Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
will it serve the purpose?
 
Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili



Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.View attachment 2126501View attachment 2126502View attachment 2126503View attachment 2126504

Huyu msimulizi mbona anaokotaokota maneno, kwanini asiwe anaandikiwa anasoma kuweka flow nzuri ya anachotaka kusema badala ya kuchanganyachangaya mada?
 
Mbona kinaonekana ni used kabisa mnautani na pesa zetu za ndani ,, halafu shape yake ni ya kizamani kabisa hakina hata mvuto
 
Hivi ni mimi ndie sielewi, au?

Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...

Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?

Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!

Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!

Tunakwama wapi?!
Anhaaa kumbe , Sasa palikuwa na sababu gani ya kuipa milage hii taarifa Kama hicho kichwa ni Cha mkandarasi ,, mxiiiiieeeeew blood fucking zao
 
Back
Top Bottom