Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
TumepigwaKichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili
Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.View attachment 2126501View attachment 2126502View attachment 2126503View attachment 2126504
Daaah hili halina mvuto kabisa hakina tofauti na Yale yaendayo kigomakweli wakuu tumepigwa limefanya kazi tangu miaka 90 huko
hata km test ndo watuletee lidude la miaka 90
wakati reli ni ya kisasa
[emoji848] dah !View attachment 2126741View attachment 2126745
Hicho kichwa kimenunuliwa na shirika la reli Tanzania Sasa Kama TRL ndio mkandarasi sawa.Cha njano kilikuwa cha majaribio ya reli hakikuwa cha umeme. Hiki ni cha umeme kinafanya majaribio miundombinu ya umeme.Hakuna sababu ya mkandarasi kununua kichwa cha 2022 wakati lengo lake ni kufanya majaribio ya miundombinu sio treni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Wewe unataka inayofanana na ya beberu?? unadhani watakubali uwe level moja na wao? ukitaka iwe hivyo hawakupi mkopo, Barabara ya rami, mwendo kasi hazitofanana na za kwao hata siku moja.Na barabara za mtumba zingekuwepo nazo zingeletwa hivyohivyo.
oky, ila hawakufafanua wahusika.Ni kichwa cha mkandarasi cha majiribio.Soma habari vizuri.
Hata Kama wame tudharau Sana, kwanini watumie kitu old hivyo kwa reli ya kisasa au mfumo wa reli nao ni wa miaka ya 60 Ila bongo ndio tulichelewa kuwa naoGuys hiki ni kichwa kwa ajili ya majaribio tu....sio kwa ajili ya Operations.
Sijasema vyakwetu vitakuwa vizuri nashangaa hao wanaoponda bila kuweka akiba ya manenoKiongozi una uhakika vya kwetu vitakuwa vizuri..?? Weka akiba ya maneno..
Baada ya majaribio na kuonekana mambo yanakwenda vizuri basi ndicho kitakachotumika. 😂😂😂😂.Hivi ni mimi ndie sielewi, au?
Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...
Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?
Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!
Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!
Tunakwama wapi?!
Wakuletee kipya wewe.. Watu wameshakunja 10% hapo.Duh nilidhan kipya
Umeandika vizuri sana mpangilio nzuri sana wa lugha yaani hadi umetizidi sisi wabongoBaada ya majaribio na kuonekana mambo yanakwenda vizuri basi ndicho kitakachotumika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heri nyinyi huko TZ mmeletewa cha umeme. Huku 254 tuliambiwa sgr itakuwa ya umeme.... Baadae kukaja kichwa cha COAL. upuzi mtupu yaani.
Akili hizi, Sasa unakimbilia kukomenti bila kusoma habari inahusu Nini kweli? Hiki ni kichwa Cha treni cha MKANDARASI kwa ajili ya kufanyia majaribio kipande Cha dar Moro, Sasa unataka mkandarasi anunue train kwa ajili ya TRC?Afrika ilishakuwa dampo la vyuma chakavu haiwezekani serikali inayojinasibu ni safi iingie mkataba wa hovyo kiasi hiki kwa kutuletea vyuma chakavu kama hilo dubwashwa hapo juu..
Ukute limepigwa service ndio wakalisafirisha kuja huku kwetu, inasikitisha kwa kweli..
Kasema ni kichwa Cha train Cha MKANDARASI kwa ajili ya majaribio wewe unakuja na chuki zako kwa JPM.Timua Masanja Huyo Analeta Mchezo Gusi La Umeme Gani
Hao ni nyumbu wore wanakuja na chuki zao hovyo hata hawasomi habari wanakimbilia kuvuka mto bila kufikiria.Hivi ni mimi ndie sielewi, au?
Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...
Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?
Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!
Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!
Tunakwama wapi?!
Nyumbu hao utaumiza akili yako bure achana nao.Leo nimeamini kweli hauna tofauti na mdude... Taarifa inasema kichwa ni vha mkndarasi na kimeletwa kwa majaribio wewe unasema mama aache utani
Masanja anahusikaje hapo wewe mwanasaccos?Reli Yenyewe Haiishi Halafu Wanaleta Treni La Mkandarasi Kama Kambale Vile
Masanja Badilika Acha Mchezo,
Acha upumbavu, CCM inakujaje hapo? MKANDARASI kaleta kichwa Cha treni Cha kwake kufanyia majaribio kwenye reli anayojenga wewe unasema CCM!Ila sisiyemu daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]walituonesha vichwa vya treni za japan. Yamekuja makande ya mawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndo uone, aibu. Unawaambia akina Nani hawaoni aibu?ivi hamuoni aibuuu vichwa vya ivi !!dunia nzima havipo!! sasa tunaenda mbele au nyuma!! yaan vichwa kama vya treni ya mkoloni[emoji3]