Uhusiano siuoni kwa sababu nikiangalia waarabu ambao hawana umasikini ila wanatuzidi kwenye imani ya Mungu hadi wanakuja kutupa misaada kwa msukumo wa imani ya Mungu.Huu nao ni ujinga.
Huwezi kuona mstari unaounganisha umasikini na kukosa elimu, ambao unakwenda moja kwa moja pia kutoka kukosa elimu mpaka imani ya Mungu.
Imani ya Mungu => Kukosa elimu => Umasikini.
Huoni uhusiano huu?
Jibu swali kazi ya risiti ni niniUnataka kusema nini?
Waarabu ni special case ya utajiri wa mafuta, utajiri ambao hautumii akili, ambao hata wao wanapigwa sana kwa sababu hawakujua kuchimba mpaka hivi karibuni ndiyo wanajenga capacity.Uhusiano siuoni kwa sababu nikiangalia waarabu ambao hawana umasikini ila wanatuzidi kwenye imani ya Mungu hadi wanakuja kutupa misaada kwa msukumo wa imani ya Mungu.
Unajuaje Mungu wa Biblia ndo Mungu mkubwa na sio mdogoUmekuta kuna mgawo wa vitu mbali mbali, tena vinatolewa bure! Halafu unapewa uhuru wa kuchagua, ungechagua kipi?
Umeruhusiwa kuchagua kimojawapo kati ya hivi:
1. Chumvi kilo mia mbili
2. Pamba kilo mia
3. Sukari kilo themanini
4. Dhahabu safi kilo hamsini
5. Baiskeli mpya
Wewe ungechagua kipi?
Mimi nitachukua kilo hamsini za dhahabu. Kwa kilo hizo hamsini, naweza kuvipata na hivyo vyote vilivyoorodheshwa, na vingine vingi, ikiwa nitahitaji.
Ikiwa mtu amejiridhisha kuwa Mungu anayemwamini ni kila kitu, na ni zaidi ya Miungu mingine yote,ya nini kuhangaika tena na tumiungu tudogo?
Aliye na MUNGU MKUBWA hahitaji tumiungu. Mwenyezi Mungu ni kila kitu!
Ndio maana nikasema usiwe na hofu wala sitaki kuondoa uspesho na utukufu unaouona kwa wazungu, wala sitaki kuwashusha wazungu wako kuwa ni binaadamu sawa na waafrika.Mzungu katengeneza chanjo ya corona huku mnauombea uondoke mnadanganyana Mungu kaikoa nchi kwa corona kisa Ina dini kumbe watu kibao wanakufa na kuzikwa afu unasema we na mzungu mpo sawa kimaarifa, kamtawale basi
SawaNdio maana nikasema usiwe na hofu wala sitaki kuondoa uspesho na utukufu unaouona kwa wazungu, wala sitaki kuwashusha wazungu wako kuwa ni binaadamu sawa na waafrika.
Mimi nazungumzia utajiri kutokuwa na umasikini, hayo ya wamepataje utajiri ni issue nyengine point ni kwamba hawana changamoto za umasikini kwa sababu ni matajiri.Waarabu ni special case ya utajiri wa mafuta, utajiri ambao hautumii akili, ambao hata wao wanapigwa sana kwa sababu hawakujua kuchimba mpaka hivi karibuni ndiyo wanajenga capacity.
Na hata hao waarabu wanavyozidi kuongeza elimu, imani ya Mungu inashuka, nimeweka articles tatu hapa.
Huku Africa vipi? Huoni uhusiano wa umasikini, kukosa elimu na imani ya Mungu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyeumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana?
Vizuri sana kwa kunielewa, wazungu watukuzwe.Sawa
Ni kuonyesha kutolewa au kupokea kwa pesa.Jibu swali kazi ya risiti ni nini
Ni kweli, Mpagani si mtu asiye na dini, hata kuiabudu mizimu ni dini.1. Pagan means mtu ambaye ana dini tofauti na zinazojulikana, sio mtu asiye na dini
2. True Scotsman fallacy, unasema kitu ambacho mtu hawezi fanya afu mtu akianza kufanya unasema hakuwa mtu fulani. Hata kanisa lenyewe halijui mkristo wa ukweli ndo maana Kuna madhehebu elfu kumi kila mtu anakuja na ukristo wake so mkristo wa ukweli hajulikani. Ni sawa na kusema wachaga wote wanapenda hela afu akitokea mchaga asiyependa hela unasema ye sio mchaga ili kusupport theory yako. Atheists wengi walikuwa wanadini wakaamua kuifatilia kusoma Biblia zaidi kuuliza maswali kuhusu historia na logic kuhusu dini Yao wakagundua ni uwongo, ndo maana hoja za atheists Zina make sense Ila watu wanaogopa kukufuru coz wametishiwa moto ambao haupo, kusingekuwa na moto na mbingu hamna mtu angeamini story za Mungu wa Biblia
Kuna kitu nataka nikuambie! Una uhakika kuwa shetani hajawahi kusema kuwa Mungu hayupo?Shetani Ashawahi kusema Mungu hayupo?, freemason Ashawahi kusema Mungu hayupo ? Shetani mwenyewe anataka watu wamjue Mungu ili wampinge. Shetani na Mungu ni story tu Kama movie zilivyokuwa na sterling na jambazi acha uwoga wa maisha Kama Mungu anapenda watu kwa Nini awachome, we unaweza mchoma mtoto wako moto, mmetishwa na makanisa ili muendelee kufata sheria zao na mtoe sadaka mwatajirishe
Unataka nikueleze? Utanielewa? Hautaanza kuleta ubishi? Lengo lako ni kuelewa au kutafuta kupinga?Nielezee mtu kuzaliwa na cancer anakosa gani mpaka kaumwa🤣au mama ake hakuelewa biblia
Hiyo imeitofautishaje na Tanzania? What's the difference?Asilimia kumi na mbili ya marekani hawana dini yoyote sijasema atheists elewa sawa
Sijawahi kumwona Mwingine zaidi Yake! Unafikiri kuna Mwingine Zaidi Yake? Yupi?Unajuaje Mungu wa Biblia ndo Mungu mkubwa na sio mdogo
Mimi nazungumzia utajiri kutokuwa na umasikini, hayo ya wamepataje utajiri ni issue nyengine point ni kwamba hawana changamoto za umasikini kwa sababu ni matajiri.
Kuna watu jinsi walivyo na umasikini hadi wanakosa muda wa kujihusisha na mambo ya Mungu, wengine wakifanikiwa kwenye maisha wanaacha habari za Mungu.
Baada ya kujua elimu yenyewe unayokusudia ni ile ya kama waliyonayo Northern Europe sasa nipatie tena hizo links ili nisome hao waarabu waliyopata hiyo elimu wanavyoacha kuamini Mungu.
Kwani Mzungu hana dini? Unajua Tanzania hain dini lakini Marekani ina dini? Unafahamu Marekani ni Taifa la Kidini?Mzungu katengeneza chanjo ya corona huku mnauombea uondoke mnadanganyana Mungu kaikoa nchi kwa corona kisa Ina dini kumbe watu kibao wanakufa na kuzikwa afu unasema we na mzungu mpo sawa kimaarifa, kamtawale basi
Kuamini kuwa Mungu Yupo ni jambo moja. Na watu wengi wanaliamini hilo. Hata Shetani na mapepo yote yanaamini hivyo pia, tena, wanaamini mpaka wanatetemeka.Wakristo Wana kisingizio ukiamini tu Mungu yupo na story za Yesu na ukatubu unaingia peponi, so uoga wa kwenda Motoni kwa kutoamini story za biblia
Na kuna watu wengi walio tayari kuwasaidia watu wenye uhitaji huo.wapo wengi, karibia kila mahali.Kwa tafsiri ya kawaida Mungu ni uwezo mkuu usiyowezwa.
Ikiwa akili yako na imani yako haiwezi kuelewa au kujua uwepo wa Mungu ni tatizo lako binafsi. Kuleta mjadala wa Mungu pasina elimu ni sawa na kukanusha, hivyo basi ni bora ufanye juhudi ya makusudi na nia thabiti kuwaendea wale wabobezi katika masuala ya kiroho huwenda ukapata majibu ya maswali yako. Kama upo serious. Ikiwa unataka kufurahisha barza kwa kweli mada hiyo ibadilishe tafuta mada nyingine.
Wazinzi, walevi, wasengenyaji, Sehemu yao ni ziwa la moto. Haya ni maneno yangu?Tukuulize wewe coz ye ajasema hayo we unamsemea
Umetumia methodology gani kwenye hizo tafiti? Wewe unaweza kumtafiti Mungu?Nimefanya tafiti nimeona Mungu anayeaminiwa hawezi kuwepo coz Hana logical consistency kwenye sifa zake