Mungu Yuko wapi?

Hizo story za watu kuona vitu baada ya kufa hazinitishi coz in the end of the day kila mtu anakuja na story zake na tests zimefanyika kwamba out of body experience ni za uwongo na watu hawawezi ona after death hence ni mental activity tu. Hakuwezi kuwa na mbingu na Moto tofauti kutokana na Imani ya mtu hence it proves it's not real. Sawa kaona vitu hata watu husema kuona bikra maria kuona majini Ila doesn't make it true. Soma mambo ya ubongo utaelewa zaidi sio kila kitu unachoona ni real
 
Mpaka sasa hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu gani?

Kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo umalize utata kuhusu kuwepo kwa Mungu.
Huwezi kumuona Mungu kwakuwa hujamtafuta na usitake kila mtu aamini unavyoamini, Mungu ni Roho hivyo wewe ulivyo kimwili huwezi kumuona ni lazima umtafute kwa njia ya Roho ndio utamuona
 
Kwani wewe ulishawahi kufa ukafufuka?

Kama ulishawahi, tujulishe ulichoexperience.

Kwa mujibu wa Meja Jenerali Benjamin Msuya, yeye alipokufa, alifika Mbinguni na Jehanamu. Kipindi chote hicho, mwili wake ulikuwa umehifadhiwa hospitalini nchini Uingereza huku JWTZ wakijiandaa kwa mazishi yake.

Kama ulishawahi kufa, tuambie ulichoexperience!
 
Huwezi kumuona Mungu kwakuwa hujamtafuta na usitake kila mtu aamini unavyoamini, Mungu ni Roho hivyo wewe ulivyo kimwili huwezi kumuona ni lazima umtafute kwa njia ya Roho ndio utamuona
Kama ni mmoja mbona kila mtu anamuona tofauti...kila mtu anaamini mawazo yake ndo Mungu anamuambia at the same time yanapingana na kila mtu...how does this make sense to u... Roho ni Nini...huwezi elezea roho ni Nini.
 
😂Hivi umesoma medicine...out of body experience ni phenomenon ambayo haina full answers according to research. Lakini kusema hivyo wamekufa wengi na kuona vitu tofauti Kama mbingu au Motoni ni moja kwa Nini kunatofautiana according to story za watu...Kuna watu mpaka wanasema sijui Motoni zinapigwa nyimbo za Rihanna... Ehe unasemaje why kuwe na tofauti it shows ni kitu Cha akili sio reality...Kama we umeamini ni juu yako lakini hizi story za kumtisha mtoto wa kike mwenye miaka minne sio mimi
 
Unakubali kuwa Kuna watu walishawahi kufa na kufufuka?
 
Kama ni mmoja mbona kila mtu anamuona tofauti...kila mtu anaamini mawazo yake ndo Mungu anamuambia at the same time yanapingana na kila mtu...how does this make sense to u... Roho ni Nini...huwezi elezea roho ni Nini.
Kama huna Imani ni ngumu kukueleza Roho ni nini, hata mimi nilikuwa sielewi watu wakisema habari za Mungu, nilikuwa naenda kanisani tu, ila sasa ninamjua..
 
Unaamini kuna uchawi?
 
Kama ulipata habari zake kuwa yupo basi fanya bidii za kumtafuta mpaka upate kujua kuwa yupo Ibrahimu alitaka kumchinja mwanae wa pekee Isaka kwa imani tu na akafanywa kuwa Baba wa mataifa sasa kama neno lake limeletwa kwetu tulichopewa ni kuamini na kumpenda kinyume cha hapo ni hatari kubwa sana.
 
Kama huna Imani ni ngumu kukueleza Roho ni nini, hata mimi nilikuwa sielewi watu wakisema habari za Mungu, nilikuwa naenda kanisani tu, ila sasa ninamjua..
Imani ni sawa na uchizi...kuamini kitu bila udhibitisho...so it's blind belief. So sio kitu Cha kujisifia Kama mtu mzima. Especially when umeamua kuamini Yesu na sio Babu Christmas wakati wote hawana ushahidi Ila umeamua kuchagua mmoja na kusema mwingine feki. Kama unajua roho ni nini eleza
 
Kulitokea nini kwa Meja Jenerali Benjamin Msuya?
Hakufa... Kama alikufa angetangazwa kafa afu akatangazwa kafufuka... Hii story unaijua wewe na wafuasi wenzako wa habari za uwongo. Hamna sehemu yoyote katangazwa hivyo kafa na kuona moto sijui mbingu...if so leta official government au hospital statement ikisema hivi na kukubali if not. Ni story zake tu kichwani hata me naweza kuwa clinically dead na nikasema nakumbuka kuona vitu fulani doesn't make hell n heaven exist. Coz if it did, hizo story zote zingekuwa zinaelezea sehemu moja
 
Hell ipo ni jalala lipo huko Jerusalem.
Hio ni Sheol...the bible itself imeiba concept kutoka kwa fiction na dini zingine . Zamani ilikuwa either eternal lyf au death wakaona watu hawaogopi kufaa waka introduce hell as a place of eternal fire ambayo ipo kwenye new testament tu...this shows waliotunga hizi story walikuwa wanasaka a way kutishia watu ndo wakatumia hell ..so mi ka mtu mzima hawanitishi
 
Usiniletee hadithi za mababu wa jangwani Kama reference ya kihistoria...nipe point or else tembea...
 
Huwezi kumuona Mungu kwakuwa hujamtafuta na usitake kila mtu aamini unavyoamini, Mungu ni Roho hivyo wewe ulivyo kimwili huwezi kumuona ni lazima umtafute kwa njia ya Roho ndio utamuona

Kwanza sijataka kumuona Mungu, nimetaka uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Piki, sitaki mtu aamini ninavyoamini, kwa kweli kuamini si kitu muhimu, kwa sababu kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka, iwe imani iliyo katika kweli au uongo. Ndiyo maana najikita kwenye uthibitisho.

Tatu, hiyo roho nayo ni kamba tupu. Nakutaka uthibitishe Mungu yupo, jambo ambalo nasema si kweli, ni uongo, unaniletea habari za roho, kitu ambacho mimi nasema ni uongo nwingine, roho ni ukajanja tu, haipo.

Ukibisha, thibitisha roho ipo.
 
Yani hata uki simplify ukasema elimu ni literacy, numeracy, degrees na diplomas (as overall metrics and indicators for more complex versions of "elimu" ambazo kuzipima si rahisi), jamii zenye elimu hiyo kubwa (e.g Northern Europe) ndizo zenye kukataa uwepo wa Mungu zaidi ya jamii zisizo na elimu hiyo kwa sana kama Afrika na Middle East

Na jinsi jamii zisizo na elimu hiyo kwa sana kama Africa na Middle East zinavyozidi kupanua mawazo kutokana na kupata elimu hizo kwa sana, adjusting for cultural factors, ndivyo jamii hizo zinavyozidi kutoka kwenye imani ya Mungu.

Nimetoa links tatu za Middle East and North Africa hapo juu. Huku Africa kusini ya Sahara nimeeleza kwa nini hata wasomi bado wanajinadi kuamini Mungu kwa unafiki lakini ukiangalia wanavyoiba unaona wazi hawaamini Mungu.

Action speaks louder than words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…