Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Nikwasababu huyu yawe ameumba ulimwengu kwan hujui imani yao msingi ni nini?, na pia ndugu yangu hawa watu wanaamini kile chazo cha yote haya ambacho wamekipa jina Mungu nasio vinginevyo sasa kama we we unaweza kuwapinga wapinge kwa kuwaambia kwamba huu ulimwengu haujaumbwa na kile wanachokiabudu waoneshe chazo au wafundishe chazo cha ulimwengu huu baaaasi utakua umemaliza utata nao.
Lakini pia brahma kaumba ulimwengu According to wahindi. Mbona huabudu huyo Mungu na kufata sheria zake. Au kwa sababu hajakutawala na kukuletea dini yake ili akuibie Mali zako?
 
Uchawi upo ila kwa imani, labda kama haujui maana ya uchawi.
Yaani ni imani isiyo na vitendo halisi imebakia stories Tu minaweza kusema uchawi ilikuwa story za mababu kuwadanganyia watoto wao ila hawakujua wanajenga kitu gani ndani ya mioyo yao.
Sawa...no matter how good or important the story is...uwongo bado utakuwa ni uwongo..sawa walikuwa na nia njema na pia kulikuwa na maana za kuwepo hizi Imani kipindi hicho. Ila Karne ya 21 majibu mengi unayapata kupitia Sayansi. Ukitaka kujua kitu kutoka popote ni kitendo Cha kutumia Simu tu, why tubaki na hizi story za mababu ambao hawakuwa na elimu tuliyonayo Sasa?
 
Jamaa anataka kujua kwann Mungu aliumba watu ambao wanaweza kutokumwamini wakati yeye ni mjuzi wa kila kitu? Inamana Mungu anabahatishabahatisha mambo ndio maana alimuumba malaika bila kujua mwishowe atakuwa shetani? Yaani Mungu hana utofauti na Magu alivyomchagua mama Samia kuwa makamu bila kujua huyu makamu angeweza kuwa against pindi yeye hayupo?
🤣Mi Simo huko
 
Lakini kuna mambo mengi wanasayansi wanavumbua miaka hii hlf wanakuta kitaambo yashaandikwa kwenye hivi vitabu, tena ktk wkt ambao hakuna teknolojia, vifaa wala wasomi wakubwa.

Mfano; Qur'an imeandika uzalishwaji wa mbegu za kiume unafanyika kweny uti wa mgongo na kupitia kwenye korodani ambako huhifadhiwa kabla ya kutoka na kua manii.
Mimi had namaliza sekondari tulifundishwa mbegu hizi huzalishwa kwenye korodani, baadae miaka hii ya karibuni ndio wanasayansi wamegundua zinazalishwa kwenye uti wa mgongo na si korodani.

Wao wanasayansi wanakiri "elimu" hii hawezi kua nayo mtu wa kawaida ambaye hakusoma kbs, hivyo kuna namna ya ukweli wa maneno hayo kutoka seheme yenye nguvu "inayoamnika".
Naomba niweke kituo kwanza.
🤣Acha uwongo, Quran imekosea, ni kwamba semen Ina fluids nyingi zingine zinatoka pancreas huko(ndo wanasema karibu na uti wa mgongo), na Quran imekosea kwa sababu imecopy bad science from that period hata kina Aristotle waliamini hivyo so why Islam wasiibe. In real sense sperms zinaprodusiwa na testicles. Yaani ni Kama waislamu Wanavyosema sijui wamegundua embryology wakati bado wameikosea coz wamecopy ujuzi wa kipindi kile. They copied bad old science. If vitabu vya dini ni vya ukweli, why hawaelezei kuhusu magonjwa kusababishwa na microorganisms na wanasema magonjwa yanasababishwa na mapepo, uchawi, kulogwa, shetani na Mungu kukasirika? 🤣Njoo na hoja ya msingi sawa
 
mkuu ushuhuda mwingine wakati nimelala usiku nilishitukia nimewekwa mtu kati na kisu kalibia na shingo yaani nasikia makali yake yaani sijui walitaka kufanyanini wale nguruwe na nisaa 8 usiku ,milango yote imefungwa jiulize wali ingiaje?, kilicho niokoa tena ni kutaja tu kwa jina la yesu!!, baada ya tukio lile imekuwa ni heshima tupu,ni mgeni kwenye eneo hili la moro ndanindani nipo kikazi.Af atokee mtu baki eti uchawi haupo
Hiyo ni effect ya sleep paralysis na night terrors ..google hivyo vitu usome biology kidogo itakusaidia...🤣sio kila kitu macho yako yanachoona na unachoskia au kuhisi ni realistic. Kama una bisha vuta bangi Kama hautaona mbwa anapaa...😂zinaitwa hallucinations dogo, acha kujiaibisha unaonekana mtoto usiye na elimu
 
33% is no religion...na huwezi kuwa unaamini Mungu bila dini coz huwezi separate Mungu na dini. Since huwezi prove me wrong hao 33% bado ni asilimia kubwa ya watu wasio na dini compared to nchi za Africa. Na France unaona sio wenzetu kitechnology. So umeprove point yangu
Unajua dini ni nn?
 
Okay ukisema hivyo...huyo anayepangilia, anapangiliwa na nani? Just because u don't know something doesn't mean God did it. Ndo maana wenzetu wanaitafiti wanatafuta majibu we unakaa kuhisi ni Mungu.
Rekebisha hapo, Mimi sihisi kwamba Mungu yupo ila naamini yupo jinsi wewe uaminivyo kwamba hayupo.... Na hapo unaposema wenzetu wanatafuta majibu mean kwamba kumbe majibu sahihi hawana sasa mbona mnataka kufanya kama Hayupo ndo conclusion?
 
Hapana.

Nasema Mungu hayupo kwa sababu. Sisemi hivyo bila sababu.

Sababu yangu ni kwamba, habari zinazomueleza huyo Mungu kuwepo zina contradictions, contradictions ambazo hujaweza kuzitatua.

Contradictions hizi zinaonesha Mungu hayupo, zinaonesha habari za kuwepo kwake ni hadithi za uongo za kutungwa na watu tu.

Ukizitatua contradictions hizo, sina sababu ya kutokubali uwepo wa Mungu. Kwa kuwa utakuwa umeondoa sababu zangu za kutokubali uwepo wa Mungu.

Tatua contradictions hizo, utanisaidia kuelewa kwamba Mungu yupo kweli.

Hakuna popote ambapo nimesema kwamba nikiondolewa sababu zangu za kutokubali uwepo wa Mungu, sitakubali uwepo wa Mungu.

Ondoa contradictions kwenye dhana ya uwepo wa Mungu.
Ingekuwa tatizo ni contradictions tu kwenye hizo habari za kuwepo Mungu basi usingesema kuwa hizo habari ni hadithi za kutunga tu na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu. Ningekuelewa kama ungeishia tu kusema kwamba kuna contradictions kwenye dhana ya uwepo wa Mungu ila wewe umeenda mbele kabisa unadai kuwa habari za Mungu ni za kutunga ni hadithi tu.

Ndio maana nikasema kuwa kwako wewe habari za Mungu ni hadithi tu zenye contradictions na si kwamba unapinga dhana ya kuwepo Mungu kwa sababu ina contradictions. Sasa mtu kuondoa hizo contradictions kwako ni sawa na kuondoa contradictions tu kwenye hizo hadithi.
 
Hizo habari ni hadithi za kutunga tu kwa sababu ya hizo contradictions.

Hadithi inaweza kuwa na contradiction, ukweli hauna contradiction.
 
Hizo habari ni hadithi za kutunga tu kwa sababu ya hizo contradictions.

Hadithi inaweza kuwa na contradiction, ukweli hauna contradiction.
Umesema kuna contradictions katika habari za uwepo wa Mungu, sasa huko kusema sijui hakuna Mungu kwamba habari zote au dhana nzima kuhusu Mungu ni hadithi tu za kutunga et kisa kuna contraditions huo ni mtazamo wako wala hauhusiani na uwepo wa contradictions.

Contradictions zinaweza kutokea kwenye jambo la kweli halisi au la kutunga tu, sasa ajabu wewe unataka unaondoa dhana nzima ya uwepo Mungu kisa kuna maelezo yenye contradiction et ukweli hauna contradiction.
 
Blah blah blah,

Ondoa contradictions kwenye habari z akuwepo Mungu tujue yupo kweli.
 
Blah blah blah,

Ondoa contradictions kwenye habari z akuwepo Mungu tujue yupo kweli.
Umesema habari za kuwepo Mungu ni hadithi za kutunga sasa utasemaje tena niondoe contradictions ili ujue kama Mungu yupo kweli? Hauoni unajichanganya mwenyewe?

Ni sawa na kwamba kuwepo na maelezo yenye contradiction kuhusu Superman, je zikiobdolewa hizo cobtradiction ndio itafanya tujue superman yupo kweli?
 
Hata Superman naye unaweza kuondoa contradiction katika habari ya kuwepo kwake.

Nimekutaka uondoe contradictions katika habari za uwepo wa Mungu, umeshindwa.

Umeshindwa kwa sababu huwezi.

Huwezi kwa sababu huyo Mungu hayupo.
 
Kwahiyo kukiwepo habari zenye contraditions kuhusu Rais Samia inafanya Rais Samia asiwepo hadi ziondolewe hizo contradictions?
 
Kwahiyo kukiwepo habari zenye contraditions kuhusu Rais Samia inafanya Rais Samia asiwepo hadi ziondolewe hizo contradictions?
Huyo rais Samia mwenye contradiction atakuwa hayupo, nikisema rais Samia ni mwanamke wa kwanza kuwa rais mwanamme Tanzania, huyo rais ambaye ni mwanamke na mwanamme at the same time atakuwa hayupo, atakuw ani hadithi ya kutungwa tu.

Vivyo hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu wenye kuruhusu maovu yatokee, hayupo, naye uwepo wake ni contradiction kama ya kuwepo rais wa kwanza mwanamke ambaye ni mwanamme.

Why are you so dense to understand this simple point that I must have hammered into you for years now?

Are you really that dense? Or are you just a God freak fanatic who chooses to not see sense?
 
Tuliza mapepe uelewe vizuri swali, Rais Samia inajulikana yupo hilo halina shaka ila endapo kutatokea maelezo yenye contradiction kuhusu huyo huyo Rais Samia je hiyo itaondoa uwepo wa Rais samia au tutasema hayo maelezo yana contradiction hayawezi kuwa ya kweli ?
 
Tuliza mapepe uelewe vizuri swali, Rais Samia inajulikana yupo hilo halina shaka ila endapo kutatokea maelezo yenye contradiction kuhusu huyo huyo Rais Samia je hiyo itaondoa uwepo wa Rais samia au tutasema hayo maelezo yana contradiction hayawezi kuwa ya kweli?
Mapepe unayo wewe.

Mimi nakwambia Rais Samia ambaye maelezo ya kuwapo kwake yana contradiction, kama vile Rais Samia ambaye hapo hapo ni mwanamme na mwanamke, au ambaye kwa wakati mmoja yupo Dar na Dodoma physically, hayupo.

Halafu wewe unaniuliza kuhusu Rais Samia amabye maelezo ya kuwapo kwake hayana contradiction.

Umeelewa hata somo wewe?
 
Back
Top Bottom