Hahah mkuuKatika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi , Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari , kwa ajili ya kutumika shuleni hapo .
Wazee hao wanaamini kwamba Wanafunzi wakisikia kengele hiyo watajua Kwamba serikali imeleta Maendeleo .
View attachment 2502651
Hizi ni dharauKatika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi , Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari , kwa ajili ya kutumika shuleni hapo...
Hatari sana ndipo tulipofikia mkuu.Hamna kitu hapo, Ni upumbavu tu yaani na picha juu.. Magufuli aliaribu sana bunge letu
Daah aiseee, nchi yetu ngumu sanaKatika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi , Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari , kwa ajili ya kutumika shuleni hapo...
[emoji38][emoji38][emoji38]Ulienda Ujerumani na ulichojifunza ni kuwa rimu ya gari ni kengele nzuri!
Poor you.
Mbunge wa chama gani!?View attachment 2502669View attachment 2502770
Timekeeper kasimama kwa heshma na taadhima huku kashikilia chuma lake la kugongea Kengele...! Hatari sana.
kwani majengo hujayaona kwenye picha ?Hiyo shule ni yao kwa nn wasipeleke? Alaf mbona hukuripoti kuhusu hayo majengo mazuri yaliojengwa na CCM?
Halafu anaitwa mheshimiwaDuh yani anashindwa kutoa fungu ifungwe electric bell/alarm system hapo shuleni badala yake anapeleka rim ya lorry
Tukuulize wewe unayesema kwa nini wasipeleke rimu used la Fuso hapo shule!Hiyo shule ni yao kwa nn wasipeleke? Alaf mbona hukuripoti kuhusu hayo majengo mazuri yaliojengwa na CCM?
Nchi imepinda hiiHalafu anaitwa mheshimiwa
Ukweli nchi hii imepinda
Kwani utampangia mtu vitu au fenicha za kuweka kwenye nyumba alioijenga yeye? Hata akiweka kuu kuu nyumba si yake? Kuna shida?Tukuulize wewe unayesema kwa nini wasipeleke rimu used la Fuso hapo shule!
Kwa akili zako kwa muonekano wa hayo majengo unayoyasifia hapa hiyo rim ilistahili kuwepo hapo?tena na picha mmepiga kana kwamba mnakabidhi kitu cha maana sana,hayo mavyuma wamiliki wa malori huwa wanayaacha bure kwa waziba puncture kwenu mnaona sherehe.
Nakala kwa SupikaView attachment 2502669View attachment 2502770
Timekeeper kasimama kwa heshma na taadhima huku kashikilia chuma lake la kugongea Kengele...! Hatari sana.
Kiongozi hana mshipa wa aibu!!!Nchi imepinda hii
Sasa sijui itakuaje maana ilivyopinda ukitaka kunyoosha inakatika tuendelee tu hivi hivi 😁
AiseeKatika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi , Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari , kwa ajili ya kutumika shuleni hapo .
Wazee hao wanaamini kwamba Wanafunzi wakisikia kengele hiyo watajua Kwamba serikali imeleta Maendeleo .
View attachment 2502651
Halafu wewe Ahmad Abdurahman unaonekana dhahiri ni mtoto wa Kinana,una-sound kisiasa siasa sana.Kwani utampangia mtu vitu au fenicha za kuweka kwenye nyumba alioijenga yeye? Hata akiweka kuu kuu nyumba si yake? Kuna shida?
Mbunge wa chama gani!?
Halafu anaitwa mheshimiwa
Ukweli nchi hii imepinda
Niache nicheke, 🤣🤣 ndiyo atafikiria kujenga madaraja, madarasa...Tazama jezi mkuu...!
Nchi imepinda hii
Sasa sijui itakuaje maana ilivyopinda ukitaka kunyoosha inakatika tuendelee tu hivi hivi 😁
Na huu mgao njereeeDuh yani anashindwa kutoa fungu ifungwe electric bell/alarm system hapo shuleni badala yake anapeleka rim ya lorry