Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
ThibitishaYupo kila mahali mku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThibitishaYupo kila mahali mku
Ukiacha mbinguni, Mungu anakaa ndani ya MtuThibitisha
Ukishaona una haja ya kumuomba Mungu tu, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.Tuombe,
Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe,
Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote,
-Utusamehe makosa yetu
-Utuepushe na kila aina za hatari na bahati mbaya
-Uwasaidie wale wote wanaopitia changamoto mbalimbali za kimaisha, wagonjwa, waliofungwa kwa kesi za kusingiziwa , wasio na ajira na wote wanaopita changamoto za kiuchumi.
-Uwaepushe na ajali wale wote waliopo safarini.
-Ulilinde taifa letu, Uwape viongozi wetu hekima ya kuongoza nchi vema na kuwa na hofu juu yako.
Ninaomba kwa ajili ya wote wanaokumbuka na wasiokumbuka kuomba, tazama sisi sote ni watoto wako,
Katika Jina la YESU KRISTO, jina lipitalo majina yote ninaomba nikiamini AMEN.
AmenMaombolezo 3:22
"Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi."
Ndio maana hatuangamii
Kwani baba yako unamwomba kwa sababu hayupo?Ukishaona una haja ya kumuomba Mungu tu, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Angekuwapo, angekupa unachohitaji kabla hujamuomba.
Kitendo cha wewe kumuomba ni uthibitisho kwamba hayupo.
Ipo siku utaelewaThibitisha
Kwani baba yako unamwomba kwa sababu hayupo?
Hata kama unaomba ada,
Kuelewaje Tena?Ipo siku utaelewa
Mungu Hana account kwenye mitandao ya kijamii hivyo hawezi kusoma yaliyomo humuUkiacha mbinguni, Mungu anakaa ndani ya Mtu
kinyume chake ni hiki, ukiacha kuzimu shetani anakaa ndani ya mtu pia
Mungu anakaa ndani ya Mtu nimekuambiaMungu Hana account kwenye mitandao ya kijamii hivyo hawezi kusoma yaliyomo humu
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Tuombe,
Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe,
Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote,
-Utusamehe makosa yetu
-Utuepushe na kila aina za hatari na bahati mbaya
-Uwasaidie wale wote wanaopitia changamoto mbalimbali za kimaisha, wagonjwa, waliofungwa kwa kesi za kusingiziwa , wasio na ajira na wote wanaopita changamoto za kiuchumi.
-Uwaepushe na ajali wale wote waliopo safarini.
-Ulilinde taifa letu, Uwape viongozi wetu hekima ya kuongoza nchi vema na kuwa na hofu juu yako.
Ninaomba kwa ajili ya wote wanaokumbuka na wasiokumbuka kuomba, tazama sisi sote ni watoto wako,
Katika Jina la YESU KRISTO, jina lipitalo majina yote ninaomba nikiamini AMEN.
Sawa mkuu. Sasa Kuna haja Gani uandike humu kwenye mitandao ya kijamii?Mungu anakaa ndani ya Mtu nimekuambia
Sina hakika sana kama Mungu wetu Huwa anapitapita humu na kusoma thread za humu.
AmenTuombe,
Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe,
Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote,
-Utusamehe makosa yetu
-Utuepushe na kila aina za hatari na bahati mbaya
-Uwasaidie wale wote wanaopitia changamoto mbalimbali za kimaisha, wagonjwa, waliofungwa kwa kesi za kusingiziwa , wasio na ajira na wote wanaopita changamoto za kiuchumi.
-Uwaepushe na ajali wale wote waliopo safarini.
-Ulilinde taifa letu, Uwape viongozi wetu hekima ya kuongoza nchi vema na kuwa na hofu juu yako.
Ninaomba kwa ajili ya wote wanaokumbuka na wasiokumbuka kuomba, tazama sisi sote ni watoto wako,
Katika Jina la YESU KRISTO, jina lipitalo majina yote ninaomba nikiamini AMEN.
Kumbukumbu la Torati 6:7-9Sawa mkuu. Sasa Kuna haja Gani uandike humu kwenye mitandao ya kijamii?