Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Sidhani, akiwa BONGO alikua anaitwa mzee Mtwale na sio Kabila, Kabila limekuja kujulikana akiwa Congo na hasa wakati anaendesha ile vita iliokuja kumng'oa Mobutu; kama mnakumbuka vizuri, Nyerere (akiwa mstaafu wa Bongo ) alikua ndio mtu wa kwanza kwenda Kongo/Zaire ya wakati ule na akatoa bonge moja la speach na mwelekeo wa nini Kabila afanye, alimzuia asilipe hata madeni ambayo Mobutu alikopa nje ya nchihahahaha alikua akiitwa hivo?uncle kabila miaka hy? Safi sana
Wa mpakani hawana shida huo muingiliano ktk mipaka upo miaka na miaka hata watz wanaingia sana nchi zingine kama hao unao waona wakija tz, mfano Kenya unaingia ndani zaidi ya 200km bila wasiwasi kabisa as if uko nyumban tzBinafsi mi nimekuwa na mashaka haya kuhusu mifumo yetu ya ulinzi! Mikoa iliyopo mipakan kuna watu weng mno toka nchi jiran wanafanya kazi hasa vibarua,biashara as if ni watz! Unaweza ukafika holili , jipe ,tarakea au toloha ukakuta duka la raia wa kenya na mamlaka zipo kimya tu! Ukija huku kwimba wapo waganda,wakenya na wanyarandwa kibao wananunua na kuuza mpunga as if ni wasukuma! Sasa huwez jua majasusi wapo wangap humo kwenye hayo makundi! Sio ajabu ukakuta kagame ana taarifa zote za gesi ya mtwara, chuma cha liganga nk! Si alituma kikosi kupambana na ugaid msumbiji!?
Anaweza asiwe mtz lakini hao viongozi wameishi ishi tz sana, sasa kagame si ndo anaijua tz vizuri kuliko ata mzawa! 🤣🤣Siku ukuambiwa M7 ni Mtz si ndio utadata kabisa!
Kweni wewe huijui Uganda au Kenya au RwandaNimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
hahaha mkuu ungemueleza huyo jamaa.mie khs kabila huna chakuniambia kikawa kipya. ila atakua kajifunza kitu huyo kijanaSidhani, akiwa BONGO alikua anaitwa mzee Mtwale na sio Kabila, Kabila limekuja kujulikana akiwa Congo na hasa wakati anaendesha ile vita iliokuja kumng'oa Mobutu; kama mnakumbuka vizuri, Nyerere (akiwa mstaafu wa Bongo ) alikua ndio mtu wa kwanza kwenda Kongo/Zaire ya wakati ule na akatoa bonge moja la speach na mwelekeo wa nini Kabila afanye, alimzuia asilipe hata madeni ambayo Mobutu alikopa nje ya nchi
unajua kuwa wapo wanaoijua rwanda,uganda,drc vzr ?Anaweza asiwe mtz lakini hao viongozi wameishi ishi tz sana, sasa kagame si ndo anaijua tz vizuri kuliko ata mzawa! 🤣🤣
Wana miaka mingi Sana wakifanya hivyo na kulinda mageti,warundi wao Ndio vibarua huko mashambani kigoma,wanyarwanda Ni wachunga ng'ombe huko Kagera.DSM wadada wa kazi za ndani ni Wamalawi siku hizi.
Ameishi Tanzania na Amesoma chuo kikuu Tanzania,kabla kurudi Uganda na kuwa Rais.Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
kwani hujui museveni alikuwa anafundisha chuo cha ushirika moshi wakati huo na sasa MUCO?kwa nn asiijue tz wakati ni mtoto wa tz ?fuatilieni historia za viongozi muwajue.tz ilikuwa ni kituo wa wapigania uhuru wa nchi za afrika.Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
Hiyo ya mzee Mtwale sijui, mimi namjua kama uncle Kabila Kijitonyama jirani na yard ya magari ya Hashim Rungwe tena alikuwa anakuja mara nyingi na analala hata wiki. Ile nyumba IPO hadi leo na ile familia IPO hadi kesho. Ila sijui kwanini maisha ya ile familia hayajabadilika hata baada ya uncle kuwa rais wa Congo.Sidhani, akiwa BONGO alikua anaitwa mzee Mtwale na sio Kabila, Kabila limekuja kujulikana akiwa Congo na hasa wakati anaendesha ile vita iliokuja kumng'oa Mobutu; kama mnakumbuka vizuri, Nyerere (akiwa mstaafu wa Bongo ) alikua ndio mtu wa kwanza kwenda Kongo/Zaire ya wakati ule na akatoa bonge moja la speach na mwelekeo wa nini Kabila afanye, alimzuia asilipe hata madeni ambayo Mobutu alikopa nje ya nchi
Wala si ajabu na kujuana huko hakusababishi ugaidi wa bila sababuunajua kuwa wapo wanaoijua rwanda,uganda,drc vzr ?
Wote hao kina kagame hawana shida kabisaMuseveni ni mtoto wa nyumbani
Sikuwahi kujua kuwa Gen MK sio biological son wa Janeth.Hopefully unajua Lt. Gen. Kainerugaba sio mtoto wa kumzaa wa Mama Janet M7.
Mwenyezi Mungu akusamehe, huenda ni makosa ya wazazi wako.Kwanini sasa muingie kwenye mivutano na Museveni? Maccm bana huwa mnakuwa na akili za kijinga kijinga tu
Ndo mjifunze sasa kuwa na Marais wenye exposure siyo kuwa na lirais linapajua kijijini kwao tu hadi linatamani kijiji kiwe nchi inayojitegemea (Chato zii)