Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kumbe tuna vitu tunaamua kuvifanya bila kuwa kwenye utaratibuUna uhakika wewe ni mwana wa Mungu?
Yapo mazingira ambayo yatakuhitaj uombewe, unaumwa huwezi basi utahitaji kuombewa, unapita kwenye changamoto ambayo akili yako imefika mwisho utahitaji kuombewa, huna nguvu ndani yako(mahusiano yako na Mungu ni hayapo au hafifu) utahitaji kuombewa
so sisi wote ni watakatifu? kwenye hii forum?Waefeso 6:18
[18]kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;
Praying always with all prayer and supplication in the Spirit, and watching thereunto with all perseverance and supplication for all saints;
Sio lazima awe mzee wa kanisa mkuu, soma na hapo
ungekuwa mwanafunzi wa Yesu ungekuwa unaelewa hayo unayouliza, lakini napata shaka kidogohivi kumbe tuna vitu tunaamua kuvifanya bila kuwa kwenye utaratibu
mimi nimeuliza why anatuombea, ukatoa aya ambayo inasema mzee wa kanisa anatakiwa kuombea, sasa nauliza aliyeleta ombi kwenye hii mada ni mzee wetu wa kanisa. kama siyo why atuombee (kama swali limekuzidi kaa mbali mwenye mada ajibu)
mimi ni mwanafunzi wa Yesu ambaye nimefundishwa kufanya tu yaliyo kwenye biblia au nakosea
Ayubu 42:10hivi kumbe tuna vitu tunaamua kuvifanya bila kuwa kwenye utaratibu
mimi nimeuliza why anatuombea, ukatoa aya ambayo inasema mzee wa kanisa anatakiwa kuombea, sasa nauliza aliyeleta ombi kwenye hii mada ni mzee wetu wa kanisa. kama siyo why atuombee (kama swali limekuzidi kaa mbali mwenye mada ajibu)
mimi ni mwanafunzi wa Yesu ambaye nimefundishwa kufanya tu yaliyo kwenye biblia au nakosea
inawezekana kwani tunafahamiana mkuu?, wale walio watakatifu watapokea wasio watakatifu itakuwa upuuzi kwaoso sisi wote ni watakatifu? kwenye hii forum?
Ana wanyeshea mvua wema na waovu mkuu, Jambazi, kahaba, mchawi na mlokole wote wakilima watapata mazao, usije ukasahau hiloNi Mungu wa neema kweli? Wanaopata raha na wanaoteseka vipi? Basi tuseme "Mungu mwenye upendeleo ".