Mungu wetu ni Mungu wa rehema

Ukishaona una haja ya kumuomba Mungu tu, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwapo, angekupa unachohitaji kabla hujamuomba.

Kitendo cha wewe kumuomba ni uthibitisho kwamba hayupo.
 
Ukishaona una haja ya kumuomba Mungu tu, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwapo, angekupa unachohitaji kabla hujamuomba.

Kitendo cha wewe kumuomba ni uthibitisho kwamba hayupo.
Kwani baba yako unamwomba kwa sababu hayupo?

Hata kama unaomba ada,
 
Kwani baba yako unamwomba kwa sababu hayupo?

Hata kama unaomba ada,

This logical fallacy is called non sequitur.

Baba yangu si muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.

Kwani Mungu wako uwezo wake, ujuzi wake na upendo wake ni sawa na wa baba yangu?

Mungu wako naye hajui mahitaji yangu mpaka aombwe?
 
Amina πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Lakini Mungu, ambaye ana huruma nyingi, kutokana na upendo wake mkuu ambao alitupenda nao, Japokuwa tulikuwa bado tumekufa kiroho kwa sababu ya makosa yetu, alitufanya tuwe hai pamoja na Kristo Yesu. Mmeokolewa kwa neema. Wafeso 2:4-5
 
Amen.


Hakika na atubariki katika kila tufanyalo lenye kutuletea mafanikio kwa njia chanya.
 
Mwenyezi Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili. Hatukemeikemei daima, wala hasira yake haidumu milele. Zab. 103.8
 
Amen
 
Sawa mkuu. Sasa Kuna haja Gani uandike humu kwenye mitandao ya kijamii?
Kumbukumbu la Torati 6:7-9

[7]nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.

[8]Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.

[9]Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako.

Zingatia mstari wa 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…