Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Kaka yanayopangwa na Mkoa wa Mara chini kwa chini toka Vijijini had mjini, ukiyajua Kama wewe ni msimamiz Wa Uchaguzi Mkoa huuu usije ukathibutu kuiba, Jamaaa hawa wamepanga mipango madhubuti mno wanasema wao ukipora kura zao watakubeba na kukupeleka msituni ukawaeleze umepeleka wapi kura zao hawataogopa polisi, watakuwa Kama sisimiz na wako Tiyari kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mara unakuwa ndio kitovu cha ukombozi wa nchi hawataki kuwahiwa na Mkoa mwingne wameamua kuweka history Ya ukombozi wa Mara Ya pili hutaaamini kitakachotokea
Nimependa sana ukombozi kuanzia Mara, then Kagera/Bukoba watafata

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nyuzi za watu maana yake ni nini comrade? Jaribu kuwa na fikra comrade zitakusaidia kuacha kuweweseka.
Huu uzi umenzishwa kuelezea Lisu kulala kwa Nyerere, we unaleta matangazo ambayo yamejaa majalalani, yanachafua mazingira?! Tumia Wewe fikra siyo kudandia treni kwa mbele!
 
CCM huyo Mugabe mmemtetea na kumlinda sana akiwa hai hata alipokuwa anaiharibu nchi yake. Leo hii ni marehemu ndiyo mnamtumia kukejeli wengine?
Mugabe yupi comrade? Wapi nimemzungumzia Mugabe au umelewa gongo comrade?
 
Wakuu,

Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.

Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,

Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.

Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Jiwe amefura kwa hasira, Naona kama amepewa kifimbo Cha mwalimu
 
Niyeye Lissu ni Rais wetu wa awamu ya6
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
 
Ninachowaaambia nikuwa mheshimiwa tundu lisu ndio rais wa sita mkatae msikatae magufuli hataweza kushinda hata Kwa Dawa Ccm watafanikiwa kuwa na wabunge wengi tu ila magufuli hatashinda kura Nina Uhakika atapora ushindi Lakini hatafaulu ataondoka madarakani nawahakikisheni hivyo magufuli hata shinda kura, labda ujitoe ufaham, kinachopangwa huku Mara ni umoja wa kuikomboa nchi kupitia Mkoa wa Mara, Mkoa wa Mara ndio utakao kataaa katakata kuporwa kura na ndio utakaokuwa Mkoa wa kwanza kwenye vuguvugu la kumtoa magufuli Niko tarime nawahakikisheni kinachopangwa Na wana Mara pasipo hata kushirikisha chadema ni umoja ambao haujawahi tokea tangu nizaliwe, Mara itakuwa kitovu cha mabadiliko na Jeshi litashindwa na itaambukiza Kagera, itaingia Mwanza na Geita wakuuu hakutakuwa na wizi wa kura Mkoa wa Mara, watu wameishaanza kuunganisha nguvu toka Vijijini huko wanasema hawatakubali watamshika mtu Kwa mkono na atawaeleza kura zao ziko wapi, nawahakikisheni kuwa magufuli anaondoka madarakani kitakachotokea Mara wakiiba kura na mikoa Yote itafuata tu
Chadema watapigiwa kura na wajinga, wasiotaka maendeleo
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
Je ni kweli au si kweli? Ni sawa na kusema Jiwe ni fisadi ambaye kawazidi mafisadi wote hapa nchini.
Kanunua ndege lakini hataki CAG makini akague hayo manunuzi, jamani Mataga mnakwama wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Je ni kweli au si kweli? Ni sawa na kusema Jiwe ni fisadi ambaye kawazidi mafisadi wote hapa nchini.
Kanunua ndege lakini hataki CAG makini akague hayo manunuzi, jamani Mataga mnakwama wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Jibu alimtukana au la? acha porojo na misukule wenzenu
 
Back
Top Bottom