Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Tunataka pia kusikia upande wa mganga mkuu mfawidhi wa hosp aliyojifungua na pia manesi waliomzalisha. Ni kweli alijifungua hao mapacha??

Jeshi la Polisi nao uchunguzi wao usichukue muda.
 
Huna akili km unaamini huo ujinga
 
Haya, mnaoamini uwepo wa Mungu njoeni mtetee huu utumbo
 
Kaambiwa alete kadi za hao watoto ana kadi moja! Huyoo mama huyo
 
Narudia hujui ulisemalo na Mungu akusamehe
Full stop
Uchawi ni akili yako, ni mind games... alafu wewe inaonekana unaamini sana haya mambo, ni rahisi sana mtu kucheza na akili yako... anakulia taiming unarudi nyumbani anapasua yai mbele yako na kukunyunyizia powder... anaacha karatasi kaandika kama kiarabu kumbe kaandika hata haijulikani...
Kisha anaondoka, cha msingi anahakikisha umemuona, hapo lazima wewe upoteane na unaweza umwa kichwa kabisa sababu ya kuamini..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Haya mambo utayasikia kanda ya ziwa tu, sijui shida iko wapi, mambo ya lufikirika mengi huwa yanayokea huko
 
Watoto kuzaliwa na kasoro ya kimabile ni malezi mabovu ya mzazi yaani mama wakati mtoto akiwa tumboni... kama mzazi anatumia kwa wingi pombe, haswa pombe kali na/ au anatumia madawa fulani wakati wa crucial stages za mtoto kukua tumboni zinaathiri maumbile yake... ingia mtandaoni soma kitu wanaita TERATOGENS... utapata picha zaidi...
hivyo hao wanaozaa watoto wenye changamoto, watoto hao ni zao la wao (mama) kukosa kufanya mambo sahihi wakati wa ujauzito... hamna mchawi wala!!
 
Hiyo umeelezea kisayansi lkn wenyewe wanaamini fofauti ndgu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…