Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Tulia dawa iwaingie [emoji382][emoji382][emoji382][emoji381][emoji381]
JamiiForums-1683321171.jpg
 
D
Sio hivyo ngoja nikuambie kitu ambacho nawafundisha kila Siku ila hamuelewi magufuli ni mwepesi Sana kupigwa chini kwa sababu Ya visas na kutaka kila anaemkosoa amdhalilishe, kumbuka makongoro aliposema Siku ile ile issue ya Simba kutaka kushuka daraja akasaidiwa na yanga asishuke ilimuuuuma saaaana magufuli maaana makongoro alimaaanisha kuwa hawataki kuona chadema inakufa, anahitaji chadema iwepo ili kuleta ushindani, ndicho alichomaanisha madaraka Kwa maaana nyingne akipinga ile hali Ya magufuli kutaka kuuwa upinzani, sasa baada Ya makongoro kumaliza kuongea baadae alikuja magufuli kuongea akaiponda familia Ya Mwalimu kuwa waliogombea wakaambulia kura Tatu akazitaja, tena akawa anazitaja anacheka na akawa anazitaja Kwa kebehi ili kuwadhalilisha, hilo liliwauudhi Sana familia na wanajipanga kumwaaangusha, magufuli ni wa visas na vitina hataki hata kidogo wewe umpinge Au uupende upinzani, ndio maaana timunasema hafai na nirais kumtoa Kwa sababu hatumiii akiri kwenye siasa anatumia nguvu, angalia sasa kapoteza Kwa ile familia na ina watu wengi Sana mno siasa ni akiri yeye anatumia ukatari ili asishauliwe anapenda chuki
[/duuuh!aysee,ndo maana cjakosea kujiunga jf,huu mfano umelenga mulemule
 
Wakuu,

Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.

Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,

Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.

Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Hiiiii, litakuwa limenuna ni hatareee! Linatamani hata kuwafutia marupurupu!
 
Ameenda kujipendekeza kwenye kaburi la Baba wa Taifa si alimtukana kwenye Bunge la Katiba? Urais haupati.
 
Ameshapitishwa
Jambo la familia ya Mwalimu Nyerere kumkaribisha Lissu kulala nyumbani mwao tena wakati kampeni zinaendelea ni ujumbe wa wazi wazi kwa CCM na Magufuli kuwa familia hiyo anzilishi wa CCM na Taifa letu wamechoshwa na CCM na watawala wa nchi. Pia ni ishara ya ridhaa ya wana CCM kwa Lissu. Ni kitendo cha kijasiri na kimapinduzi.
 
Huu uzi umenzishwa kuelezea Lisu kulala kwa Nyerere, we unaleta matangazo ambayo yamejaa majalalani, yanachafua mazingira?! Tumia Wewe fikra siyo kudandia treni kwa mbele!
Daktari huwa hapangiwi kwa kuchoma sindano, mimi kama daktari nimeshakuchoma sindano ya kalio sasa kazi kwako kuamua unasikiliziaje maumivu kwa kulala chali au kubidua kalio.
 
CCM iwaombe msamaha watoto wa mwanzilishi wa CCM aliyekuwa na kadi namba 1 ambaye pia ni Baba wa Taifa hili kwa kuwapa kura 2 kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM. Pia kwa kumbeba Mama Maria mzobamzoba na kumpeleka Musoma mjini ili kuongeza kichwa kwenye mikutano ya CCM.
Natumaini alitumia nafasi hio kuomba msamaha kwa kejeli na dharau alizokua anazitoa kuhusu mwalimu Nyerere.

Kuna familia zina moyo wa kusamehe
 
Ameenda kujipendekeza kwenye kaburi la Baba wa Taifa si alimtukana kwenye Bunge la Katiba? Urais haupati.
Lissu angekuwa amemtukana Nyerere watoto wa Nyerere na mama yao wasingemkaribisha alale kwao na kumfanyia karamu.
 
Daktari huwa hapangiwi kwa kuchoma sindano, mimi kama daktari nimeshakuchoma sindano ya kalio sasa kazi kwako kuamua unasikiliziaje maumivu kwa kulala chali au kubidua kalio.
Sindano ni ipi sasa hapo! Umekunywa maji leo?!
 
Nakumbuka wakati muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya pili ya JK, KUB alikua Hamad Rashid Mohamed wa CUF. Siku ya Alhamisi ambayo ni siku ya maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, KUB alikua akipata kifungua kinywa nyumbani kwa PM na wakiondoka wote kwenda Bungeni.

Utamaduni huu umekomeshwa kikatili sana. Sasa hivi sio tu dhambi kumtembelea mtu mnae tofautiana itikadi za chama bali pia ni dhambi kumjulia hali mgonjwa hospitakini kama si wa chama chako! Na tunapoelekea hata kuzikana watu wa vyama tofauti itakua ni kosa la kimaadili la kuadhibiwa na chama. Nani katufikisha huku? Tusikubali.
Acha uongo wakati mpaka wabunge wanaoana bila kubaguana. Upo Tanzania kweli? Muulize Zitto amezaa na mbunge wa CCM pia mke wa Kafulila ni Chadema bila kusahau mke wa msemaji wa Chadema ni CCM! Acha kubwabwaja kama hujui. Mimi mwenyewe mke wangu ni Chadema. Pia angalia video clip hapa chini. Tena sasa hivi watz wa vyama tofauti wanashirikiana kuliko hapo awali. Ndiyo maana namsikitikia msaliti Lissu anapowaambia eti watz waingie barabarani labda alete maburuki toka nje ya nchi. Atashangaa baada ya tarehe 28/10/2020.

Back
Top Bottom