Hakuna cha mlokole wala nani.
Mnayajua madhara lkn ya kufanya Tahajudi(meditation) ama mnaiga tu tamaduni za watu.
Haya mambo hayakuwai kuwepo Africa kabla ya ujio wa ukolon.
Ulokole ni kitawi cha ukristo, pia uislam kama ulivyo tawi la ukatoric, kiujumla hizi dini zinamilikiwa na kiumbe kimoja ambacho viongoz wenu wa dini hawatak kuwaambien ukweli.
Chunguza vizuri hao viumbe mnaowaona mara nyingi huakisi mionekano ya watu weupe, wazungu, watu wa Asia lkn hutoona viumbe hao wakiakisi mionekano ya watu weusi kwanini?.
Kama walivyowaaminisha Yesu ni mzungu+mtu mweupe, pia manabii na mitume walikuwa weupe the same way hata huko mbinguni wanawaaminisha kuna malaika weupe, kwanini hakuna mweusi?
Majibu utayapata ni kuwa, mtu mweusi/muafrika kabla hajatawaliwa kimwili, alitawaliwa kiroho na viumbe mashetani ambao wako wa kila aina lkn wote RACE YAO NI hao hao watu weupe(aliens), ndipo utawala kimwili wa watu weupe ukafuata afrika na kutuaminisha kuhusu biblia&quran ikihusisha wahusika wa maeneo yao tuu(hii ni akisi ya viumbe vilivyotawala watu weusi kiroho)
Nisiwachoshe kiufupi yule mnaemuita Mungu ndie yule yule shetan anaetawala dunia kupitia mifumo ya kiimani(dini zote), kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kiimani anatawala kupitia washirika wake ama wafuasi wake wa cheo kidogo(mashetani wadogo) ambao ndio wawakilishi wa dini ama Miungu inayotumika kuabudiwa na dini zenu, ndiomaana dini zote zina majina tofaut tofaut ya Miungu wao na stori tofaut lkn nyuma ya pazia wanamtumikia Kiumbe mmoja, yaani nyuma ya huyo mnaemuita Yesu+Yehova, Allah, kuna master ambaye ndie shetan anawaongoza hao Miungu wenu jinsi ya kuwacontrol kiroho.
Majini, malaika hawa wote ni majeshi ya kiroho ambayo hufanya kazi kulingana na imani na dini fulani.
Majeshi wa dini ya ukristo ni tofaut na majeshi wa dini ya uislam the same way kwa wabudha, waabudu mizimu, marastafali, na washirikina.
Majeshi yote hayo hutofautiana viwango vya nguvu na uwezo wa kumtumikia mwanadamu.
Majeshi hao wote wanatoka ktk uzao mmoja wa Aliens akiwepo shetan, ambapo pia majeshi hawa hawa kimwili ndio waliosababisha mchafuko wa Jamii za kibinadamu kwa kuleta Utofauti wa Rangi.
Hapo mwanzo Rangi ya watu ilikuwa ni moja tu, lkn baada ya ujio wa Aliens(mashetan) kuzaa na hawa watu wa Asili(watu weusi) ndipo ukaibuka uzao chotara wa hao watu weupe, pia uzao wa wanyawama machotara, pia hapa ndipo likaibuka zao jipya la mashetan chotara yaan mapepo ambao ndio hao majini na vibwengo,
Haya matukuio yalitokea hapa hapa dunian na kuna shahidi nyingi kihistoria na kibaolojia, pia shahid za nakala za matukio haya zipo.
Kwakumalizia, wale mnaoita malaika ktk ulokole ni Uzao wa mashetan ambao kinuru hujiita malaika, the same way kwa wale majin wanaojihusisha na ukatoric pia uislam,
Mungu wa dunia hii si mmoja bali wako wengii sana kila dini ina Mungu, na Miungu wote hawa wako chini ya Shetan mmoja wa Alien waliofukuzwa ktk Ulimwengu wa Viumbe vya rohon ambako ndiko hata mtu mweusi asili yake yatoka huko.
Maajabu Hizi habari hautofundishwa ktk makanisa wala misikiti maana hawa wote wanadini ndio walioiba story hizi wakaziEdit na kuunda mifumo ya dini zao za kipuuzi zinazomuabudu shetan kwa kificho.
Amkeni jamani dini zote ni Ujinga na uongo mtupu