Kuna kikundi cha wanajimu kutokea huku africa walikua wanaenda Mecca kuhiji sasa katika ile ndege waliyopanda huko angani akawatokea huyo mwana wa mmliki akazungumza nao.Lakini walifanya siri kuu na hakuna aliyelizungumzia hilo tukio,waliamua kukaa kimya.
Ndio zao hizo ili kutimiza neno la nabii kwao kwamba kwa masikio watasikia ila hawataelewa na kwa macho wataona ila hawatatambua.
Wanahofia wakinkiri atawaongoa na kusababisha watengwe na sinagogi.
Yohana 12:40-42
[40]Amewapofusha macho,
Ameifanya mizito mioyo yao;
Wasije wakaona kwa macho yao,
Wakafahamu kwa mioyo yao,
Wakaongoka, nikawaponya.
He hath blinded their eyes, and hardened their heart; that they should not see with their eyes, nor understand with their heart, and be converted, and I should heal them.
[41]Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake.
These things said Esaias, when he saw his glory, and spake of him.
[42]Walakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi.
Nevertheless among the chief rulers also many believed on him; but because of the Pharisees they did not confess him, lest they should be put out of the synagogue: