min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ukijiamini wewe tayari ushaamini wanachokiita Mungu ,ili ujue sasa inabdi ujijue wewe ni nani ? Umetoka wap na utaenda wap.Kwani Mimi naogopa Nini mtu asiyeamini Mungu anaogopa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijiamini wewe tayari ushaamini wanachokiita Mungu ,ili ujue sasa inabdi ujijue wewe ni nani ? Umetoka wap na utaenda wap.Kwani Mimi naogopa Nini mtu asiyeamini Mungu anaogopa nini
Unatumia simu ambayo ni wireless, lakini unaamini unaweza kuwasiliana na mtu aliye mbali nawe.Why matukio ya hivi hayawezi kuwa video recorded, ni coz ni illusion na hallucinations za akili, mi Nikisema nimeona tembo anapaa usiku haitamaanisha kuwa kweli hata tukiwa ishirini, Fatima Portugal watu 3000 waliona jua linacheza cheza sijui malaika wanaimba Ila ni kweli Hilo tukio lilitokea, hujiulizi why kitu muone watu wachache katika mazingira fulani halafu wengine wa mazingira mengine yasitokee kabisa. Kuona sio kila kitu, camera Ina accuracy kubwa kuliko macho, recorder Ina accuracy kubwa kuliko maskio coz haviwi affected na psychology mazingira uoga aibu hasira ujinga na pia utamaduni. Ndo maana utaskia story sijui huyu kaona Nini, wazungu Wana camera mpaka barabarani mbona vitu vya ajabu havirekodiwi
Kwa tafsiri ya kawaida Mungu ni uwezo mkuu usiyowezwa.Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.
Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.
Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.
So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.
Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.
Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.
Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
Ndio...coz ukisema una Imani ya Mungu wa Biblia unakuwa hujajibu swali la kwa Nini umechagua Imani hio na sio vitu kibao vingine ambavyo umeacha kuamini, why Mungu umempa special treatmentImani hailazimishwi pia nilisema kuna sababu za kuamini, ila wewe unakimbilia uthibitisho kama silaha na kinga kwa dhana ya kwamba huyu nikimwambia uthibitisho hawezi kutoa hivyo inakuwa nachokisema mimi ndio sahihi na yeye hata atoe hoja gani siikubali kwa sababu hawezi kuthibitisha inakuwa ni uongo.
Kazi ya risiti ni Nini?Haya nipe mfano wa kuamini kwa uthibitisho.
Sasa Kama haya majibu Sina ndo nitunge story au niamini story? Mi ndo naamua Mimi ni nani na ninaenda wapi, na nimetoka tumboni kwa mama anguUkijiamini wewe tayari ushaamini wanachokiita Mungu ,ili ujue sasa inabdi ujijue wewe ni nani ? Umetoka wap na utaenda wap.
Nimefanya tafiti nimeona Mungu anayeaminiwa hawezi kuwepo coz Hana logical consistency kwenye sifa zakeKwa tafsiri ya kawaida Mungu ni uwezo mkuu usiyowezwa.
Ikiwa akili yako na imani yako haiwezi kuelewa au kujua uwepo wa Mungu ni tatizo lako binafsi. Kuleta mjadala wa Mungu pasina elimu ni sawa na kukanusha, hivyo basi ni bora ufanye juhudi ya makusudi na nia thabiti kuwaendea wale wabobezi katika masuala ya kiroho huwenda ukapata majibu ya maswali yako. Kama upo serious. Ikiwa unataka kufurahisha barza kwa kweli mada hiyo ibadilishe tafuta mada nyingine.
Kuna mtu alisema ubongo ni receiver tu, kuna master brain ipo ambayo inatunza kumbukumbu zako na ikifika siku ya mwisho ndo tutajua hatujui pale utakaposhangaa una mwili mpya na ubongo mpya usioungua ukaisha ila maumivu hayazoeleki.
INASIKITISHA MNO.
Embu muulize maana yeye ndo mchomaji.Na Mungu akikuchoma anafaidi nini.
Hayo mambo yapo. Shetani yupo, na Mungu Yupo, lakini Mungu anao uweza wote.
Wanaobisha ni kwa sababu ama hawajahusishwa kukutana na hayo mazingits au wanakusudia kufanya hivyo kwa lengo la kuwapotosha wasio na ufahamu sahihi.
Matukio ya kishirikina na ya Mungu pia yanafahamika kote duniani, kuanzia Afrika, Ulaya, Amerika na Asia, n.k.
Kipindi Magufuli akiwa Rais, alisimulia tukio lililotokea alipokuwa Waziri wa Ujenzi. Kulikuwa na ujenzi wa daraja pande za Sumbawanga ambapo kila daraja liliposetiwa, setting ilibadilika tofauti na ilivyosetiwa. Tukio hilo liliwafanya maingeneer kuogopa kuendelea na kazi maeneo hayo, ikabidi Magufuli na baadhi ya viongozi kwenda kuonana na wazee wa huo ukanda, na baada ya kufuata masharti yao, ndipo zoezi lilipoweza kuendelea.
Ushirikina upo, na Mungu yupo. Ni wazi kuwa kilichokuwa kikiwakwamisha hao mainjinia ni nguvu za giza, na tatizo likatatuliwa kwa nguvu za giza vile vile.
Mwaka fulani, tulienda Singi
Kabisaa! Marekani ni Taifa lililoendelea, lakini masuala ya Imani ya Kimungu na ya kishirikina zingalipo.Ndio hata huko kwa wazungu wenye elimu na maendeleo pia wapo wenye kuamini Miujiza,uchawi,malaika na majini.
Wapo ambao kazi zao zenye kuingiza kipato ndio zinahusu mambo hayo kwa huku tunaweza kuita waganga, kuna mavitabu kibao yenye kuzungumzia hayo mambo.
Dr. Norman Vincent Peale, ameelezea kwenye Moja ya Vitabu vyake jinsi mtu mmoja alivyoshangaa kukuta Biblia kwenye ofisi y Daktari wa magonjwa ya akili.Na ndio maana nakwambia sasa wapo madaktari kabisa ambao wanaamini Mungu na kuamini story zilizoelezwa kwenye vitabu vya dini.
Unaweza ukawa sahihi kutokana watu tofauti wana amini miungu tofauti, lakini Mungu ambaye ni Uwezo mkuu usiyowezwa huwezi kumjadili kwa kuwa yupo kinyume kabisa na sisi wanadamu tunavyomfikiria.Nimefanya tafiti nimeona Mungu anayeaminiwa hawezi kuwepo coz Hana logical consistency kwenye sifa zake
utakuwa mwanga na mchawi tu usinikufurishe na mungu wangu hujui nimepitia mangapi, we mwenye elimu ya kukalilishwa ubaon imekusaidia nini mpaka hapo ulipo,wenzako kupitia uchawi wamevumbua ndege lakin we usiku unapaa na ungo wa buku jeloHujiulizi why vinatokea kigoma a place ambao Ina watu wenye low level of economic status na low level of education. Why not Moshi, dar, Arusha na bukoba. Why places za tanga, sumbawanga, shinyanga na kigoma places zenye watu wenye maisha duni na wasio na elimu
Huelewi kwamba kukosa elimu ni moja ya sababu kubwa ya Africa kutokuwa na maendeleo?Hakuna nilichotenganisha katika hivyo vitu viwili kwa sababu sizungumzii habari za kwanini afrika hakuna maendeleo, nimeonyesha hayo ambayo wewe unayaaeleza.
1. Basi ninalolifahamu ni lile nililolipanda. Elezea na wewe uzuri wa ulilolipanda ili nivutiwe kulipanda.1. Hujawahi panda basi lingine huwezi sema lako tu ndo zuri wakati wengine wamepanda mengine na wamefika.
2.vipi kuhusu Mimi ambae nishawahi kuwa mkristo mwana kanisa na mwana kwaya Ila baada ya kuisoma Biblia vizuri nikaona ni uwongo nikaacha
3. Hujajibu why hujasoma dini zingine Ila dini ya wazazi wako tu, wazazi wako wangekuwa waislamu ungesema hivyo hivyo kuhusu Quran
Nani kalinganisha elimu? Unaanza kunichosha mkuu,we kuwa na amani wala mimi sitaki kuwashusha utukufu unaouona kwa wazungu.Sio elimu ya darasani ya kujua mitochondria is the powerhouse of the cell, elimu ya kureason na logic na kugenerate ideas, hamna scientific discoveries au philosophical ideas za mtanzania, si kazi yetu ni kusoma kilichogunduliwa na wenzetu so huwezi linganisha elimu yetu na ya kwao