Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

kwa komenti hii ile sala ya bikra ipo sahihi
 
Kwa Nini ,

Uzinzi na uashetari ni Dhambi?

Na Tamaa je Kwa Nini ni Dhambi, wakati ndivyo alivyo muumba mwanaume kumtamani,

Au tamaa inatoka wapi,na utaishindaje mtu
Ulimwengu wa kiroho kila kitu kina utaratibu wake..Nje ya hapo ni dhambi.Mungu aliumba tamaa yenye kiasi ila kuna roho ovu zinatuhujumu
 
Na ni kufuru kumfananisha na miungu mingine!!!
 
KILA HERUFI KIROHO INA MAMLAKA KUTOKA KWENYE PUMZI YA MUNGU NA KILA HERUFI INA TAFSIRI YAKE..NI HATARI MNO KULIFANYIA MIZAHA HILO JINA KIROHO...NA NI WALOKOLE TU WENYE ACSESS NALO NA NI FUNGUO YA KILA KITU KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO
asante, japo umefupisha, ukipata kibari naomb udadavue kila herufi na maana yake, USHUHUDA WAKO NA MAARIFA YAKO VINA UMUHIMU KWETU
 
90% ya makanisa uyaonayo, Si makanisa ya kilokole.

Sababu ulokole Si Kanisa au jengo,Bali ni utambulisho wa mtu binafsi kiroho.

UBARIKIWE.
 
kwa komenti hii ile sala ya bikra ipo sahihi
Unapotoka,

Roho mtakatifu ndiye aliyeandikwa katika kitabu kitakatifu mwenye KIBALI Cha kuomba na WATAKATIFU, kuwaombea Kwa kuugua WATAKATIFU.

Na Roho mtakatifu ndiye ROHO wa YESU kristo.

Kitabu kitakatifu hakiturususu kuwaomba Malaika au viumbe wa Mbinguni kutuombea zaidi ya Roho MTAKATIFU ambaye ni ROHO wa kristo..

Sala ya kuomba uombewe na Bikra maria ni ABOMINATION au makufuru.
 
Agano Hilo ni mwenge. Ii Tanzania ifunguke lazima life. Namshukuru Yesu nilianza kuuchukia toko sijui mwenge ni nini. Sijawahi kwenda kuushuhudia. Kwa Hilo namshukuru Mungu. Kuhusu Maria na watakatifu wore wakatoliki wanaowasalia ni uongo mtupu. Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu kuokolewa kwako isipokua jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai milele na milele. Mimi hii aliiondoa yeye mwenyewe ndani yangu. Maana nimekua nikiwa mkatoliki.
Nilichogundua shetani ameingia kwenye kanisa la Mungu akajibadilishia vitu vingi sana. Mungu kama alivyomwambia Elia ana watu wengi wasiopiga goti kwa baali wala kumsujudia baali. Hata sasa anao wateule wake katika nchi. Ndio aliofanya nao agano Kwa dhabihu. Kuna siku ataingia duniani kuwafuata.
 
Ulimwengu wa kiroho kila kitu kina utaratibu wake..Nje ya hapo ni dhambi.Mungu aliumba tamaa yenye kiasi ila kuna roho ovu zinatuhujumu
Tamaa aliwekewa mwanamke amtamani mke mume wake tu. Ukisoma kitabu Cha mwanzo ameelezea vizuri kabisa. Hii sijui wanaume tuna tamaa ni roho ya uongo ya shetani. Imeingia kiasi kwamba hata hatuoni Roho Mtakatifu akituongelesha kuhusu namna dhambi za vizazi Kwa vizazi zilivyosababisha kufika tulipo leo.
Tunapaswa kutubu Kwa akili ya wazazi wetu, babu na bibi zetu na makufuru waliyoyafanya wakamchukiza YHWH. Tumepewa Yesu ili atupe mwanga lakini twapasa kuamini. Na kumtafuta Kwa bidii na kumpenda kuliko kitu chochote kile.
 
Mungu wa walokole ana wateule wake katika mwili wamtendee kazi zake
 
Upo sahii kabisa ndugu..MPENDE MUNGU WAKO KULIKO CHOCHOTE KILE NA UMUWAZE MASAA 24...NAE ATAKULINDA KWA LUNDO LA WALINZI NA BARAKA ZA KIMWILI NA KIROHO
 
Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake tulopewa WANADAMU.

Aaminiye, ATAOKOKA. Na bila huyo, sahau Mbingu au peponi.

Ni Jehanum direct kama hujamwamini Yesu.


Amen
Mkuu thank you so much😊 umefanya nijisikie amani moyoni, natamani watu walijue hilo wakristo wengi wamefungwa na ukweli huu! Haswa kwenye utatu mtakatifu! Hawaelew Mungu ni nan kabisaa, Asante kwa kuwa unajua tujitahidi kuwaeleza watu wengi zaidi
 
Yesu ni roho ya Mungu na imetoka kwa Mungu mkuu.Kiroho anajulikana kama mwana wa mmiliki na kiongozi wa walokole,,ambapo kiroho walokole ni washirika wa Mungu mkuu
 
nashukuru kwa mafunuo
 
hili nalo la mwenge nimelisikia mara kadhaa ila sijawahi kupata taarifa kamili kutoka kwa watu wa rohoni (NURU/giza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…