Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Ni kichwa cha mkandarasi kwa minajili ya kufanyia majaribio sioni shida yoyote.
 
Cha njano kilikuwa cha majaribio ya reli hakikuwa cha umeme. Hiki ni cha umeme kinafanya majaribio miundombinu ya umeme.Hakuna sababu ya mkandarasi kununua kichwa cha 2022 wakati lengo lake ni kufanya majaribio ya miundombinu sio treni.
Hicho kichwa kimenunuliwa na shirika la reli Tanzania Sasa Kama TRL ndio mkandarasi sawa.

nanukuu 👇👇

Source Wikipedia

In 2009 the locomotives were withdrawn and stored, with the ÖBB selling the locomotives at scrap value between 2008 and 2010, with each locomotive sold for 15,000 euros each, compared to the approximately 4 million euros per locomotive originally paid.[3] This drop in value, combined with the short service life of the locomotives, led to criticism of the Federal Railways.

After the bankruptcy of Zeller Transport Technik, four locomotives were sold to Tanzania Railways Limited and shipped to Tanzania in september 2021.

Iweje utengeneze njia ya kukimbia punda ukajipima kimajaribio kumtumia Ng'ombe kwenye hyo njia?

Kifupi tumepigwa hapa.
 
Wewe unataka inayofanana na ya beberu?? unadhani watakubali uwe level moja na wao? ukitaka iwe hivyo hawakupi mkopo, Barabara ya rami, mwendo kasi hazitofanana na za kwao hata siku moja.Na barabara za mtumba zingekuwepo nazo zingeletwa hivyohivyo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Guys hiki ni kichwa kwa ajili ya majaribio tu....sio kwa ajili ya Operations.
Hata Kama wame tudharau Sana, kwanini watumie kitu old hivyo kwa reli ya kisasa au mfumo wa reli nao ni wa miaka ya 60 Ila bongo ndio tulichelewa kuwa nao
 
Hivi ni mimi ndie sielewi, au?

Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...

Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?

Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!

Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!

Tunakwama wapi?!
Baada ya majaribio na kuonekana mambo yanakwenda vizuri basi ndicho kitakachotumika. 😂😂😂😂.
Heri nyinyi huko TZ mmeletewa cha umeme. Huku 254 tuliambiwa sgr itakuwa ya umeme.... Baadae kukaja kichwa cha COAL. upuzi mtupu yaani.
 
Baada ya majaribio na kuonekana mambo yanakwenda vizuri basi ndicho kitakachotumika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heri nyinyi huko TZ mmeletewa cha umeme. Huku 254 tuliambiwa sgr itakuwa ya umeme.... Baadae kukaja kichwa cha COAL. upuzi mtupu yaani.
Umeandika vizuri sana mpangilio nzuri sana wa lugha yaani hadi umetizidi sisi wabongo
 
Afrika ilishakuwa dampo la vyuma chakavu haiwezekani serikali inayojinasibu ni safi iingie mkataba wa hovyo kiasi hiki kwa kutuletea vyuma chakavu kama hilo dubwashwa hapo juu..

Ukute limepigwa service ndio wakalisafirisha kuja huku kwetu, inasikitisha kwa kweli..
Akili hizi, Sasa unakimbilia kukomenti bila kusoma habari inahusu Nini kweli? Hiki ni kichwa Cha treni cha MKANDARASI kwa ajili ya kufanyia majaribio kipande Cha dar Moro, Sasa unataka mkandarasi anunue train kwa ajili ya TRC?
 
Hivi ni mimi ndie sielewi, au?

Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...

Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?

Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!

Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!

Tunakwama wapi?!
Hao ni nyumbu wore wanakuja na chuki zao hovyo hata hawasomi habari wanakimbilia kuvuka mto bila kufikiria.
 
Ila sisiyemu daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]walituonesha vichwa vya treni za japan. Yamekuja makande ya mawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha upumbavu, CCM inakujaje hapo? MKANDARASI kaleta kichwa Cha treni Cha kwake kufanyia majaribio kwenye reli anayojenga wewe unasema CCM!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
ivi hamuoni aibuuu vichwa vya ivi !!dunia nzima havipo!! sasa tunaenda mbele au nyuma!! yaan vichwa kama vya treni ya mkoloni[emoji3]
Wewe ndo uone, aibu. Unawaambia akina Nani hawaoni aibu?
Huyo MKANDARASI kaleta train yake afanyie majaribio wewe unakurupuka eti hamuoni aibu. Nyumbu buana.
 
Tumepigwa kalenda kuhusu kuanza safari za treni ya mwendokasi kati ya Dar na Moro mpaka tumechoka, kwa hiyo muanzishe au la hatujali lolote...
 
Back
Top Bottom