Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

hatuwezi shindana ni mpaka ukutane na hio kadhia ndio utatia akili umezaliwa maisha bora sio kila shida utaifahamu kaa kwa kutulia kwa kua hujalazimishwa kuamini.

Kumbe ukizaliwa maisha bora uchawi haukupati? Kwahiyo uchawi nguvu zake zipo kwa maskini tu? Ndo maana tunasema story za ushirikia zinatamalaki kwenye jamaa za watu wajinga na maskini. Ileje hata mtu akiumwa Malaria anasema karogwa, Masaki hata mtu akipooza anaenda hospital anajua anaweza apate matibabu au lah. Vivyo hivyo bongo na Ulaya, huu utopolo mnaamini huko huko kwenye nchi maskini, mbele watu washaachana na huu ujinga wa kuamini kiboya si habari za mungu au ushirikina.
 
Ulaya kwenyewe wanatumia ushirikina, White magic.
 
Kumbe ukizaliwa maisha bora uchawi haukupati? Kwahiyo uchawi nguvu zake zipo kwa maskini tu? Ndo maana tunasema story za ushirikia zinatamalaki kwenye jamaa za watu wajinga na maskini. Ileje hata mtu akiumwa Malaria anasema karogwa, Masaki hata mtu akipooza anaenda hospital anajua anaweza apate matibabu au lah. Vivyo hivyo bongo na Ulaya, huu utopolo mnaamini huko huko kwenye nchi maskini, mbele watu washaachana na huu ujinga wa kuamini kiboya si habari za mungu au ushirikina.
haina maana hio ila kadhia kubwa mimi ilinikumba uswahilini na ni katika kutoka kwenda mbali kutafuta maisha pia kwetu yapo yalisikika ila sikuyashuhudia ila huku nlipokuja kutafuta ndio nlishuhudia live bila chenga acha mkuu.
 
Hilo kwa kweli sijui mkuu na sipendi nidanganye ila nachojua ni kua huyo Azazel amefungwa kwenye shimo jangwani toka enzi za mtu aitwaye Enoko muajemi wa mespotamia ambaye wanajimu wanajiuliza alikua binadamu au mwana wa kiungu.Na sababu ya Azazel kufungwa ni kwamba aliwashawishi wana wa kiungu wazae na wanadamu kwa kutumia uchawi na unajimu wa elimu ya anga.Na wakawafundisha binadamu elimu ya kiungu ambayo ni unajimu na uganga hasi.Hivyo mmliki wa wamiliki namaanisha Mkuu wa wakuu akamfunga yeye pamoja na wenzie na akavipoteza taratibu kizazi baada ya kizazi,vizazi vyao wote (AZAZEL NA WENZIE) walivyozaa na wanadamu
KWA MUJIBU WA PROPHET DAVID RICHARD,YEYE ANATOA USHUHUDA KWAMBA ALIONESHWA NA MUNGU KUMUHUSU HUYU AZAZEL.ANASEMA AZAZEL NI MALAIKA ALIYEASI NA ANA NGUVU KULIKO HATA SHETANI HIVYO MUNGU AMEMFUNGA MINYORORO NA MALAIKA WENZAKE WATATU MAANA ANGEWAACHIA TU WANGEIHARIBU DUNIA.HAWA WAMEFUNGWA ENEO LA MBALI SANA SANA LIITWALO DUDAEL.Prophet alipelekwa hadi hili eneo la dudael
 
Hakuna cha mlokole wala nani.

Mnayajua madhara lkn ya kufanya Tahajudi(meditation) ama mnaiga tu tamaduni za watu.

Haya mambo hayakuwai kuwepo Africa kabla ya ujio wa ukolon.

Ulokole ni kitawi cha ukristo, pia uislam kama ulivyo tawi la ukatoric, kiujumla hizi dini zinamilikiwa na kiumbe kimoja ambacho viongoz wenu wa dini hawatak kuwaambien ukweli.

Chunguza vizuri hao viumbe mnaowaona mara nyingi huakisi mionekano ya watu weupe, wazungu, watu wa Asia lkn hutoona viumbe hao wakiakisi mionekano ya watu weusi kwanini?.

Kama walivyowaaminisha Yesu ni mzungu+mtu mweupe, pia manabii na mitume walikuwa weupe the same way hata huko mbinguni wanawaaminisha kuna malaika weupe, kwanini hakuna mweusi?

Majibu utayapata ni kuwa, mtu mweusi/muafrika kabla hajatawaliwa kimwili, alitawaliwa kiroho na viumbe mashetani ambao wako wa kila aina lkn wote RACE YAO NI hao hao watu weupe(aliens), ndipo utawala kimwili wa watu weupe ukafuata afrika na kutuaminisha kuhusu biblia&quran ikihusisha wahusika wa maeneo yao tuu(hii ni akisi ya viumbe vilivyotawala watu weusi kiroho)

Nisiwachoshe kiufupi yule mnaemuita Mungu ndie yule yule shetan anaetawala dunia kupitia mifumo ya kiimani(dini zote), kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kiimani anatawala kupitia washirika wake ama wafuasi wake wa cheo kidogo(mashetani wadogo) ambao ndio wawakilishi wa dini ama Miungu inayotumika kuabudiwa na dini zenu, ndiomaana dini zote zina majina tofaut tofaut ya Miungu wao na stori tofaut lkn nyuma ya pazia wanamtumikia Kiumbe mmoja, yaani nyuma ya huyo mnaemuita Yesu+Yehova, Allah, kuna master ambaye ndie shetan anawaongoza hao Miungu wenu jinsi ya kuwacontrol kiroho.

Majini, malaika hawa wote ni majeshi ya kiroho ambayo hufanya kazi kulingana na imani na dini fulani.

Majeshi wa dini ya ukristo ni tofaut na majeshi wa dini ya uislam the same way kwa wabudha, waabudu mizimu, marastafali, na washirikina.

Majeshi yote hayo hutofautiana viwango vya nguvu na uwezo wa kumtumikia mwanadamu.

Majeshi hao wote wanatoka ktk uzao mmoja wa Aliens akiwepo shetan, ambapo pia majeshi hawa hawa kimwili ndio waliosababisha mchafuko wa Jamii za kibinadamu kwa kuleta Utofauti wa Rangi.

Hapo mwanzo Rangi ya watu ilikuwa ni moja tu, lkn baada ya ujio wa Aliens(mashetan) kuzaa na hawa watu wa Asili(watu weusi) ndipo ukaibuka uzao chotara wa hao watu weupe, pia uzao wa wanyawama machotara, pia hapa ndipo likaibuka zao jipya la mashetan chotara yaan mapepo ambao ndio hao majini na vibwengo,

Haya matukuio yalitokea hapa hapa dunian na kuna shahidi nyingi kihistoria na kibaolojia, pia shahid za nakala za matukio haya zipo.

Kwakumalizia, wale mnaoita malaika ktk ulokole ni Uzao wa mashetan ambao kinuru hujiita malaika, the same way kwa wale majin wanaojihusisha na ukatoric pia uislam,

Mungu wa dunia hii si mmoja bali wako wengii sana kila dini ina Mungu, na Miungu wote hawa wako chini ya Shetan mmoja wa Alien waliofukuzwa ktk Ulimwengu wa Viumbe vya rohon ambako ndiko hata mtu mweusi asili yake yatoka huko.

Maajabu Hizi habari hautofundishwa ktk makanisa wala misikiti maana hawa wote wanadini ndio walioiba story hizi wakaziEdit na kuunda mifumo ya dini zao za kipuuzi zinazomuabudu shetan kwa kificho.

Amkeni jamani dini zote ni Ujinga na uongo mtupu
 
Huo utafiti naona bado unakusanya data maana bado hujakamilika, kuna mapungufu mengi sana kwenye tafiti yako
 
Mnayajua madhara lkn ya kufanya Tahajudi(meditation) ama mnaiga tu tamaduni za watu
Waonekana wajua madhara ya tahajudi sasa kwa wale wasio na uwelewa wa madhara hayo embu wajulishe,

Lakini pia kila jambo lina pande mbili positive na negative pia! je nini faida zake

Rakims embu tumsikilize huyu majibu yake kwenye hasara na faida
 
NAENDELEA....!!!
Duniani ukipatizama kwa ulimwengu wa kinajimu unaona dunia mbili.Kuna dunia inayoonekana na dunia isiyoonekana.Kwenye dunia inayoonekana kila Mtu anaijua ila kwenye dunia isiyoonekana ni wachache wanaijua.
Mzee matata aliponiambia nichague himaya,basi nikaanza kumdadisi yeye yupo himaya ipi na akaniambia yafuatayo
MAMBO MATATU MAKUU
MOJA: Kuna mkuu wa ulimwengu akimaanisha mfumo wote wa sayari zinazojulikana na zisizojulikana.Na kuna mkuu wa wakuu nje ya mfumo wa ulimwengu.Mpaka sasa wanajimu wameshindwa kumchambua mkuu wa wakuu sababu yupo mbali ya mfumo huu wa nyota.Na himaya zipo mbili za mkuu wa mfumo wa ulimwengu na mkuu wa wakuu.Akasema wale watu warefu wanapoenda nje ya mfumo wa sayari za ulimwengu waga wanaenda kuripoti kwa huyo mkuu wa wakuu.
MBILI:Binadamu kiasili wamefanana kiumbo na aliyewatengeneza kuanzia sura na mpangilio wa mwili kasoro tu vimo na akili.Lakini binadamu ni zao la mawazo ya kiumbe mwenye nguvu na akili kuliko binadamu,hivyo basi binadamu hawakutokea kwa bahati mbaya.Ndio maana wale watu warefu wana muonekano kama binadamu kwa asilimia 90%.Sasa aliyewatengeneza either ni mkuu wa ulimwengu au mkuu wa wakuu nje ya mfumo wa ulimwengu.
TATU:Kuna ukweli na uongo na kuna uzuri na ubaya na kuna kujua na kutokujua na kuna kupatia na kukosea.Yote haya yanaheshimika sana katika unajimu.
Mzee matata akaniambia kama wewe shida yako ni kuwajua wale watu warefu basi nakushauri ujiunge na himaya yao.Unadhani kwanini mimi nawakimbia??? Jibu ni jepesi sipo katika himaya yao na hawanitambui ndio maana hawaji kwangu.Wewe unataka kuwajua ila ili uwajue zaidi lazima ujiunge katika himaya yao.Na ukijiunga katika himaya yao basi ujue watakua hawaonekani bali utaishi kwa imani""Wale walokole wanaishi kwa imani"""na sisi wanajimu tunaishi kwa kuona.Hiyo ndiyo tofauti yetu kwenye ulimwengu usioonekana kwa macho ya kawaida.
Akaendelea kusema himaya ya wale watu warefu wa anga za mbali ina nguvu sana kuliko himaya za watu warefu wa baharini au kwenye sayari ya Pluto,Jupter na Uranus.Hata vitabu nilivyokupa uvisome kuhusu wale watu warefu kila kitabu kina nguvu yake.Kitabu cha walokole kina nguvu na kitabu cha wanajimu kina nguvu.Lakini usiniulize swali lolote kwa sasa wewe endelea na utafiti wako na mimi nitakua nakusaidia pale unapokwama kimawazo na kielimu,na suala la kukufundisha kupaa lifute maana wazee wamenikatalia hivyo hakuna tena hicho kipengele tujifunze mengine.Akaniambia tujifunze mambi yafuatayo hapa chini
MOSI:Walokole ni akina nani kiroho
PILI:Wachawi ni akina nani kiroho
TATU:Wanajimu na waganga ni watu gani kiroho
NNE:Wale watu warefu na jamii zote mbili ni viumbe gani kiroho
TANO:Hii tunaita dini ni nini kiroho
SITA:Mungu ni nini kiroho na nguvu ya imani ni nini kiroho
SABA:Kifo ni nini kiroho
NANE:Siasa na utawala wa binadamu ni nini kiroho
TISA:Elimu ni nini kiroho
KUMI:Nini hitimisho la haya yoote.
Basi mzee wangu Matata akasema tutajifunza moja baada ya lingine
NB :Nilijua dunia hii ipo tofauti na wengi mnavyoiona kwa nje.Asilimia tisini ya vitu vinavyoonekana havipo kama vinavyoonekana kwa nje.Na katika ulimwengu wa roho binadamu wote ni sawa hakuna mbantu au mchina au mhindi au mzungu au mwarabu na nk.....!!!Wote ni sawa
NITAENDELEA...........!!!!!
Dah hongera
 
Huo utafiti naona bado unakusanya data maana bado hujakamilika, kuna mapungufu mengi sana kwenye tafiti yako
ilipendeza kama ungejibu kisomi yaani kihoja. Ungeelezea mapungufu yake yapo wapi na wewe unavyojua. Thread hii siyo kubishana wala kugombana bali kuelemishana.
Mtoa thread kadadavua vizuri sana, ilinibidi nisome thread yake mpaka comment zake. Kuna kitu nimejifunza kutokwa kwake
 
Azazeli ni nani mkuu?
Na ni kwa nini Haruni kuhani wa Mungu amtolee mbuzi Azazel huko jangwani? Sijapata muunganiko wa hili tukio na ni kwa nini Haruni ahusike na mbuzi huyu wa Azazeli.

AZAZEL ni mmoja wa malaika walioasi,....
 
Hakuna cha mlokole wala nani.

Mnayajua madhara lkn ya kufanya Tahajudi(meditation) ama mnaiga tu tamaduni za watu.

Haya mambo hayakuwai kuwepo Africa kabla ya ujio wa ukolon.

Ulokole ni kitawi cha ukristo, pia uislam kama ulivyo tawi la ukatoric, kiujumla hizi dini zinamilikiwa na kiumbe kimoja ambacho viongoz wenu wa dini hawatak kuwaambien ukweli.

Chunguza vizuri hao viumbe mnaowaona mara nyingi huakisi mionekano ya watu weupe, wazungu, watu wa Asia lkn hutoona viumbe hao wakiakisi mionekano ya watu weusi kwanini?.

Kama walivyowaaminisha Yesu ni mzungu+mtu mweupe, pia manabii na mitume walikuwa weupe the same way hata huko mbinguni wanawaaminisha kuna malaika weupe, kwanini hakuna mweusi?

Majibu utayapata ni kuwa, mtu mweusi/muafrika kabla hajatawaliwa kimwili, alitawaliwa kiroho na viumbe mashetani ambao wako wa kila aina lkn wote RACE YAO NI hao hao watu weupe(aliens), ndipo utawala kimwili wa watu weupe ukafuata afrika na kutuaminisha kuhusu biblia&quran ikihusisha wahusika wa maeneo yao tuu(hii ni akisi ya viumbe vilivyotawala watu weusi kiroho)

Nisiwachoshe kiufupi yule mnaemuita Mungu ndie yule yule shetan anaetawala dunia kupitia mifumo ya kiimani(dini zote), kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kiimani anatawala kupitia washirika wake ama wafuasi wake wa cheo kidogo(mashetani wadogo) ambao ndio wawakilishi wa dini ama Miungu inayotumika kuabudiwa na dini zenu, ndiomaana dini zote zina majina tofaut tofaut ya Miungu wao na stori tofaut lkn nyuma ya pazia wanamtumikia Kiumbe mmoja, yaani nyuma ya huyo mnaemuita Yesu+Yehova, Allah, kuna master ambaye ndie shetan anawaongoza hao Miungu wenu jinsi ya kuwacontrol kiroho.

Majini, malaika hawa wote ni majeshi ya kiroho ambayo hufanya kazi kulingana na imani na dini fulani.

Majeshi wa dini ya ukristo ni tofaut na majeshi wa dini ya uislam the same way kwa wabudha, waabudu mizimu, marastafali, na washirikina.

Majeshi yote hayo hutofautiana viwango vya nguvu na uwezo wa kumtumikia mwanadamu.

Majeshi hao wote wanatoka ktk uzao mmoja wa Aliens akiwepo shetan, ambapo pia majeshi hawa hawa kimwili ndio waliosababisha mchafuko wa Jamii za kibinadamu kwa kuleta Utofauti wa Rangi.

Hapo mwanzo Rangi ya watu ilikuwa ni moja tu, lkn baada ya ujio wa Aliens(mashetan) kuzaa na hawa watu wa Asili(watu weusi) ndipo ukaibuka uzao chotara wa hao watu weupe, pia uzao wa wanyawama machotara, pia hapa ndipo likaibuka zao jipya la mashetan chotara yaan mapepo ambao ndio hao majini na vibwengo,

Haya matukuio yalitokea hapa hapa dunian na kuna shahidi nyingi kihistoria na kibaolojia, pia shahid za nakala za matukio haya zipo.

Kwakumalizia, wale mnaoita malaika ktk ulokole ni Uzao wa mashetan ambao kinuru hujiita malaika, the same way kwa wale majin wanaojihusisha na ukatoric pia uislam,

Mungu wa dunia hii si mmoja bali wako wengii sana kila dini ina Mungu, na Miungu wote hawa wako chini ya Shetan mmoja wa Alien waliofukuzwa ktk Ulimwengu wa Viumbe vya rohon ambako ndiko hata mtu mweusi asili yake yatoka huko.

Maajabu Hizi habari hautofundishwa ktk makanisa wala misikiti maana hawa wote wanadini ndio walioiba story hizi wakaziEdit na kuunda mifumo ya dini zao za kipuuzi zinazomuabudu shetan kwa kificho.

Amkeni jamani dini zote ni Ujinga na uongo mtupu
Hata kama tunatakiwa kuheshimu mawazo ya mtu, ndo iwe pumba kiasi hiki lol,!!!!
 
Tupo historia yake vizuri. Nimejawa na wivu jinsi walokole wanavyolindwa na Mungu wao. Nami naingia kwenye utafiti rasmi
Kuna member hapo juu kaelezea vizuri.. kuna nabii wa Bwana alipewa historia kamili na mmilik wa aliye juu toka anga za mbali kuhusu malaika hawa walioasi..

Search YouTube anaitwa Prophet David Richard angalia shuhuda zake..
 
Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali.

Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani yenye kuchanganya kidogo sababu inajumuisha imani za dini za wanadamu na imani za dini zisizo za wanadamu. Pia inajumuisha watu ambao wanaitwa bin-adamu na inajumuisha watu wale wengine ambao hawana undugu na hawa watu wanaoitwa bin-adam.Nielezee kidogo hao watu wengine,nimewaita watu sababu wana maumbo kama binadamu ila vimo vyao vipo tofauti na wapo katika jamii mbili tofauti.

Kuna ile jamii ya wanaokaa angani ambapo bila ruhusa yao huwezi kuwafikia,na kuna ile jamii ambayo hata bila ruhusa yao unaweza kuwafikia na wanakaa chini ya bahari au mito au maziwa makubwa(Lakes).Ngoja nifafanue kidogo jamii za hawa watu.

Jamii ya watu wa angani inashuka sana duniani na sijui waga wanakuja kufanya nini ila mara nyingi wanajishugulisha na wale binadamu mnaowaita walokole,na ili uzungumze nao inategemea umekutana nao katika hali gani kwenye ulimwengu usio wazi kwa macho ya kawaida,kiasili sio waongeaji sana ila sura zao zinaakisi mwanga kwa namna ya tofauti na unaweza kujiuliza wanavaa mavazi gani, kwa mavazi wanavaa hizi nguo mnaita kanzu ila ni bwanga afu ndefu mpaka miguuni na ni nyeupe.

Jamii ile nyingine ya watu wasio na asili na binadamu ila wamefanana na binadamu kimuonekano lakini wana vimo vikubwa ni ile inayokaa chini ya bahari,maziwa(Lakes) na mito.Hii jamii wao ni wazungumzaji sana afu miili yao haiakisi mwanga na wanakuja sana duniani na unaweza kuwaona bila ridhaa yao kwa kufuata utaratibu wanaokupa wafuasi wao au wanajimu wa nyota mbao ni binadamu wa kawaida,na mavazi yao ni kanzu pia ila za rangi mbalimbali zaidi ya nyeupe.Na watu wanaojishugulisha nao sana ni wale watu ambao nyinyi binadamu mnawaita wanajimu na washirikina au wachawi ila inategemea ushirikina na uchawi wa wapi maana dunia ni kubwa kutoka bara moja mpaka lingine na ushirikina au uchawi unatofautiana.

Binadamu kuna vitu huwezi kuviona mpaka either uwe mshirika wa jamii mojawapo kati ya jamii hizo mbili nilizokutajia hapo juu.Lengo langu leo ni kuzungumzia mkuu wa jamii ile ya wale watu wa angani ambao wanapenda kushirikiana na walokole au watu wa kulia lia,maana huyo mkuu ana vitu vya tofauti kidogo ndio maana nikasema pale juu kua "Mungu wa walokole ana nguvu sana".

Katika utafiti wangu ndani ya ulimwengu usio,onekana inaonyesha kua walokole wanapendelewa sana na huyo mkuu wao,maana kuna vitu anawapa vya ziada wao hawavitumii sijui kwanini niligundua hilo huko mbele katika utafiti wangu.Nimemuita Mkuu au Mungu wa walokole sababu kila walokole wanapoanza kulialia""Kusali""wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wengine wana mabawa na wengine hawana wakitokea kwa mkuu wa walokole ama nilivyokuja kujua baadae huko huko angani wanawajia na wanawazunguka hawaondoki na lile eneo husika linakua na mwanga unaweza kupofusha macho (Ni kama mwanga wa jua au radi au shoti za umeme zile cheche) ila walokole waga hawawaoni nadhani waga wanalia(Kusali) kwa imani zaidi namaanisha meditation.

Nilisema hapo juu kua mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana nguvu sana maana wale walokole baada ya kulia kwa mkuu wao huwezi kuwasogelea katika hali ya nje ya ubinadamu au katika hali ya ushirika na jamii nyingine za kiroho zaidi ya mkuu wao na wale watu wa kuakisi mwanga.Kila mlokole anakua na yule mtu wa kuakisi mwanga na yule mtu haongei ila macho yake ni ishara tosha kua usimsogelee mlokole aliyenae.Cha ajabu wengi ya walokole hao katika hali ya ubinadamu wa kawaida hawana habari yoyote ile unawakuta sokoni au kwenye daladala au barabarani au ofisini au kwenye nyumba zao za ibada.

Sasa ikabidi nifanye uchunguzi juu ya huyo mkuu (Mungu) wa walokole,yupoje na ni nani, wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wanaishi nae vipi maana wana ushirika nae.Sababu ukitoka nje ya mwili kupitia(meditation) huwezi kuwasogelea hawa watu wa jamii ya kuakisi mwanga au hao walokole.Nikajikuta napata hamu ya kuchunguza mambo ya ulimwengu usionekana na hasa jamii za wale watu warefu wa angani na walokole hasa wale wa kulialia sisi binadamu tunaita kusali ila wao walokole wanaita kunena kwa lugha,na ni lugha ambayo inawafanya wawasiliane na wale watu warefu wa kuakisi mwanga.

Udadisi wangu ulijikita katika mambo makuu matano(5)
Mosi: Kwanini walokole wana uhusiano na wale watu wa kuakisi mwanga wanaotokea kule juu kusikofikika hata ukitoka nje ya mwili na kusafiri nje ya mzunguko wa sayari za kawaida kwa maelekezo ya wanajimu wa nyota?

Pili: Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na sio ile jamii ya chini ya bahari?

Tatu: Kwanini katika jamii za nje ya mwanadamu au mtu, hasa ile jamii ya watu wa kuakisi mwanga ina nguvu sana kuliko jamii za wale watu wanaokaa chini ya bahari na wasioakisi mwanga wa jua na mwezi?

Nne: Mkuu wa walokole kwanini yeye na wale watu wa kuakisi mwanga,hawana ukaribu na Mkuu wa wale watu wa jamii inayokaa baharini na chini ya maziwa na mito(Maana nayo ina mkuu wake) na hataki wafuasi wake wa dini yake wawe na ukaribu na walokole kwa namna yoyote ile?

Tano: Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao pamoja na nguvu zoote ila hawapi utajiri wa kibinadamu hao walokole ila ukitoka nje ya mwili hawa walokole wana nguvu sana mpaka uñashindwa kuwaelezea labda uone kwa macho.Tofauti na mkuu wa ile jamii nyingine ambayo karibia robo ya wafuasi wake wana access ya kupata mali za dunia hii tunayoishi binadamu wote.

Basi nikajikuta naanza utafiti kufuatilia nguvu za mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao.Ni nani na yupoje na anaishi wapi..Utafiti wangu ukanipelekea kuja na kichwa cha habari hapo juu kua Mungu wa walokole ana nguvu sana maana nilishuhudia mengi kumuhusu huyu Mungu wa hawa watu wa kulialia mnawaitaga walokole.

Safari yangu ya utafiti ilinikutanisha na wazee wa kibantu,wanajimu,viongozi wa dini za wanadamu zinazoonekana na zisizoonekana na watu wa jamii zile za nje ya ulimwengu wa mwanadamu.

ITAENDELEA
Wewe mlokole?
 
Hata mimi mwanzo niliona hivyo ila ukitoka nje ya mwili afu ukakaa kuwaangalia walokole,wapo tofauti...Nenda kwa mnajimu yoyote afu mwambie akufanyie zindiko au kafara ya mnyama utoke nje ya mwili afu sogelea walokole kwa mbali utaona muonekano wao.....Lakini usiwasogelee kwa manuidhi mabaya,utashindwa kuurudia mwili wako..
Kwahiyo haya mambo na aina za hawa watu, vina umuhimu gani, au shughuli gani katika haya maisha?
 
Kwa utafiti wangu katika miungu ya nje ya mwili.Mungu wa walokole au mkuu wao anaongoza kwa nguvu.Wale watu warefu wanaweza kukutazama tu ukarushwa kutokea sayari moja mpaka nyingine ukitaka kuwasogelea walokole wao wakiwa wanalia.Wenyewe walokole wanasema kunena kwa lugha..Na ile sio kunena bali wanakua wanazungumza na mkuu wao kama kilatini hivi,ila nyie mnaona wanaropoka ropoka hivi
Huyo anayerushwa mpaka sayari nyingine, katika maisha ya kawaida inakuwa ndio amefariki?
 
Back
Top Bottom