunatokea wingu jeupe linafunika kulikobarikiwa.
KWA JINA LA""YESU"": Hapa tusikilizane kidogo maaana ndipo penye kiini cha walokole wenyewe.Huyo yesu ni nani na kwanini walokole wanapomtaja ni kama kunatokea mtetemo wa aridhi na anga katika ulimwengu wa kiroho.Huyo yesu ni mlinzi mkuu wa walokole ambae jina lake halitajwi hovyo na walokole mpaka wawe kwenye matatizo.Ni kamanda wa wale watu warefu na anaakisi mwanga mara trioni kuliko mwanga wa jua.Ulimwengu wa kinajimu ndio yule wanamuita mwana wa mmliki au nyota ya mashariki au Issa.Hawawezi kutamka jina lake sababu halipo katika herufi za kibinadamu kiroho,ila linasomeka kwa kilatini kama""Alfa na Omega""maana yake mmliki wa wamiliki asiye na mwisho.
SIFA ZA HUYU YESU WA WALOKOLE
MOJA: Anao usharika na wale watu warefu ambao wana usharika na walokole.Yeye ndio kamanda wao
MBILI: Yeye na mungu wa walokole ni kitu kimoja na katika ulimwengu wa kinajimu waga hawatenganishwi.
TATU: Ni mkuu wa dini na imani ya walokole na ndie anaewalinda dhidi ya wanajimu na wachawi na washirika wao wa baharini.
Ninamzungumzia huyu yesu sababu walokole wana mihuri ya jina lake usoni mwao.Na jina lake ndio mwongozo wao,wakilitamka tu ulimwengu wote wa kiroho unatikisika.
NNE: Huyu yesu wa walokole ndie aliewafukuza wale watu warefu wa baharini kutoka angani za nje ya mfumo wa jua baada ya wao kupingana nae baadhi ya vitu miaka trioni elfu iliyopita.Wanajimu wanasema kua kimondo kilichoanguka duniani miaka bilioni sita hivi iliyopita kua kilikua ni rundo la wale watu warefu waliofukuzwa na huyu yesu wa walokole kutoka anga za mbali.
TANO: Sifa ya tano ya huyu yesu wa walokole ni kua ni marufuku,hapa nasisitiza NI MARUFUKU KWA WANAJIMU NA WAGANGA NA WACHAWI NA WASHIRIKA WAO WA BAHARINI KUMTAJA KWA JINA LAKE HILI LA ""YESU"".Wanaweza kumuita majina yoyote yale ila sio kwa jina hili.Sababu lina upinzani nao kiroho.Na hizi ndio sifa za yesu wa walokole.....TUENDELEE.........!!!!!!
Kuwaelewa walokole lazima kwanza uelewe muonekano wao kiroho upoje,ngoja nifafanue kidogo.
Walokole sio watu dhaifu kiroho kama watu wanavyodhani.Utasemaje watu dhaifu wakati wakiwa njiani kiroho wanaongoza vikundi vikundi vya walinzi wa kiungu.Utasemaje watu mafukara wakati kiroho zile taji zao ni za madini ya Lulu.Utasemaje hawana akili wakati kwenye ulimwengu wa kiroho sayansi yao imeshindikana kuigwa.Tofauti yao na binadamu wa kawaida ni kwamba wao walokole wamekaa sana kiroho kuliko kimwili.
Wale watu warefu wanatembea na walokole popote pale iwe barabarani au kwenye daladala au bafuni au chooni au kitandani au shambani au ofisini au kwenye mikusanyiko ya ibada na ni kama mapacha wa wa wale watu warefu wenye kushika panga za moto kuwalinda.Mungu wa walokole kawapa upendeleo wa ajabu walokole.Ukiwachunguza kinajimu unajikuta unaanza kuvutiwa nao.Mzee matata aliniambia ukiendelea kuwadadisi basi ipo siku na wewe utakua mlokole na utajikuta unakua kama wao kiroho.Basi nikamuuliza mzee matata wewe upo upande upi kiroho????? Akanijibu na kusema,"""Mjukuu wangu endelea na utafiti wako usinihoji""...Kuna vitu nikawa najiuliza na nikapanga nikawaulize walokole wa kanisani mambo yafuatayo:
MOJA: Je wanajua wanalindwa na watu warefu?????
MBILI: Je wanajua nguvu za hilo jina la""Yesu""????
TATU: Je wanajua kua wao ndio wanaongoza kwa sayansi ya kiroho kuliko makundi mengine????
NNE: Je wanawajua wapinzani wao kwenye ulimwengu wa kiroho??????
TANO: Je wanajua kua wao kiroho ni kama watu wa ulimwengu mwingine na sio dunia hii ya kimwili toka siku walipoamua kua walokole na kuamua kufanya usharika na mkuu wa wakuu na mwanae aitwae""Nyota ya mashariki au Mwana wa mmliki????.
SITA: Je wanajua kua yale matunda yao ya rohoni waga yanaonekana mwilini mwao kiroho wakitembea?????
SABA: Je wanajua miili yao ni kama mahekalu ya moto na ni makazi ya wale watu warefu mda wote???!!!
NANE: Je wanajua kua wakiwa na huzuni na Yesu wao anahuzunika pia na wakiwa na furaha na Yesu wao anafurahi pia na wakiomba anaomba nao na wakiimba anaimba nao
TISA: Je wanajua wao ndio muhimili wa dunia dhidi ya mashambulizi ya wale watu wa baharini na wachawi na waganga na wanajimu??????
KUMI: Je wanajua maana halisi ya neno ulokole ni mnyambuliko wa maneno mawili ya kiroho ambayo ni UPENDO USIO NA MIPAKA NA UTAKATIFU ULIOKAMILIKA????????
Maswali yote hayo nikapanga nitayatafutia majibu ya kiudadisi zaidi ili nijiridhishe na utafiti wangu kuhusu nguvu za mungu wa walokole...
NITAENDELEA.............!!!!
Waoo...!!
Katika utafiti wako ningependa uulizie pia zile tunu mamajusi walizomtunuku mtoto Yesu zilikuwa zinaashiria nini kiroho? yaani ile DHAHABU, MANEMANE na UVUMBA.

Mathayo 2:9-11
[9]Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.
When they had heard the king, they departed; and, lo, the star, which they saw in the east, went before them, till it came and stood over where the young child was.
[10]Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
When they saw the star, they rejoiced with exceeding great joy.
[11]Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane.
And when they were come into the house, they saw the young child with Mary his mother, and fell down, and worshipped him: and when they had opened their treasures, they presented unto him gifts; gold, and frankincense, and myrrh.
 
Waoo...!!
Katika utafiti wako ningependa uulizie pia zile tunu mamajusi walizomtunuku mtoto Yesu zilikuwa zinaashiria nini kiroho yaani ile DHAHABU, MANEMANE na UVUMBA.

Mathayo 2:9-11
[9]Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.
When they had heard the king, they departed; and, lo, the star, which they saw in the east, went before them, till it came and stood over where the young child was.
[10]Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
When they saw the star, they rejoiced with exceeding great joy.
[11]Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane.
And when they were come into the house, they saw the young child with Mary his mother, and fell down, and worshipped him: and when they had opened their treasures, they presented unto him gifts; gold, and frankincense, and myrrh.
Ukiona mnajimu au mganga anakuwekea mavumba aina zote na madini na tunu ni ishara ya kua anakuabudu na katambua uwepo wako.Yule mnayemwita mtoto yesu,,hakua mtoto bali ni roho ya Mwana wa mmliki katika mwili wa binadamu..Walikua wanamuabudu baada ya hesabu za kuwaonyesha ni jamii ya kiungu...Na ndio wanajimu wa kwanza kukutana na roho ile ya kiungu uso kwa uso,maana toka hapo hakuna mnajimu au mganga aliyewahi kumsogelea....UTAANZIA WAPI MAANA YULE MWANA WA MMLIKI NI MOTO NDANI YA NAFSI YA MOTO.........Ile ilikua golden chance kumuabudu mwana wa kiungu..Sababu mpaka leo hii kwa wanajimu na waganga popote pale duniani ile nyota ya mashariki waliyoiona wale waarabu wanajimu (MAMAJUSI) inasoma kua yule ni mwana wa kiungu
 
NINAENDELEA......!!!
Mungu wa walokole ambae ndio mkuu wao anawajua watu au washirika wake kiroho na kimwili.Kiroho kila pumzi wanayotoa walokole ni uhai na wanaongozwa na utulivu wa akili na mioyo mnaita(Upendo)......!!!!
Walokole wanaposali basi mambo haya hutokea wakiyatamka.
NAFUNGA:Basi kunatokea vizuizi vya kingo za moto na wanafunga njia.
NAKEMEA:Basi kunatokea radi za moto na kuelekea kule kuliko kemewa.
NABARIKI:Basi kunatokea wingu jeupe linafunika kulikobarikiwa.
KWA JINA LA""YESU"": Hapa tusikilizane kidogo maaana ndipo penye kiini cha walokole wenyewe.Huyo yesu ni nani na kwanini walokole wanapomtaja ni kama kunatokea mtetemo wa aridhi na anga katika ulimwengu wa kiroho.Huyo yesu ni mlinzi mkuu wa walokole ambae jina lake halitajwi hovyo na walokole mpaka wawe kwenye matatizo.Ni kamanda wa wale watu warefu na anaakisi mwanga mara trioni kuliko mwanga wa jua.Ulimwengu wa kinajimu ndio yule wanamuita mwana wa mmliki au nyota ya mashariki au Issa.Hawawezi kutamka jina lake sababu halipo katika herufi za kibinadamu kiroho,ila linasomeka kwa kilatini kama""Alfa na Omega""maana yake mmliki wa wamiliki asiye na mwisho.
SIFA ZA HUYU YESU WA WALOKOLE
MOJA: Anao usharika na wale watu warefu ambao wana usharika na walokole.Yeye ndio kamanda wao
MBILI: Yeye na mungu wa walokole ni kitu kimoja na katika ulimwengu wa kinajimu waga hawatenganishwi.
TATU: Ni mkuu wa dini na imani ya walokole na ndie anaewalinda dhidi ya wanajimu na wachawi na washirika wao wa baharini.
Ninamzungumzia huyu yesu sababu walokole wana mihuri ya jina lake usoni mwao.Na jina lake ndio mwongozo wao,wakilitamka tu ulimwengu wote wa kiroho unatikisika.
NNE: Huyu yesu wa walokole ndie aliewafukuza wale watu warefu wa baharini kutoka angani za nje ya mfumo wa jua baada ya wao kupingana nae baadhi ya vitu miaka trioni elfu iliyopita.Wanajimu wanasema kua kimondo kilichoanguka duniani miaka bilioni sita hivi iliyopita kua kilikua ni rundo la wale watu warefu waliofukuzwa na huyu yesu wa walokole kutoka anga za mbali.
TANO: Sifa ya tano ya huyu yesu wa walokole ni kua ni marufuku,hapa nasisitiza NI MARUFUKU KWA WANAJIMU NA WAGANGA NA WACHAWI NA WASHIRIKA WAO WA BAHARINI KUMTAJA KWA JINA LAKE HILI LA ""YESU"".Wanaweza kumuita majina yoyote yale ila sio kwa jina hili.Sababu lina upinzani nao kiroho.Na hizi ndio sifa za yesu wa walokole.....TUENDELEE.........!!!!!!
Kuwaelewa walokole lazima kwanza uelewe muonekano wao kiroho upoje,ngoja nifafanue kidogo.
Walokole sio watu dhaifu kiroho kama watu wanavyodhani.Utasemaje watu dhaifu wakati wakiwa njiani kiroho wanaongoza vikundi vikundi vya walinzi wa kiungu.Utasemaje watu mafukara wakati kiroho zile taji zao ni za madini ya Lulu.Utasemaje hawana akili wakati kwenye ulimwengu wa kiroho sayansi yao imeshindikana kuigwa.Tofauti yao na binadamu wa kawaida ni kwamba wao walokole wamekaa sana kiroho kuliko kimwili.
Wale watu warefu wanatembea na walokole popote pale iwe barabarani au kwenye daladala au bafuni au chooni au kitandani au shambani au ofisini au kwenye mikusanyiko ya ibada na ni kama mapacha wa wa wale watu warefu wenye kushika panga za moto kuwalinda.Mungu wa walokole kawapa upendeleo wa ajabu walokole.Ukiwachunguza kinajimu unajikuta unaanza kuvutiwa nao.Mzee matata aliniambia ukiendelea kuwadadisi basi ipo siku na wewe utakua mlokole na utajikuta unakua kama wao kiroho.Basi nikamuuliza mzee matata wewe upo upande upi kiroho????? Akanijibu na kusema,"""Mjukuu wangu endelea na utafiti wako usinihoji""...Kuna vitu nikawa najiuliza na nikapanga nikawaulize walokole wa kanisani mambo yafuatayo:
MOJA: Je wanajua wanalindwa na watu warefu?????
MBILI: Je wanajua nguvu za hilo jina la""Yesu""????
TATU: Je wanajua kua wao ndio wanaongoza kwa sayansi ya kiroho kuliko makundi mengine????
NNE: Je wanawajua wapinzani wao kwenye ulimwengu wa kiroho??????
TANO: Je wanajua kua wao kiroho ni kama watu wa ulimwengu mwingine na sio dunia hii ya kimwili toka siku walipoamua kua walokole na kuamua kufanya usharika na mkuu wa wakuu na mwanae aitwae""Nyota ya mashariki au Mwana wa mmliki????.
SITA: Je wanajua kua yale matunda yao ya rohoni waga yanaonekana mwilini mwao kiroho wakitembea?????
SABA: Je wanajua miili yao ni kama mahekalu ya moto na ni makazi ya wale watu warefu mda wote???!!!
NANE: Je wanajua kua wakiwa na huzuni na Yesu wao anahuzunika pia na wakiwa na furaha na Yesu wao anafurahi pia na wakiomba anaomba nao na wakiimba anaimba nao
TISA: Je wanajua wao ndio muhimili wa dunia dhidi ya mashambulizi ya wale watu wa baharini na wachawi na waganga na wanajimu??????
KUMI: Je wanajua maana halisi ya neno ulokole ni mnyambuliko wa maneno mawili ya kiroho ambayo ni UPENDO USIO NA MIPAKA NA UTAKATIFU ULIOKAMILIKA????????
Maswali yote hayo nikapanga nitayatafutia majibu ya kiudadisi zaidi ili nijiridhishe na utafiti wangu kuhusu nguvu za mungu wa walokole...
NITAENDELEA.............!!!!
Mimi pia niliwahi jiuliza kwann Nabii Isaya alimtaja Immanueli kama Alpha na Omega na Si Yesu?

Nikaja kujua kuwa Jina Yesu Si Jina la kibinadamu.

Nabii Isaya aliongea kinabii Kwa code, muda wa ufunuo wa Jina Yesu ulikuwa Bado.

Yesu katika Ulimwengu wa Roho ni Jina la Mungu.

Ndomana, hayupo anayekemea Pepo Kwa Jina la Allah, au Jina lingine tofauti na YESU Pepo likatii.

Ndiyo maana nimekuwa nikirudia,

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Nilikuwa natafuta hii comment ili nikujibu.
Ni hivi hakuna Mungu katili wa namna huyo. Leo aniumbe Kinengenengu na kunileta duniani ili aniangamize. Biblia inasema kuhusu shetani na chanzo cha dhambi ni uasi wake mwenyewe.
Ezekieli 28:13-19 In summary inasema "Mungu alimuumba Lucifer akiwa mkamilifu na mwenye kupendeza. Alimuumba maalumu kwa ajili ya sifa ila tokana na uzuri wake, kiburi kikainuka ndani yake iliyopelekea kumuasi Mungu na hivyo kuhukumiwa.
Pia Isaya 14:12-15 utaona inasema "Namna kiburi, kutamani utukufu wa Mungu na kutaka kufanana au kuwa zaidi ya Mungu ndio chanzo cha kuanguka kwa Ibilisi"
Kwa hiyo mkuu, Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba ibilisi na mapepo(Malaika waasi) ili kuwaangamiza ila kiburi na majivuno ya shetani ndio chanzo cha hayo yote.

Kuhusu mwanadamu, Mungu hawezi kuumba mwanadamu tena kiumbe dhaifu na kukiangamiza. Biblia inasema wazi, Mungu alimuumba mwanadamu ili awe mtawala katika hii dunia. Akampa dunia ikiwa kamili apate kuishi na kutawala humo. Mungu aliumba kiumbe kinachofanana naye na kukipa mamlaka, kumuabudu, kishirikiane naye, kimuheshimu naye amuheshimu, kuwe kitoto chake naye awe Baba yake. Mungu kamwe hakumuumba mwanadamu ili amuhukumu na kumuangamiza. Huyo atakuwa Mungu wa hovyo na katili sana.

Adam alikaa bustanini katika mazingira mazuri ila alishindwa kutii. Anguko lake ndio lilileta dhambi na hukumu ya mauti. Ila tokana na upendo wake, Mungu mwenyewe akavaa mwili ili aje mkomboa Mwana wa Adam. Kwa hiyo, Mungu anatuwazi mema ila dhambi zetu ndio zimetutenga na uso wake.
Ahaa

Kumbe uasi wa shetani ulikua surprise KWA Mungu SIO!!

Ina MAANA ulimwengu wa ushetani haukuwepo kwenye fikra zake kwamba UTAKUJA kuwepo si NDIO!!?

Kumbe na yeremia anapoambiwa na Mungu kabla ya misingi ya ulimwengu kuwepo nalikujua MAANA yake sio KWELI!!?

Mimi ninaamini hakuna chochote kiliwahi kuwa surprise KWA Mungu KILA kitu kipo kama alivyokiona kilivyo!!

Mungu aliumba kiumbe cha kushindana nacho ili mwanadamu awe muhanga wa mashindano HAYO!!!

Watumishi wengi HUWA hawapendi kuielewa UKWELI huu kwamba hata uasi wa shetani Mungu aliijua hata kabla hajamuumba kama KWA yeremia alivomwambia!!!

Kwangu namuona Mwanadamu kama specimen ya majaribio Kati ya Mungu na shetani!YAANI wameingia kwenyewe ligi ya mashindano makali ambayo mwanadamu ndio muhanga!!!

Tuache kumdanganya a wakuu!!

MAISHA NI KITABU KILICHOKWISHA ANDIKWA TAYARI KWA KILA MTU!!KAMA HATMA YAKO MUNGU ALISHAANDIKA MAHANGAIKO YAKO HATA YAWEJE YATATIMIZA MAANDIKO ULIYOANDIKIWA!!!

MIMI HUWA NAANGALIA JUHUDI ZA WANADAMUE NA KUWASIKITIKIA COZ YOTE ALISHAANDIKIWA!!!

HIZO NYINGINE NI BLAH BLAH KUTIANA MOYO MAISHANI!!!
 
Hakuna kitu kama hiko bro. We unajipa moyo kutenda dhambi mkuu ukisema alishakuhukumu na alijua wewe ni wa jehanamu. Hivi kitoto kinakozaliwa kinajua nini? Eti Mungu alimuumba shetani ili awe mpinzani wake. Kwanza shetani hana upinzani wala uadui na Mungu. Jamaa wanapiga stori tu na ndio maana katika "Ayub anamuuliza umetoka wapi" katika kitabu cha "wafalme Mungu anaruhusu Ibilisi kwenda Kumdanganya mfalme wa Yuda"

Ebu jiulize bro, Mungu amekuumba ili akuangamize kweli? Kwa ajili ya nini hasa? Mbona atakuwa muonevu sana? Je alikuuliza wakati anakuumba? Kwanini asingekuacha huko ulipo akulete duniani. Huyo Mungu wako atakuwa ni mwehu, Katili, wa hovyo na asiyefaa kwa kweli. Yaani ana jeshi la malaika trilion na matrilion wanaomuabudu na kumtumikia leo akuumbe na kukuweka jamaa yangu hapa Tanzania kisha akuangamize? Hapana kwa hilo bro, unatudanganya.
 
Mimi pia niliwahi jiuliza kwann Nabii Isaya alimtaja Immanueli kama Alpha na Omega na Si Yesu?

Nikaja kujua kuwa Jina Yesu Si Jina la kibinadamu.

Nabii Isaya aliongea kinabii Kwa code, muda wa ufunuo wa Jina Yesu ulikuwa Bado.

Yesu katika Ulimwengu wa Roho ni Jina la Mungu.

Ndomana, hayupo anayekemea Pepo Kwa Jina la Allah, au Jina lingine tofauti na YESU Pepo likatii.

Ndiyo maana nimekuwa nikirudia,

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
NILIKUWA NIMELALA SIKU MOJA NIKAOTA NIMEFUNGWA KAMBA MIKONO YANGU YOTE MIWILI

NILISEMA NAKATA KAMBA HIZI KWA JINA LA YESU MIKONO YANGU ILIACHIA NA NIKASHITUKA USINGIZINI

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Ahaa

Kumbe uasi wa shetani ulikua surprise KWA Mungu SIO!!

Ina MAANA ulimwengu wa ushetani haukuwepo kwenye fikra zake kwamba UTAKUJA kuwepo si NDIO!!?

Kumbe na yeremia anapoambiwa na Mungu kabla ya misingi ya ulimwengu kuwepo nalikujua MAANA yake sio KWELI!!?

Mimi ninaamini hakuna chochote kiliwahi kuwa surprise KWA Mungu KILA kitu kipo kama alivyokiona kilivyo!!

Mungu aliumba kiumbe cha kushindana nacho ili mwanadamu awe muhanga wa mashindano HAYO!!!

Watumishi wengi HUWA hawapendi kuielewa UKWELI huu kwamba hata uasi wa shetani Mungu aliijua hata kabla hajamuumba kama KWA yeremia alivomwambia!!!

Kwangu namuona Mwanadamu kama specimen ya majaribio Kati ya Mungu na shetani!YAANI wameingia kwenyewe ligi ya mashindano makali ambayo mwanadamu ndio muhanga!!!

Tuache kumdanganya a wakuu!!

MAISHA NI KITABU KILICHOKWISHA ANDIKWA TAYARI KWA KILA MTU!!KAMA HATMA YAKO MUNGU ALISHAANDIKA MAHANGAIKO YAKO HATA YAWEJE YATATIMIZA MAANDIKO ULIYOANDIKIWA!!!

MIMI HUWA NAANGALIA JUHUDI ZA WANADAMUE NA KUWASIKITIKIA COZ YOTE ALISHAANDIKIWA!!!

HIZO NYINGINE NI BLAH BLAH KUTIANA MOYO MAISHANI!!!
Unaweza kuwa right na wrong at the same time.

Nakushauri tafuta sana kujua mapenzi ya MUNGU juu ya maisha Yako, Ili ujue wewe ni asili ya CHINI au ni Raia wa Juu Mbinguni tangu Kuzaliwa!!!

Maana kama asili Yako ni CHINI, kama wale watoto wanaozaliwa wakiwa wachawi tangu tumboni.

Wale ambao miili Yao imetengezwa kiwanda Cha kuzimu na kuleta duniani kufanya KAZI maalum,

Wale mapepo katika form ya WANADAMU, kamwe hawaokoki!;!!

Wale wanaorushwa na wazazi wao juu na kuganda hewani wakiwa vichanga,

Watoto wale ambao asili Yao ni shetani, watoto wa "Dawa" wanaopatikana Kwa mganga, kamwe Mbinguni hawaingii, maana ni WA Baharini.

Lakini kama asili Yako ni JUU, ni uamuzi wako kwenda kuzimu na Jehanum.

Amen.
 
Hakuna kitu kama hiko bro. We unajipa moyo kutenda dhambi mkuu ukisema alishakuhukumu na alijua wewe ni wa jehanamu. Hivi kitoto kanakozaliwa kanajua nini? Eti Mungu alimuumba shetani ili awe mpinzani wake. Kwanza shetani hana upinzani wala uadui na Mungu. Jamaa wanapiga stori tu na ndio maana katika "Ayub anamuuliza umetoka wapi" katika kitabu cha "wafalme Mungu anaruhusu Ibilisi kwenda Kumdanganya mfalme wa Yuda"

Ebu jiulize bro, Mungu amekuumba ili akuangamize kweli? Kwa ajilinya nini hasa? Mbona atakuwa muonevu sana? Je alikuuloza wakati anakuumba? Kwanini asingekuacha huko ulipo akulete duniani. Huyo Mungu wako atakuwa ni mwehu, Katoliki, wa hovyo na asuyefaa kwa kweli. Yaani ana jeshi la malaika trilion na matrilion wanaomuabudu na kumtumikia leo akuumbe na kukuweka jamaa yangu hapa Tanzania kisha akuangamize? Hapana kwa hilo bro, unatudanganya.
Yaezakuwa anajijua ni Pepo katika form ya mwanadamu,

Hao hawawezi kuokoka, maana asili Yao ni CHINI.
 
Ukiona mnajimu au mganga anakuwekea mavumba aina zote na madini na tunu ni ishara ya kua anakuabudu na katambua uwepo wako.Yule mnayemwita mtoto yesu,,hakua mtoto bali ni roho ya Mwana wa mmliki katika mwili wa binadamu..Walikua wanamuabudu baada ya hesabu za kuwaonyesha ni jamii ya kiungu...Na ndio wanajimu wa kwanza kukutana na roho ile ya kiungu uso kwa uso,maana toka hapo hakuna mnajimu au mganga aliyewahi kumsogelea....UTAANZIA WAPI MAANA YULE MWANA WA MMLIKI NI MOTO NDANI YA NAFSI YA MOTO.........Ile ilikua golden chance kumuabudu mwana wa kiungu..Sababu mpaka leo hii kwa wanajimu na waganga popote pale duniani ile nyota ya mashariki waliyoiona wale waarabu wanajimu (MAMAJUSI) inasoma kua yule ni mwana wa kiungu
Maana yake ni kwamba Waganga, wanajimu, wachawi, majini(shetani) na washirikina wote wanatambua mamlaka ya mwana wa mmiliki ni kuu mno kuwazidi mara matrilion sio?
Japo hawataki(pewi?) nafasi ya kujisalimisha.
 
Waganga na wanajimu huwa wanajisalimisha mkuu ila mapepo yalipewa nafasi yakagoma.

Kwenye mikutano, tunawaomba sana sala za toba waganga na wachawi waliochoshwa na Ibilisi na wakaamua kumfuata Mwana wa mmiliki mtu yule wa Haki. Changamoto kubwa kwao ni kupata nafasi/upenyo wa kujitambua huo muda wakugeuka ila wote wanajua kuwa yupo Mwana wa mmiliki mwenye nguvu na mamlaka zaidi yao.
 
Back
Top Bottom