Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Sio jambo dogo hili la kupuuza
Na vyuma vitakaza haswa maana uchumi tunaohangaika nao halafu walete tena vurugu tumekwisha
Kumbuka hilo bomba la mafuta liliwauma sana Wakenya mimi nasema hivi makachero wa Kenya wanachochea kuni.
 
Mzizi wa fitina ni huu mafuta hili bomba lilikuwa lipitie Kenya lakini dakika za Mwisho Jamaa yatu Museveni akawaambia waKenya No!Mr.Nyang'au hili bomba linapita Bongo country.
Uganda-to-launch-construction-of-East-African-crude-oil-pipeline.jpg
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Rafiki yetu Museveni.
 
kama jambo hili limetoa east Africa basi ni jambo la kheri. Acha wabadilishe utawala mkuu!
Sisi tunaangalia maslahi yetu kama tumesaini bomba la mafuta lipitie hapa tuko radhi tumsaidie Museveni ili Wakenya wasituchukulie ajira zetu
 
Sisi tunaangalia maslahi yetu kama tumesaini bomba la mafuta lipitie hapa tuko radhi tumsaidie Museveni ili Wakenya wasituchukulie ajira zetu
unauhakika utawala mpya ukiingia bomba halipiti huku?
 
imagescaqxmirf.jpg

Raisi Museveni akiwapiga mkwara waandamanaji.
 
unauhakika utawala mpya ukiingia bomba halipiti huku?
Nina imani Makachero wa kenya wamo na wanawasaidia pipoz pawa iwapo wakifanikiwa kumng'oa Museveni lazima Kenya walipwe.
 
Waganda watumie busara kulimaliza hili kama " Museveni" ndiye " kikwazo" kwao.
 
museven nadhan anajuta kulikoroga kwa huyu jamaa
IMG_20180912_121051_373.JPG
 
Kama Kenya wameilngilia mambo ya ndani ya Uganda na sisi vijana wetu wasogee karibu na Mtukula ili kulinda "maslahi"yetu na vizazi vijavyo.sogezeni mitambo vijana.
 
Bobi wine ameanza kutumika na mabeberu ili aichafue uganda na mafuta yaende bure.
 
Kama Kenya wameilngilia mambo ya ndani ya Uganda na sisi vijana wetu wasogee karibu na Mtukula ili kulinda "maslahi"yetu na vizazi vijavyo.sogezeni mitambo vijana.
ahahahah mkuu mbina kama unataka kuiingiza tz na kenya kwenye migogoro isiyotuhusu?

afu unaweza kuning'ata sikio kilicho mleta museveni hivi majuzi akakaa masaa kadhaa kisha akasepa?

au alikua amekuja kuomba ushauri wa mwisho kabla hajafikia final decisions? ama aachie ngazi au akinukishe..!!??

naamini alihakikishiwa kulindwa na kupewa sapoti.
 
Back
Top Bottom