Museveni anaeonekana kuifahamu sana Tanzania, hii sio hatari kwa usalama?

Nyinyi masikini ni watu wa ajabu sana.
 
Wanaolinda usalama wetu wamepriotize possible enemy namba uno ni raia yaani mwananchi wa kawaida.

Ukitaka kujua hilo, kosoa serikali kwa whatsapp au facebook yako ndo utajua hujui.

Tuna ujinga mwingi uliotukuka
 
Anaweza asiwe mtz lakini hao viongozi wameishi ishi tz sana, sasa kagame si ndo anaijua tz vizuri kuliko ata mzawa! [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

ni Mtanzania
 
Usiogope kuhusu Mseveni kiifahu Tz ,huyo jamaa ni mtoto wa Mwalimu Nyerere kiutawala hivo basi Baba wa Uganda ni Tanzania.Ngoja nikutajie nchi ambazo zipo hapa Africa zimezaliwa na Tanzania ni Msumbiji, Africa kisini,Rwanda,Zanzibar na hata Burundi hizo n watoto wa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la mchanganyiko wa raia wa mataifa yanayounganisha mipaka alikwepeki ni jambo la kawaida tu Maan sheria za mipaka huruhusu muingiliano wa kilomita moja,.. Ndo Maana unakuta hapo nakonde mpaka wa Zambia na Tanzania Kuna wa Tanzania kibao hufanya biashara na wazambia... Hata mpakani mwa Marekani na Mexico ilikua hivohivo mpka alipoingia trump kuweka uzio kwa kuwatuhumu wa Mexico kuwauzia mihadarati Sana wa Marekani... Ila hali ipo hivo kwene mpka wa USA na Canada.... Iyo ni kawaida ulimwenguni kote
 
Yaani ndugu yako kazaliws Kenya karudi kwao kufanya biashara umfukuze? yaani unamjua kabisa yule Baba mdogo na Babu yako akiri ni mwanae sasa wewe komaa na mipaka ya wazungu wenzako wanaishi
 
Mwanajeshi yoyote lazima aifahamu Tanzania. So na wageni waliojifunzia jeshi hapa vivyohivyo
 
Alisoma master's UDSM, alifundisha chuo cha muccobs, ataachaje kuijua TZ

Pia kwa za chini chini, mwalimu nyerere ndo alimuweka kwenye kiti cha urais UGANDA.
 
ila wabongo ndo wamezidi... kuna kipindi mpka Mozambique ilibidi watumie nguvu ya vyombo vya usalama kuwaondoa.. u can not control everything hasa kwenye muingiliano wa watu.. but it is important to be alert
 
ila wabongo ndo wamezidi... kuna kipindi mpka Mozambique ilibidi watumie nguvu ya vyombo vya usalama kuwaondoa.. u can not control everything hasa kwenye muingiliano wa watu.. but it is important to be alert
nakuunga mkono mkuu nchi kama ya zambia na malawi wamejaa sana wabongo.
 
Africa hakuna ujasusi wowote,hizi nchi zinajilinda zenyewe tu by nature.
 
Karibia marais wa nchi jirani wamekulia Tanzania,

Dar es salaam ndo ilikuwa kituo cha mipango yote, iliitwa mji wa umbea.

Marais kama kabila, mseveni, obote, kagame na wengine kibao wamekulia Tanzania na wanaijua tz kuliko hata wewe raia wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…