Sheria zipitazo ulimwengu wa mwili -laws beyond the material world.
1+1 =2.
Logic.
These are abstracts, eternal truths. Sina Ari kuelezea zaidi. And watch out the way you be throwing those fallacies, make sure you know what you're talking about, usikuwe kituko.
Vitu vingine uhitaji hata kujua kusoma wala kuandika.
Kama kwanzia unaamka hadi unarudi kulala huthamini akili
iliyotumika kwenye vyote vya asili, huku inawezekana kabisa una appreciate na kusifia sana aina mpya za programu, vifaa na sanaa na kuona binadamu pekee ndo wenye akili kwenye huu ulimwengu, aisee kwani hata kuna cha ku discuss tena 😂
Niache kula mihogo yangu na kachumbari na pilipili kwenye kivuli nikipigwa upepo nishushie na juice ya embe + passion + nanasi + parachichi nikae kubishana na God hater. Hapana kwa kweli.
Warumi 1:30 NEN
wasingiziaji, wanaomchukia Mungu, wajeuri, wenye kiburi na majivuno, wenye hila.....
View attachment 2671800