Museveni anaeonekana kuifahamu sana Tanzania, hii sio hatari kwa usalama?

Mpaka kuwa na duka kuna mkubwa anaingiziwa kitu kidogo kwenye mwamala. Umeshaambiwa nchi ina wenyewe.
 
Africa ni moja, acheni akili za kikoloni na mipaka yao, i wish Africa tungeachana na upuuzi wa passport, visa baina yetu
 
Akishakuwa mkaazi bila kuzingatia uraia wake unamhitaji afuate utaratibu wa raia wa kigeni, ni rahisi kwa familia yake kutumika kujipenyeza kwenye vyombo vyetu vya usalama, na inawezekana usiwe mpango wa muda mfupi kufanikisha matakwa yao.
 
Yeye hapa ni sehemu yake ya ukombozi wa Maisha yake yote na anasema akija tz ni pamoja na kuhiji na akija lazima akutane na Mama Maria Nyerere
 
Africa ni moja, acheni akili za kikoloni na mipaka yao, i wish Africa tungeachana na upuuzi wa passport, visa baina yetu
Mipaka inasaidia katika piece and security na kiutawala
 
Akishakuwa mkaazi bila kuzingatia uraia wake unamhitaji afuate utaratibu wa raia wa kigeni, ni rahisi kwa familia yake kutumika kujipenyeza kwenye vyombo vyetu vya usalama, na inawezekana usiwe mpango wa muda mfupi kufanikisha matakwa yao.
Most of them walikuwa chini ya uangalizi wa usalama wa Taifa. Hawa waliingia kwa utaratibu maalum chini ya chama Cha ukombozi wa Afrika so walipewa makazi maalum kuanzia Samora Machel, Robert Mugabe, Nelson Mandela, Kamuzu Banda, nk.

Sasa siamini kama uangalizi wa hizo familia zilizobaki huku utakuwa imeisha maana kuna special tasks ndani ya Usalama na ni vitengo ambavyo naamini vitaendelea kuwepo kuhakikisha haya yote .
 
Inter marriage inawaficha sana.
 
Usalama magomeni
 
Laurent kabila,kagame na Museveni ni vijana wa nyerere tena watanzania hao na waliandaliwa kutawala nchi hizo!!!Ni watoto wetu hawawezi kufanya chochote na ikumbukwe pia karibu asilimia kubwa ya watawala kwenye nchi zetu za maziwa makuu tunaingiliana kiutawala kama ndugu!!Ndio maana utakuta hata hapa Bongo kuna watusi kibao kwenye tabaka la watawala na wahutu pia!!!Pia hata sisi watz tupo tabaka la utawala kwenye hizo nchi !!Hadi Africa kusini tumo!!!
 
Baada ya kubaini hayo ulisaidiaje au na wewe umekuja kulalamika hapa?
 
Thanks kwa ufafanuzi mkuu, na mimi niongeze kidogo; kama jeshi letu likiachana kabisa na siasa hasa siasa za ccm then sioni shida kwa viongozi wa nchi nyingine hasa majirani zetu; issue jeshi lipo IMARA? Hapa pia sina wasiwasi napo sana, Kagame aliwahi kujidanganya kwamba anaijua Tanzania nje ndani, we all knows what happened to him mwishoni mwishoni mwa Kikwete na ile vita ya M23, tuliwapiga vizuri tu hadi jamaa akaomba poo, so ile kwangu mimi inanipa tafsiri kwamba kitengo chetu cha UJASUSI cha jeshini kwa mzee Mabeho kipo vizuri kabisa
 
Wala usihofu nchi hii kuna watu wanaijua Uganda/ Rwanda kuliko waganda/ wanyarwanda wenyewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tumo!! Mmo wewe na nani mkuu?

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utaona kijana kazaliwa Manzese, kakulia Manzese kasoma na maisha yake yote anaendesha Manzese atayajulia wapi ya Mipakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…