Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Wakuu,

Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.

Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,

Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.

Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Baba Mkwe wa Antipass ana nasaba na maeneo hayo, hivyo kulala huko sio dhambi Rtd Col. Magabe.
Watanzania tumeoleana sana kama Msigwa na Magufuli n.k
 
Nakumbuka wakati muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya pili ya JK, KUB alikua Hamad Rashid Mohamed wa CUF. Siku ya Alhamisi ambayo ni siku ya maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, KUB alikua akipata kifungua kinywa nyumbani kwa PM na wakiondoka wote kwenda Bungeni

Utamaduni huu umekomeshwa kikatili sana. Sasa hivi sio tu dhambi kumtembelea mtu mnae tofautiana itikadi za chama bali pia ni dhambi kumjulia hali mgonjwa hospitakini kama si wa chama chako!!! Na tunapoelekea hata kuzikana watu wa vyama tofauti itakua ni kosa la kimaadili la kuadhibiwa na chama. Nani katufikisha huku? Tusikubali
Hayo Kuna mtu ndio source ya hayo .

Kawapandikiza wengine wooote

Sio roho ya wapi hio sio ya kitanzania kabisa

That's ain't Tanzania culture,tradition and customs
 
Ninachowaaambia nikuwa mheshimiwa tundu lisu ndio rais wa sita mkatae msikatae magufuli hataweza kushinda hata Kwa Dawa Ccm watafanikiwa kuwa na wabunge wengi tu ila magufuli hatashinda kura Nina Uhakika atapora ushindi Lakini hatafaulu ataondoka madarakani nawahakikisheni hivyo magufuli hata shinda kura, labda ujitoe ufaham, kinachopangwa huku Mara ni umoja wa kuikomboa nchi kupitia Mkoa wa Mara, Mkoa wa Mara ndio utakao kataaa katakata kuporwa kura na ndio utakaokuwa Mkoa wa kwanza kwenye vuguvugu la kumtoa magufuli Niko tarime nawahakikisheni kinachopangwa Na wana Mara pasipo hata kushirikisha chadema ni umoja ambao haujawahi tokea tangu nizaliwe, Mara itakuwa kitovu cha mabadiliko na Jeshi litashindwa na itaambukiza Kagera, itaingia Mwanza na Geita wakuuu hakutakuwa na wizi wa kura Mkoa wa Mara, watu wameishaanza kuunganisha nguvu toka Vijijini huko wanasema hawatakubali watamshika mtu Kwa mkono na atawaeleza kura zao ziko wapi, nawahakikisheni kuwa magufuli anaondoka madarakani kitakachotokea Mara wakiiba kura na mikoa Yote itafuata tu
Umenipa moyo sana mkuu, lazima mwaka huu ccm kiwe chama pinzani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
 
Tuliza mshono comrade.
Nenda labor naona umesahau uzazi wa mpango tangu uambiwe fyatueni tu,safari hi kula ccm kura chadema ccm.jpg
 
Magufuli atakapotolewa madarani tutasikia mengi sana;
1. Watu hasa wana ccm watanena walivyozuiwa kuchangana na wapinzani.

2. Wataeleza nani alimpiga Lissu risasi

3. Wataeleza jinsi walivyopewa maelekezo kuwaengua wapinzani
Kea ujumla atafananisha na IDD AMINI DADA
Sure there will be messy ugly and noisy.....
 
Jiwe kafura kanuna kanyong'onyea,kalegea tepetepe baada ya kusikia watoto wa mwalimu wamemuomba Lissu akalale kwao,wakati Jiwe alimforce bi mkubwa wa taifa aende pale mkendo akaongeze idadi ya vichwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kidogo, kwasasa wanafunga midomo sababu wananufaika
Mimi pia nimewahi kuwaza hivyo..ndio maana wote Kwa SASA wako wanahangaika ili MTU wao ashinde ili wapate manufaa na upendeleo kutoka Kwa aliyeko madarakani, matatizo ya wananchi ni kisingizio tuu cha kutafuta kuungwa mkono ili wakiwa wanafaidika wawe na support ya mass.. otherwise all these episodes zinazoendelea majukwaani ni Drama au kiini macho.
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
we ndo msahaulifu kamati ya fitina majungu na roho mbaya
 
Back
Top Bottom