Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Sekunde hiyo hiyo...Tatizo walokole hawana uwezo wa kuona majibu yao kwa sababu wapo mwilini..Kabla hujayaona kimwili,,tayari umeshajibiwa..NDIO MAANA NGUZO KUU YA WALOKOLE NI IMANI NA KUAMINI
Kama ni sekunde hiyohiyo mbona sometimes ni kama hakuna majibu, sometimes yanachelewa.
Au inategemea na Imani?
 
Mwandishi,

Hivi
Kirohoni Kuna anae tuombea ,au hakuna,au mtu akibadilika na kuanza kunena Kwa lugha anabadilika kuwa moto,

Je,maria aliye mzaa yesu duniani,huko Rohoni uliwai kumuona akiwaombea ,watu, au ni mwombezi wa watu ?,

Na

Je, kunyoa,kusuka,kuvaa mawigi,Rasta, lipustiki,viatu mchuchumio ,kinywa pombe,sigara , nguo mlekezo na WAVAA VIMINI SKETI WAKINENA KWA LUGHA AU KUOMBA JE WANASIKIWA NA MALAIKA HUJA KWAO,

JE, WENYE MAWIGI ,ILE NDIMU YA MOTO KWENYE VICHWA VYAO IPO, NA INAKAA JUU YA MAWIGI YAO NA KUSUKA KWAO AU RASTA ZAO JUU NDIO NDIMI INAKUBALI KUKAA JUU YAO,

NA WALE WAVAA VIMINI ,VIPI MOTO HUWAFULIKA NA WANALINDWA NA KUVAA KWAO VIMINI NA MILEGEZO,
Walokole kuna vitu hawavai kimwili nadhani kuna roho inawaongoza katika kuishi maisha ya duniani.
 
Mimi kuna siku usiku niliota ndoto moja hivi.Niliota niko mkoa wa tanga,na mimi mkoa huo sijawahi kufika.Basi mbele yangu niliota naona kibao kimeandikwa shule ya msingi bombo tanga nikakipita nikasonga mbele nikaona bahari kubwa,mara kukatokea uwazi mkubwa wa kuingia chini ya bahari basi nikaingia chini kabisa.Kule chini ya bahari nilikuta kuna mtu amekaa kwenye kiti,alikuwa kavaa kanzu nyeupe ya kufifia na kichwani ana mapembe mawili makubwa na usoni ana sura kama beberu la mbuzi ila macho yake yalizuiwa na kitambaa ili asinione.Pembeni ya huyo mtu alikuwa kasimama jamaa mmoja workmate wangu na binti mmoja wa kike jirani namfahamu kabisa.Basi mimi niliomba kwa nguvu kwamba kwa jina la Yesu yule mtu aliyekuwa kwenye kiti akaanguka chini na wale watu nao wakaanguka,basi baada ya hapo nilitolewa kule na ndoto ikaisha
 
Mimi kuna siku usiku niliota ndoto moja hivi.Niliota niko mkoa wa tanga,na mimi mkoa huo sijawahi kufika.Basi mbele yangu niliota naona kibao kimeandikwa shule ya msingi bombo tanga nikakipita nikasonga mbele nikaona bahari kubwa,mara kukatokea uwazi mkubwa wa kuingia chini ya bahari basi nikaingia chini kabisa.Kule chini ya bahari nilikuta kuna mtu amekaa kwenye kiti,alikuwa kavaa kanzu nyeupe ya kufifia na kichwani ana mapembe mawili makubwa na usoni ana sura kama beberu la mbuzi ila macho yake yalizuiwa na kitambaa ili asinione.Pembeni ya huyo mtu alikuwa kasimama jamaa mmoja workmate wangu na mtoto mmoja wa kike mwanafunzi namfahamu kabisa.Basi mimi niliomba kwa nguvu kwamba kwa jina la Yesu yule mtu aliyekuwa kwenye kiti akaanguka chini na wale watu nao wakaanguka,basi baada ya hapo nilitolewa kule na ndoto ikaisha
Mkuu dunia ina mengi,,tuombee neema tu za Mungu mkuu na ulinzi wa Mwana wa mmiliki mwenye jina la kuogofya liitwalo Y.E.S.U
 
Ni kweli.
Kuna Mlokole anahisi kuwa mtu aliye karibu naye ana nguvu ya wale watu wasioakisi mwanga, je inawezekana huyo mtu si binadamu halisi ama ni agent wa hao watu wasioakisi mwanga?
UKIONA UNAHISI MWILI KUSISIMKA NA UNAHISI HOFU,,BASI UJUE UMEZUNGUKWA NA ADUI ZA WALOKOLE..SIFA YA KWANZA YA WALE WATU WANAOAKISI MWANGA WAKIWA KARIBU NAWE NI AMANI YA MOYO NA FURAHA...Na ni kweli kuna binadamu wana nguvu za kinyume na Mungu wa walokole na ni maadui wa walokole na imani yao
 
Sawa mkuu na Asante.
 
Mwandishi,

Hivi
Kirohoni Kuna anae tuombea ,au hakuna,au mtu akibadilika na kuanza kunena Kwa lugha anabadilika kuwa moto,

Je,maria aliye mzaa yesu duniani,huko Rohoni uliwai kumuona akiwaombea ,watu, au ni mwombezi wa watu ?,

Na

Je, kunyoa,kusuka,kuvaa mawigi,Rasta, lipustiki,viatu mchuchumio ,kinywa pombe,sigara , nguo mlekezo na WAVAA VIMINI SKETI WAKINENA KWA LUGHA AU KUOMBA JE WANASIKIWA NA MALAIKA HUJA KWAO,

JE, WENYE MAWIGI ,ILE NDIMU YA MOTO KWENYE VICHWA VYAO IPO, NA INAKAA JUU YA MAWIGI YAO NA KUSUKA KWAO AU RASTA ZAO JUU NDIO NDIMI INAKUBALI KUKAA JUU YAO,

NA WALE WAVAA VIMINI ,VIPI MOTO HUWAFULIKA NA WANALINDWA NA KUVAA KWAO VIMINI NA MILEGEZO,
Niwe mkweli tu na watu wajue...MAWIGI NA NGUO ZISIZO NA STAHA NA RANGI ZA KUCHA NA MAPAMBO MENGI TU HAYAMPENDEZI MUNGU WA WALOKOLE SABABU YANAONDOA UHASILIA WA MWANADAMU ALIVYOMUUMBA....ILA UJUE KUTOFAURISHA KATI YA USAFI WA MWILI NA MAPAMBO YA MWILI MAANA JUNA MAPAMBO ASILIA NA MAPAMBO BANDIA...SASA MUNGU WA WALOKOLE NI MUNGU ASILIA NA ANAPENDA MAPAMBO ASILIA ILA KUNA MUNGU BANDIA PIA NA ANAPENDA MAPAMBO BANDIA NA NI ADUI WA WALOKOLE
 
Mkuu Kwa hili, nimeamini umetumwa na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, Mungu wa Walokole.

Nimepata taarifa kuwa hapendezwi na hivi vitu.
 
Mkuu unasali dhehebu gani na vipi umefanikiwa kuwa na familia
Mimi sina dhehebu sababu hata hao walokole hawana dhehebu ila wana alama tu za kiroho na kimwili kupitia jina la Mwana wa mmiliki liitwalo EMANUELI.Na nimeamua kumfuata mungu wa walokole baada ya kuona ukuu wake na yeye amenilazamisha nimfuate maana ukuu wake ndio unaniweka hai..Wala mimi sio mkamilifu na ni mtu mwenye dhambi na nina mapungufu mengi tu.Lakini huyu Mungu wa walokole ana gravity kubwa mno siwezi kuiepuka na jina la Mwanae ni kinga tosha kuliko hirizi au pete au dua za watu wanaoabudu nyota ya mashariki na mwezi na malikia wa anga
 
Back
Top Bottom