Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Acheni wogoa enyi watanzania msio na akili ni nani aliyeworoga? Kila mtu mnamuogopa kwa Nini nyie msitengeneze mazingira muogopwe nyie. Kwa nini kila jambo mna inferiority complex? Swala la do world m aogopa, swala la soko la pamoja east Africa mnaogo nk. Kila kitu nyie mnaogopa! Basi muuze nchi muwape wasioogopa kufanya mambo!!
 
Kwamba angeshindwa kukodi mtu kawa mmbuge miaka 20 ahindwe Lisa limoja kikufnya press
 
to be honest R.A is my role model nmekuwa nikimfatilia toka 2000s nikiwa secondary ana history ndefu mno na ni mtu wa mipango na anatumia hesabu kali mno na ngumu sana kukosa shabaha yake.
Acha kutudanganya hesabu Kali gani,hata wewe ungepewa uweka hazina wa CCM kwa 10 yrs kipindi cha Jakaya lazima ungetoboa tu.fedha zinahamishwa kutoka Serikalini kupeleka chamani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
punguza makasiriko brother kwani kuna sehemu nilisha wahi mtukana mtu humu?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…