Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Ila Mwamposa huwa anaombea maji bure kupitia TV, hii nayo imekaaje?
Jina la YESU linajitosheleza, halihitaji msaada wa maji, ingawa sipingi kuwa maji yanaweza kutumika kuponya.

Nachopinga ni kuuza maji na mafuta Kila IBADA na kuliacha Jina la YESU lenye mamlaka.

Waganga wanavaa suit nowadays na kusimama madhabahuni.
 
Upo sahihi, Yesu hakutuachia maji, mafuta wala vitambaa alituambia jina lake. Matumizi ya maji, mafuta na vitambaa sasa yanachukua nafasi ya Jina la Yesu. Hii ndio changamoto.
 
Inawafaidia kitu gani??? Hapa ndipo shida inaanzia
Sijaelewa inawafaidia nini utajiri wa nje au wa ndani. Pia sijui unaposema mlokole Maskini mnamaanisha nini? Sijui mnapiga utajiri kwenye "angle" gani? Watu wengi walimpomda na kumshambulia Kakobe aliposema Yeye ni tajiri kuliko serikali. Utajiri mkubwa ni kumjua na kumtumikia yeye Mungu wa kweli. Yeye aliyafanywa maskini kwa ajili sisi tuwe matajiri kwenye ukimwengu wa Roho. Hayo ndio mafanikio makubwa, tumeishi yeye ili siku moja tumuone yeye.

Unaposema na kuupima utajiri kwenye angle ya "majumba na magari kama mnavyotaka na kuamini vijana wa sasa" ametubariki kwa maana yeye anasema "Dunia na vyote viijazavyo ni mali yake" mbona sisi walokole wengi tu Mungu tuna majumba, watoto, mifugo, magari, mashamba n.k tena utajiri wake hauna masharti wala nini? Anatupa hayo kwa uaminifu na kwa amani na tunavitumia kumtukuza yeye.
 
Yaezakuwa anajijua ni Pepo katika form ya mwanadamu,

Hao hawawezi kuokoka, maana asili Yao ni CHINI.
Kumbe ukiwa mwenye kutafakari sana mambo haya na kufikia hitimisho fulani maana yake WEWE ni wa chini si ndio!!?

Wengi tunaogopa mtazamo tofauti kwa kuhofia hukumu dhidi ya dhambi!!

KIFUPI

"ALIEMUUMBA SHETANI KAMA MALAIKA AKAJUA ATAASI NA KUTAFUTA WAFUASI WENGI WATAKAO CHOMWA NAE MOTO,NDIE AJUAYE HATMA ZETU WOTE YAANI MWISHO WA MAISHA YETU"

HUKO KWINGINE NI KUJIPA MOYO TU KWAMBA TUNA UTOFAUTI NA WENGINE KWAMBA TU BORA ZAIDI KULIKO WENGINE"!!

KITABU cha henoko "book of enoch"kina weka wazi kuwa uchawi,unajimu na vinginevyo binadamu kafundishwa na malaika wale watchers ambao waliwekwa na Mungu kumsimamia Adam na hawa Baada ya kufukuzia bustanini!!?

Hao malaika walianza hayo Baada ya kuwapenda watoto wa adamu na kuwaoa!!

Sasa kama walifundisha hayo waliyatoa wapi maarifa hayo kama sio kwa Mungu!!?

Mungu ndio anajua unajimu na uchawi kuliko haya SHETANI coz yeye ndio chanzo kikuu cha maarifa kuliko wote!!!!

Simple tu!!!
 
Ahaa

Kumbe uasi wa shetani ulikua surprise KWA Mungu SIO!!

Ina MAANA ulimwengu wa ushetani haukuwepo kwenye fikra zake kwamba UTAKUJA kuwepo si NDIO!!?

Kumbe na yeremia anapoambiwa na Mungu kabla ya misingi ya ulimwengu kuwepo nalikujua MAANA yake sio KWELI!!?

Mimi ninaamini hakuna chochote kiliwahi kuwa surprise KWA Mungu KILA kitu kipo kama alivyokiona kilivyo!!

Mungu aliumba kiumbe cha kushindana nacho ili mwanadamu awe muhanga wa mashindano HAYO!!!

Watumishi wengi HUWA hawapendi kuielewa UKWELI huu kwamba hata uasi wa shetani Mungu aliijua hata kabla hajamuumba kama KWA yeremia alivomwambia!!!

Kwangu namuona Mwanadamu kama specimen ya majaribio Kati ya Mungu na shetani!YAANI wameingia kwenyewe ligi ya mashindano makali ambayo mwanadamu ndio muhanga!!!

Tuache kumdanganya a wakuu!!

MAISHA NI KITABU KILICHOKWISHA ANDIKWA TAYARI KWA KILA MTU!!KAMA HATMA YAKO MUNGU ALISHAANDIKA MAHANGAIKO YAKO HATA YAWEJE YATATIMIZA MAANDIKO ULIYOANDIKIWA!!!

MIMI HUWA NAANGALIA JUHUDI ZA WANADAMUE NA KUWASIKITIKIA COZ YOTE ALISHAANDIKIWA!!!

HIZO NYINGINE NI BLAH BLAH KUTIANA MOYO MAISHANI!!!
Mkuu niwekee vizuri hoja yako hapo juu kwamba Mungu alijua kama Shetani atahasi... Hapana.. Mungu ni mwema.. Amempa kila. Mtu Uhuru wa kuchagua atakalo... Na hadictate hata kidogo afanyalo ni kukuonya before, kama Mi na wewe tunaweza kujua dhambi Fulani ni mbaya, ukiamua kufanya kwa Hikari yako ni wewe.. Sio Mungu maana Mungu alikuumba uwe mkamilifu.. Ila uamuzi wa kuasi ni wako. Hivyo hata leo Kuna watu wengi wa Mungu wameamua kuasi.. Na sio kwamba Mungu alipanga laa... Aliwapa uhuru wa kuchagua...ndio maana hata sisi tunakua suprized ukisikia mtumishi kadondoka.. Same kwa Mungu, Shetani alipoasi.. Was suprized bse he choose to disobey God🙏
 
UNAWEZA chaguo huko ulipo lakini hatma yako ikawa sawa na wale wa baharini!SASA sijui utasemaje kwamba umeonewa au!!?

Hatma yako ilishaandikwa HATA kabla hujaumbwa kama umeandikiwa huko unakodhani hata ukianguka bado hatma itakusukuma kule unakostahili!!

Hakuna mwanadamu anaeweza kuchagua upande na kuishi kama Mungu hakumpa uwezo wa kustahimili ili hatma yake itimie!!

Kuna kitu mnakwepa kukielewa lakini naamini mmeelewa vizuri!!

Habari ya esau na yakobo!!!?kasomeni mjue nisemacho kuna upendeleo wa hatma juu ya MAISHA ya mtu KWA vyovyote vile iwe KWA KWA ubaya au wema!!!

HABARI ya yuda iskariote je!?alichagua kumsaliti yeah au hatma ilimlazisha KWA kia ilishaandikwa!!?

Hebu tumieni akili kwanza kuliko imani zilizozidi kuliko kipimo!!!
Nahisi kuna mahali unakosea! Natamani uelewe kuwa Mungu siyo dictator na anatamani ufanye mambo kwa utashi wako mwenyewe!

Ametuwekea amri kutuongoza kuyatenda mapenzi yake lakini pia ametupa akili na utashi wa kujua mema na mabaya na kuchagua kati ya hayo machaguo mawili!

Kum 30:19-20 SUV​

Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako; kumpenda BWANA, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako, na wingi wa siku zako; upate kukaa katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kuwa atawapa.

Adam alipewa chaguzi mbili; ale tunda la mti wa ujuzi wa ma na mabaya afe au asile aishi milele! Alichagua kula!

Kaini kabla ya kumuua ndugu yake Abel aliambiwa wazi kabisa na Mungu dhambi ipo mlangoni inakuotea lakini yakupasa uishinde! Kwa masikitiko makubwa alichagua kuua!

Mwa 4:7 SUV​

Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.

Ipo mifano mingi sana kwenye Biblia juu ya hili! Wewe ndiyo mwenye mstakabali wa hatima yako!

Esau na Yakobo, Esau mwenyewe alifanya mzaha akauza uzaliwa wake wa kwanza! Lakini pia alimuidhi Mungu kwa kuoa jamii ya watu wasio kabila ya Mungu!

Yuda Iskariote aliruhusu mwenyewe shetani amtumie! Lakini baadaye akili ilipomrudia alirudisha fedha alizohongwa!

Amua sasa kuchagua upande wa Mungu ujihakikishie uzima wa milele!
 
Mkuu niwekee vizuri hoja yako hapo juu kwamba Mungu alijua kama Shetani atahasi... Hapana.. Mungu ni mwema.. Amempa kila. Mtu Uhuru wa kuchagua atakalo... Na hadictate hata kidogo afanyalo ni kukuonya before, kama Mi na wewe tunaweza kujua dhambi Fulani ni mbaya, ukiamua kufanya kwa Hikari yako ni wewe.. Sio Mungu maana Mungu alikuumba uwe mkamilifu.. Ila uamuzi wa kuasi ni wako. Hivyo hata leo Kuna watu wengi wa Mungu wameamua kuasi.. Na sio kwamba Mungu alipanga laa... Aliwapa uhuru wa kuchagua...ndio maana hata sisi tunakua suprized ukisikia mtumishi kadondoka.. Same kwa Mungu, Shetani alipoasi.. Was suprized bse he choose to disobey God🙏
Hayo unayosema yametokea Baada ya uasi wa SHETANI!

Kwahiyo KILA baya anapewa yeye kama mwanzilishi!

Hoja yangu ni kua SHETANI aliasi kwa kushawishiwa na nani wakati hakukua na SHETANI mwingine!!?

Ina maana kama hakukua na SHETANI mwingine Bas aliumbwa na hali ya uasi tayari ambayo ilikuja kujitokeza!!!

Sasa ninaposoma kuwa Mungu aliijua uasi utatokea kwake coz ALIKUA ndani yake aliweka uasi wa kutaka madaraka yake yeye Mungu!!

SASA Bas tusidanganywe ETI aliumbwa na free will wakati hiyo free will imewekwa na yeye Mungu kama mtego wa tamaa kwake SHETANI na WANADAMUE baadae!!

SIJUI kama unanielewa!!?

Hakuna surprise KWA Mungu juu ya uasi wa SHETANI YAANI kwamba ALIKUA hajui kwamba ataasi wakati yeye ndio aliemuumba!!

Kama Mungu aliijua yeremia atakuwepo kabla hajaumba ulimwengu je atashindwaje kujua uwepo wa SHETANI baadae Baada ya kumuumba Lucifer!!?

HUWA tunajidanganya sana!!
 
Sijasema
Nahisi kuna mahali unakosea! Natamani uelewe kuwa Mungu siyo dictator na anatamani ufanye mambo kwa utashi wako mwenyewe!

Ametuwekea amri kutuongoza kuyatenda mapenzi yake lakini pia ametupa akili na utashi wa kujua mema na mabaya na kuchagua kati ya hayo machaguo mawili!

Kum 30:19-20 SUV​

Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako; kumpenda BWANA, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako, na wingi wa siku zako; upate kukaa katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kuwa atawapa.

Adam alipewa chaguzi mbili; ale tunda la mti wa ujuzi wa ma na mabaya afe au asile aishi milele! Alichagua kula!

Kaini kabla ya kumuua ndugu yake Abel aliambiwa wazi kabisa na Mungu dhambi ipo mlangoni inakuotea lakini yakupasa uishinde! Kwa masikitiko makubwa alichagua kuua!

Mwa 4:7 SUV​

Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.

Ipo mifano mingi sana kwenye Biblia juu ya hili! Wewe ndiyo mwenye mstakabali wa hatima yako!

Esau na Yakobo, Esau mwenyewe alifanya mzaha akauza uzaliwa wake wa kwanza! Lakini pia alimuidhi Mungu kwa kuoa jamii ya watu wasio kabila ya Mungu!

Yuda Iskariote aliruhusu mwenyewe shetani amtumie! Lakini baadaye akili ilipomrudia alirudisha fedha alizohongwa!

Amua sasa kuchagua upande wa Mungu ujihakikishie uzima wa milele!
Sijasema ni dictator!

Nimesema alimuumba lucifer Akijua kua ata asi na kua SHETANI kama alivomjua yeremia kabla hajaumba misingi ya ulimwengu!!

SASA Binadamu kawekwa kwenye mtego wa pande mbili ambazo Mungu kaziweka upande wa lucifer na upande wake yeye!!

NI NINI AMBACHO HAMUELEWI!!?

TATIZO MNAKARIRI UFIA DINI BADALA YA KUWA HURU KIFIKRA!!
 
Sina shida kuhusu shetani! Shida yangu ni pale unaposema kwamba hatima yetu kama wanadamu ilishawekwa na Mungu na kwamba hakuna tunachoweza kufanya kuwa upande wake!
 
Walokole mmekuja na mbinu mpya kuwateka akili wajinga wajinga.

Mwisho wa simulizi utaweka namba watu wakufate kanisani kwako. Unasema uongo mchana kweupe na wajinga wenzio wanakusupport.

Hakuna watu wenye akili ndogo duniani kama walokole.
 
Yaani huu mda ulioutoa kufuatilia kwa kusoma na kuandika ni support tosha kwa mlokole sii yeye aweke namba bali wewe ndio utamtafuta kuomba namba[emoji16]
 
Walokole mmekuja na mbinu mpya kuwateka akili wajinga wajinga.

Mwisho wa simulizi utaweka namba watu wakufate kanisani kwako. Unasema uongo mchana kweupe na wajinga wenzio wanakusupport.

Hakuna watu wenye akili ndogo duniani kama walokole.
Kama angekuwa anataka kuweka namba angeweka tangu mwanzo.
 
Back
Top Bottom