Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Hivi hilo neno sumptuous magufuli anaelewa maana yake?
Nafikiri mwandishi hakuwa ana address umma wa watanzania..hiyo ni weekly report anaituma Kwa hadhara yake.
Hivi hawezi kupiga kampeni bila mabunduki?
Yaani natamani kuona security details ambazo Lissu atawekewa ikitokea akashinda uchaguzi mkuu ujao
 
Mkuu hii familia ni muhimu sana lakini CCM ina ichukulia kama familia ya mjumbe wa nyumba kumi!
Pengine ni kwa sababu jamaa ni watu waliopo kwenye kundi la watu wenye maono!

Nikusaidie na hii iwe kwa Faida yenu wote hapa ni kwamba hakuna Rais wa Tanzania hii ( ukiachana na Hayati Mwalimu Nyerere Baba yao Mzazi ) ambaye alipokuwa 'Madarakani' hakuilinda hii 'Familia' na hata 'Kuwajali' kwa kuwapa Nafasi ( Vyeo ) ama ndani ya Chama au katika Taasisi zingine ili waishi vyema. Tatizo la hawa Watoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere 'hawabebeki' kwa 'mbeleko' za kila aina.

Na si tu Serikali ya Tanzania iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) ambayo imekuwa 'ikiwajali' kwa kila namna hawa Watoto wa Hayati Mwalimu ukiachia mbali 'Kumjali' sana tu 'Kikatiba' Mama yao Mzazi kama Mjane wa Rais Mstaafu Nyerere. Hata Serikali za Uganda kupitia Rais Museveni na Rwanda kupitia Rais Kagame 'zinawajali' mno ila tatizo lao Kubwa 'wamebweteka' na wanapenda 'Kudeka' huku wakiwa Wazee.

Naomba nisiendelee zaidi ya hapa na ukweli utabaki ule ule Rais Dkt. Magufuli, Serikali yake na Chama cha CCM 'Kinawajali' kuliko mjuavyo hapa.
 
Magufuli atakapotolewa madarani tutasikia mengi sana;
1. Watu hasa wana ccm watanena walivyozuiwa kuchangana na wapinzani.

2. Wataeleza nani alimpiga Lissu risasi

3. Wataeleza jinsi walivyopewa maelekezo kuwaengua wapinzani
Kea ujumla atafananisha na IDD AMINI DADA
You mean hii nchi imejaa wanafiki?
 
Wakuu,

Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.

Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,

Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.

Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Tupate kusubiri tamko la CCM Kuwafuta uanachama hao waliompokea LISSU
 
Ndo kuweweseka huko lazima mwisho wa siku utatafuta tusi tu.
Kaka yanayopangwa na Mkoa wa Mara chini kwa chini toka Vijijini had mjini, ukiyajua Kama wewe ni msimamiz Wa Uchaguzi Mkoa huuu usije ukathibutu kuiba, Jamaaa hawa wamepanga mipango madhubuti mno wanasema wao ukipora kura zao watakubeba na kukupeleka msituni ukawaeleze umepeleka wapi kura zao hawataogopa polisi, watakuwa Kama sisimiz na wako Tiyari kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mara unakuwa ndio kitovu cha ukombozi wa nchi hawataki kuwahiwa na Mkoa mwingne wameamua kuweka history Ya ukombozi wa Mara Ya pili hutaaamini kitakachotokea
 
Haya ni matusi mengine kwa baba wa Taifa ambaye tayari Lisu alishamtukana,
 
Kaka yanayopangwa na Mkoa wa Mara chini kwa chini toka Vijijini had mjini, ukiyajua Kama wewe ni msimamiz Wa Uchaguzi Mkoa huuu usije ukathibutu kuiba, Jamaaa hawa wamepanga mipango madhubuti mno wanasema wao ukipora kura zao watakubeba na kukupeleka msituni ukawaeleze umepeleka wapi kura zao hawataogopa polisi, watakuwa Kama sisimiz na wako Tiyari kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mara unakuwa ndio kitovu cha ukombozi wa nchi hawataki kuwahiwa na Mkoa mwingne wameamua kuweka history Ya ukombozi wa Mara Ya pili hutaaamini kitakachotokea
Na wewe umeamini hizo porojo za kwenye vijiwe vya kahawa??
 
J
Wakuu,

Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.

Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,

Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.

Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Bila picha wangesema uongo
Jiwe linaona haya ilooo
 
Usije kushangaa kusikia familia ya Nyerere inachunguzwa uraia wake .
 
Back
Top Bottom