Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Kule kwenye ulimwengu wa unajimu jina "Yesu"alitajwi kwa sababu kwenye hesabu zao linatoa moto bali wanatumia jina la kiarabu "Issa""au la kiyahudi ""Emanuhel""au""Mvumilivu ""Mwana wa mmliki""au yule mtu mpole wa mashariki,inavyoonyesha jina la yesu asili yake sio kwenye lugha za kibinadamu.Kwenye ulimwengu wa unajimu inaonyesha mungu wa walokole yupo ndani ya huyo Yesu na huyo Yesu yupo ndani ya Mungu wa walokole..Huyo yesu alipokua duniani ndio wanajimu wa kiajemi waakaanza kufuatilia nyota yake maana akiishi kama binadamu wa kawaida ila nyota yake ilikua inakua hadi kufikia leo hii ndio nyota inayoangaza kuliko nyota zoote nje na ndani ya ulimwengu usionekana.Kabla ya hapo hawakumjua.Lakini ukitaka kujua kuhusu huyo Yesu wa walokole waulize wanajimu wa elimu ya nyota na anga.
Sure Br..that's fact
 
Mungu huyo ni stori za vijiwe vya kahawa unamuadhibu vipi mtu unayejua mwisho wake ni motoni ina maana unaumba makusudi ILI upeleke watu motoni? Halafu anakujaribu na hapo hapo anajua utafeli anajitekenya mwenyewe na kucheka

Mungu ajuaye yote, mwenye nguvu zote, upendo wote hayupo sababu dhana ya kuwepo kwake inamkanganyiko.
Br ukiona we huwez ...kuna wapo walio weza na kuamin waka pona..ndo maana tunamuomba mung tuwe moja ya watu tutakao weza ..na kuingia ktk ufalme wake wa milele
 
Kajiunge na wenzako..
Wameshaingia sasa wanasubiri Flight 02KX, LAX-LHR 23:15pm
View attachment 2780222
View attachment 2780224
Hao walitakiwa waanze
tz waimalize kuhubiri injili waende Kwa majirani zetu tu Hapo Uganda na Kenya,

Waimalize na afrika ,

Ndio waanze kuota ndoto za kuhubiri injili nje ya bara la afrika,

Na kuhusu Techn, moyo tunao Imani tunayo,na bidii ,SEMA ,

Bahari, MAANA Teknolojia ni kama bahari YENYE vingi ndani yake, na washindani wakubwa ni wazungu ambao ni kama mawimbi ya bahari makubwa, Sasa kama ilivyo Kwa Petro, unapotezama mawimbi ya mabari ya techn za wazungu ,basi Imani inapungua na miguu kuwanza kuzama ,usiendelee na safari ,ya Kufikia lengo, Kuna WAKATI tukiwaangalia wenzetu yaani mawimbi ya bahari tuna zama Kwa KUJIONA si Kitu hatuwezi kusonga Tena na matokeo yake tunazama mazima,,
 
Huu ndio ukweli! Kwa sababu muandishi ameshaokoka ni ngumu kuwa na kumbumbukumbu ya matokeo ya nyuma kama alivyoanzisha uzi huu, kwa sababu amezika ukale wake na sasa ni kiumbe kipya, na kwa jinsi alivyo ni ngumu kuadithia mambo ya makufuru! Lkn Mungu akusaidie kwa kusudi moja tu wengine wapone kupitia shuhuda hizo. Amen
 
Katika ulimwengu wa Roho kuna watu wa namna tatu.
1. Kuna wanaotembea uchi ( Watemda dhambi na waasi)
2. Kuna wenye mavazi meupe (Wakristo wasio na maombi na wasio na ushuhda mzuri).
3. Kuna wenye mavazi meupe na wamezungukwa na nuru kali ya moto. Hawa wana mioto na mwanga mkali kwenye mioyo yao na wenye paji za uso wao.(Walokole) hawa hawatambuliki kwa makanisa yao, bali hatambuliwi kwa utakatifu na maisha yao ya maombi na ushuhuda.
Sure kk ..unajua AF unaongea fact..na sio watu wanasema walokolo sijui wanafki..sijui watenda dhambi ..kumbe wanashindwa kuwatofautisha watu hao.....i
 
SEMA ,kinachotisha ni kuwa,

Mbinguni hawaingii wenye mawaa, yaani Vazi lako likiwa Lina madowa yaani hata dowa Moja tu linakukosesha mbingu,

Ndio hapo tunakumbuka ,Yale maneno ya Yesu ,ukikosa Katika neno Moja tu basi kuwa kiroho umekosa yote ,

Yaani maanake Kwa Lile Moja ,unakuwa kundi la wakosaji ,wakiobeba lundo la madhambi na wewe na kadhambi Kako ksmoja unaungana nao,

Utakatifu ni kama yai au Kitu Cha kukitunza mno , MAANA ukijumba tu inadondoka na kupasuka ,

.UKIAMUWA KUWA MTAKATIFU ,AMUWA KUWA SAFI KATIKA YOTE ,SIKU ZOTE USIPUNGUKIWE HATA NA NENO HATA MOJA ,NDIO MAANA NI VEMA KUIJUA BIBLIA NZIMA INASEMA NINI ILI USIJE PUNGUKIWA NA NENO HATA MOJA ,

USHAURI WANGU,

AMBAO HATA MIMI NAFSNYA PIA,

CHUKUA KIDAFUTARI , ANDIKA TOKA MWANZO MPAKA UFUNUO YAKUPASAYO KUFANYA NA YASIO KUPASA HUKU UKIJUWA JUMLA YA MAMBO YOTE UTAYO ANDIKA HUMO YANALENGA UPENDO ,MAISHA YA UPENDO , MAANA NDIO JUMLA YA JUMBE ZOTE ZA MUNGU KATIKA BIBLIA KILELE CHAKE NI UPENDO.
 
Huu ndio ukweli! Kwa sababu muandishi ameshaokoka ni ngumu kuwa na kumbumbukumbu ya matokeo ya nyuma kama alivyoanzisha uzi huu, kwa sababu amezika ukale wake na sasa ni kiumbe kipya, na kwa jinsi alivyo ni ngumu kuadithia mambo ya makufuru! Lkn Mungu akusaidie kwa kusudi moja tu wengine wapone kupitia shuhuda hizo. Amen
Upo sahii mkuu,,,,nitaadithia vitu vya kujenga na sio simulizi zisizo na manufaa.Lengo la mada hii ni kuelezea tu ukuu wa Mungu wa walokole
 
Hivi Kuna malaika wa MUNGU wanaokuja duniani wamevaa mwili kama sisi binadamu ,size sawa ya miili na wameajiriwa maofisini na Wana nyuma zao mitaani walizo Jenga,

Wanakula chakula nasi, tuna pishana nao Kwa kusalimiana tu , tukidhani ni binadam kama sisi,

Au , malaika wanaishia rohoni tu wanapokuja duniani,
Hapana ,,,,malaika wa mwana wa mmiliki wanashuka na utukufu wao hata iwe ni katika muonekano wa kibinadamu na ambao ni nadra sana maana siku zote wapo duniani wakilinda wapendwa wao kwa utukufuku niliosema wanangaa au wanaonekana kama wanaakisi mwanga wa jua.Wanaovaa sura za kibinadamu na kuishi na watu kwa nia ovu ni wapinzani wa walokole na wale watu warefu wasioakisi mwanga hasilia na viongozi wao wanaoitwa MAKERUBIH WALIOASI AU MAKERUBIH WALIOANGUKA.WAKIONGOZWA NA MMILIKI WA IMANI YA KALE YA MALIKIA WA ANGA WA MASHARIKI YA KUSUJUDIA ANGA NA NYOTA NA MWEZI
 
Hapana ,,,,malaika wa mwana wa mmiliki wanashuka na utukufu wao hata iwe ni katika muonekano wa kibinadamu na ambao ni nadra sana maana siku zote wapo duniani wakilinda wapendwa wao kwa utukufuku niliosema wanangaa au wanaonekana kama wanaakisi mwanga wa jua.Wanaovaa sura za kibinadamu na kuishi na watu kwa nia ovu ni wapinzani wa walokole na wale watu warefu wasioakisi mwanga hasilia na viongozi wao kwa kigiriki wanaitwa MAKERUBIH WALIOASI AU MAKERUBIH WALIOANGUKA.WAKIONGOZWA NA MMILIKI WA IMANI YA KALE YA MALIKIA WA ANGA WA MASHARIKI YA KUSUJUDIA ANGA NA NYOTA NA MWEZI
Samahani, nilitaka nikuulize, Lucifer ni nani? Na ana nguvu ipi katika ulimwengu wa roho?
 
KUNA VITU WATU HAWAVITAMBUI
KATIKA ANGA KUNA ROHO ZILIZOJIPA HADHI YA KIUNGU ILA SIO MUNGU BALI ZINAITWA MIUNGU.
KWA MUJIBU WA WALE WATU WAREFU WENYE MABAWA WANAOAKISI MWANGA WA JUA NA WALINZI WA WALOKOLE WANASEMA KUA.HAPO MIAKA TIRIONI MARA TIRION ISIYOKUA NA IDADI ALIKUEPO MUNGU MKUU PEKE YAKE NA WASHIRIKA ZAKE TU,AMBAO NI MWANA WA MMILIKI AMBAE AMETOKEA NDANI YA ROHO YAKE ANAITWA EMANUELH NA ROHO YAKE TAKATIFU IITWAYO ROHO YA MUNGU NA MLINZI MKUU WA ANGA GABRIEL MPIGANAJI NA MUIMBAJI WAKE MKUU LUSIFAH MUANGAVU NA MPELEKA HABARI ANGA ZA MBALI RAFAELH HAO NI KWA UCHACHE TU,MAANA WALIKUEPO WASHIRIKA WAKE AMBAO BINADAMU MNAITA MALAIKA ROHO ZAIDI YA TRIONI NA TRIONI ZISIZO NA IDADI KATIKA VITRNGO NA VYEO TOFAUTI TOFAUTI NA KINAJIMU WANAZIITA JESHI LA ANGANI AU MBINGUNI.
MUNGU WA WALOKOLE ALIWAPENDA WOTE NA HAKUBAGUA HATA MMOJA NA ALIWEKA WAZI YEYE NI MUNGU MKUU NA MWANAE MWANA WA MMILIKI NI ROHO YAKE NA NAFSI YAKE NA MWANAE MPENDWA NA ROHO ZOTE ZA HAO WAKAZI WA MASKANI YAKE AU BINADAMU WANAITA MBINGUNI NI PUMZI YA UHAI WAKE.
MIAKA TRIONI NA TRIONI ILIYOPITA KUKATOKEA MKWARUZANO KATI YA WAKAZI WA MASKANI YA HUKO KUHUSU MAMLAKA..ILIKUA HIVI
MAHALI ANAPOKAA MUNGU MKUU WALIKUA WANAWEZA KUSOGEA NA KUKAA ROHO CHACHE IKIWEMO ROHO YA KERUBIH MKUU LUSIFAH AMBAE UTUKUFU WAKE HAUNA MFANO NA ALIKUA NA UHURU WA KUMUONA MMILIKI MOJA KWA MOJA KAMA ALIVYO MWANA WA MMILIKI.
LUSIFAH ALIWAKUSANYA MAKERUBIH KWA KIKAO CHA DHARURA NA KUWAAMBIA KUA YEYE ANA WAZO JUU YA HATIMA YAO YA UMILELE NA ANA MAWAZO BORA KABISA YA KUMZIDI HATA MUNGU MKUU..NA ANAO UTUKUFU WA KUMZIDI MUNGU MKUU NA ANAYO MAARIFA YA KUMZIDI MUNGU MKUU.
AKAWATAKA KWA MADARAJA YAO WAMUUNGE MKONO WAANZISHE TAWALA NYINGINE NA YEYE AKIWA MUNGU MKUU WA MILIKI YOTE NA WAMFUKUZE MUNGU MKUU TOKA KWENYE MASIKANI YAKE IITWAYO PATAKATIFU PA WATAKATIFU PA ULIMWENGU WOTE PANAPOMSITAHILI MUNGU MKUU TU PEKE YAKE.
KERUBIH LUSIFAH AKAWAHAIDI MAMLAKA KUU KULIKO ZOTE WALIZOKUA NAZO,,BASI UKAZUKA MJADALA NA MKWARUZANO MKUBWA SANA KATI YA MAKERUBIH.
KUMBE HILO WAZO HALIKUMPENDEZA GABRIEL KERUBIH MKUU WA ULINZI NA HALIKUMPENDEZA PIA KERUBIH MIKAELIH NA KERUBIH RAFAELIH WAKAENDA KWA MWANA WA MMILIKI EMANUELIH KULIZINGUMZIA MAANA HUU USHAWISHI ULIKUA UMECHUKUA ZAIDI YA MIAKA MILIONI NA MILIONI KILA SIKU KERUBIH LUSIFA AKIWASHAWISHI MAKERUBIH WA MASIKANI YA MUNGU WA WALOKOLE WAMUUNGE MKONO.
BASI MWANA WA MMILIKI AKASEMA BABA ANAJUA YOTE HAYA NA KANYAMAZA KUONA IMANI ZA MIOYO YENU NA UTIIFU WENU KWAKE.
KERUBIH GABLIELI AKAMWENDEA KERUBIH LUSIFAH NA KUMWAMBIA KUA UKIENDELEA NA MAWAZO YA UASI NITAOMBA KIBALI NIKUONDOE KWENYE MASIKANI YA MUNGU WANGU..NA HAKUNA KERUBIH ANAYEKUUNGA MKONO ANGA LOTE..
KERUBIH LUSIFAH AKAKASIRIKA NA KUSEMA MIMI NINA UTUKUFU KULIKO MUNGU WAKO NA NINA UWEZO KULIKO MUNGU WAKO NA MAKERUBIH WOOTE WANANIUNGA MKONO NITAKUONDOA WEWE NA MUNGU WAKO KWENYE MASIKANI HII.
HILO JAMBO NA HIYO KAULI IKASIKIKA MAHALI KOTE KWENYE MASIKANI YA YA MUNGU MKUU WA WALOKOLE NA HILO JAMBO HALIKUMPENDEZA KERUBIH GABRIEL NA AKASEMA WALIO UPANDE WA MWANA WA MUNGU WASEME NA WALIO UPANDE WA KERUBIH LUSIFA WASEME KWA KUA NI WAKATI WA KUFANYA MAAMUZI SAHII.
BASI KUKATOKEA PANDE MBILI ZA MATRIONI NA MATRIONI ZA MAKERUBIH WAKAGAWANYIKA TAYARI KWA VITA NA MAPAMBANO.
NDIPO MUNGU MKUU AKAINGILIA KATI KWA KUSEMA MAHALI PAKE NI MAHALI PATAKATIFU NA WALIOPO KINYUME NAE WAMELAANIWA NA ANAWAONDOA KATIKA MASIKANI YAKE WASIICHAFUE.
ILIWACHUKUA MIAKA MAMILIONI NA MAMILIONI MAKERUBIH KILA SIKU WAKIMSIKIA KERUBIH LUSIFAH AKITANGAZA UKUU WAKE NA KUWASHAWISHI MAKERUBIH WAMUASI MUNGU MKUU ALIYEKUA KAKAA KIMYA KAMA HAWASIKII KUMBE ANAWAPA MDA ILI WATUBU DHAMBI ZAO.
LAKINI ILIMCHUKUA SEKUNDE MOJA TU KWA MUNGU MKUU KUWATOA LUSIFAH NA WALE MAKERUBIH WALIOMUUNGA MKONO NDANI YA MASIKANI YAKE TAKATIFU..NA ALIWATOA KWA HASIRA KUU AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA NA MPAKA LEO WANAJUTIA MAAMUZI YAO YA KUMSALITI MKUU WAO.
NB: VITA ILIPIGANWA KWA SEKUNDE MOJA TU KWA SABABU HAKUNA ROHO INAYOWEZA KUPIGANA NA MUNGU MKUU WA WALOKOLE MWENYE NAFSI TATU ZENYE UKUU WA KUOGOFYA.
NB: HAYA YALITOKEA MIAKA MATIRIONI NA MATIRIONI YALIYOPITA NA BINADAMU TUMEPOKEA SIMULIZI HIZI KUTOKA PANDE MBILI
1: BINADAMU TUMEPOKEA SIMULIZI KUTOKA KWA MAKERUBIH WALIOMUUNGA MKONO MUNGU MKUU WA WALOKOLE NA MWANA WA MMILIKI
2: NA KUNA BINADAMU WAMEPOKEA SIMULIZI HIZI KUTOKA UPANDE WA MAKERUBIH WALIOFUKUZWA KWENYE MASIKANI YA MUNGU WA WALOKOLE.
ANGALIZO :
NADHANI KUNA VITU MMEVIELEWA NDUGU ZANGU................!!!!NITAENDELEA
 
LAKINI ILIMCHUKUA SEKUNDE MOJA TU KWA MUNGU MKUU KUWATOA KWRUBIH LUSIFAH NA WALE MAKERUBIH WALIOMUUNGA MKONO NDANI YA MASIKANI YAKE TAKATIFU..NA ALIWATOA KWA HASIRA KUU AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA NA MPAKA LEO WANAJUTIA MAAMUZI YAO YA KUMSALITI MKUU WAO.

Aisee hapo nimeelewa.
Kumbe Lucifer alipewa muda wa kutubu tena mamilioni ya miaka. Kweli Mungu wa Walokole ni Mungu anayesamehe.
 
Hapana ,,,,malaika wa mwana wa mmiliki wanashuka na utukufu wao hata iwe ni katika muonekano wa kibinadamu na ambao ni nadra sana maana siku zote wapo duniani wakilinda wapendwa wao kwa utukufuku niliosema wanangaa au wanaonekana kama wanaakisi mwanga wa jua.Wanaovaa sura za kibinadamu na kuishi na watu kwa nia ovu ni wapinzani wa walokole na wale watu warefu wasioakisi mwanga hasilia na viongozi wao wanaoitwa MAKERUBIH WALIOASI AU MAKERUBIH WALIOANGUKA.WAKIONGOZWA NA MMILIKI WA IMANI YA KALE YA MALIKIA WA ANGA WA MASHARIKI YA KUSUJUDIA ANGA NA NYOTA NA MWEZI
Kwahio kumbe ni majini tu ndio yanayo Vaa miili ya kibinadam
Na hakuna malaika anaeluhusiwa kuvaa miili ya kibinadam ,? Ni majini tu
 
Hii ni ukweli mweupe kabisa! Asante sana nazidi kujifunza zaidi na zaidi,
 
Back
Top Bottom