Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Sema tu Mungu atulinde sana! Mimi huwa najiuliza kuhusu manabii unakuta wengine wamepiga tattoo baadhi ya maeneo ya mwili, na wengine jamii ya kina suguye e.t.c huwa najiuliza nguvu za kutoa unabii wanazitoa wapi...mbona kuna vijana wapo wanamuomba sana Mungu hawajapata hiyo karama ila hawa wa tattoo nabiia kavaa jeans imechanika magotini hizi za kisasa...i dont know.
Si hukumu, Mwenyez Mungu anisamehe na atupe uwezo wa kupambanua hizo roho
Si hukumu, Mwenyez Mungu anisamehe na atupe uwezo wa kupambanua hizo roho