Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Wanaosema maneno kama haya yako ni wale walikuwa wezi na mafisadi wa nchi hii walitaka waachwe tu ili waendelee kutuibia. Lazima mshughulikiwe mpaka mwache wizi na ufisadi wa mali za watz.
 
Mwaka huuu watajua Mara ni Mkoa gani, Hakuna kupora ushindi wa lisu Mwaka huuu, hata hao wagombea wa Ccm baadae watatimuka wenyewe toka Mkoa wa Mara tutabaki na wanaukombozi tu
 
Hapo umecheza bingo, maana kuna wale waliotaka kutumia familia hii kwa maslahi yao binafsi. Sasa umeweka balance.

Hii familia haipaswi kutumika kimaslai hata kidogo..Ni familia ya kuheshimika sana.
 

..Mzee Bulembo hamtaki mkwe wake Zitto kwasababu yuko upinzani.

..Kafulila na Kishoa walioana wakati wote walipokuwa ktk upinzani.

..sasa hivi ccm wanamfanyia fujo na kumdhalilisha Jesca Kishoa bila kujali kwamba mumewe ni mwana-ccm.

..Jiwe ameleta chuki kubwa na tabia za ukatili ktk siasa zetu.
 
Hapo wafuasi wa Lissu ndio mnapokwama, kwa akili yako unafikiri nyomi ndo ushindi? Hukujifunza kwa Lowassa? Una fikra finyu sana comrade.
Kwa hiyo wasanii wanini kwenye kampeni kama siyo kuvuta watu, nyomi?! Ndo maana nakuambia kiwango chako bado! Ujinga wa Polepole hufiki Hata robo!
 
Labda wewe na familia yako. Hiyo video clip niliyoweka nayenyewe unaisemeaje?
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo wasanii wanini kwenye kampeni kama siyo kuvuta watu, nyomi?! Ndo maana nakuambia kiwango chako bado! Ujinga wa Polepole hufiki Hata robo!
Wasanii wamewakataa Chadema hilo lipo wazi, kanisani kuna kengele misikitini kuna adhana yote iyo kuwavuta watu ili wasikie ujumbe kusudiwa ndio itakua kwenye siasa.

Jaribu kuwa na Fikra comrade.
 
Dawa Ya huyu mtu ni kumuonda Kwa kuungana, Kwan kuunganisha watu pamoja na kumuondoa Kwa nguvu
 
Jk alikuwa Mtoto wa Mwanasiasa, Mjukuu wa Akida, Mwanajeshi Mstaafu, Mwana Kijitonyama wa tangu Kibaha Secondari n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…