Sure kk ..unajua AF unaongea fact..na sio watu wanasema walokolo sijui wanafki..sijui watenda dhambi ..kumbe wanashindwa kuwatofautisha watu hao.....i
SEMA ,kinachotisha ni kuwa,
Mbinguni hawaingii wenye mawaa, yaani Vazi lako likiwa Lina madowa yaani hata dowa Moja tu linakukosesha mbingu,
Ndio hapo tunakumbuka ,Yale maneno ya Yesu ,ukikosa Katika neno Moja tu basi kuwa kiroho umekosa yote ,
Yaani maanake Kwa Lile Moja ,unakuwa kundi la wakosaji ,wakiobeba lundo la madhambi na wewe na kadhambi Kako ksmoja unaungana nao,
Utakatifu ni kama yai au Kitu Cha kukitunza mno , MAANA ukijumba tu inadondoka na kupasuka ,
.UKIAMUWA KUWA MTAKATIFU ,AMUWA KUWA SAFI KATIKA YOTE ,SIKU ZOTE USIPUNGUKIWE HATA NA NENO HATA MOJA ,NDIO MAANA NI VEMA KUIJUA BIBLIA NZIMA INASEMA NINI ILI USIJE PUNGUKIWA NA NENO HATA MOJA ,
USHAURI WANGU,
AMBAO HATA MIMI NAFSNYA PIA,
CHUKUA KIDAFUTARI , ANDIKA TOKA MWANZO MPAKA UFUNUO YAKUPASAYO KUFANYA NA YASIO KUPASA HUKU UKIJUWA JUMLA YA MAMBO YOTE UTAYO ANDIKA HUMO YANALENGA UPENDO ,MAISHA YA UPENDO , MAANA NDIO JUMLA YA JUMBE ZOTE ZA MUNGU KATIKA BIBLIA KILELE CHAKE NI UPENDO.