Hakuanguka...ni figisu figisuKwahiyo Madaraka Nyerere baada ya 'Kuanguka' na 'Utiaji Nia' wake ndani ya CCM sasa 'Hasira' zake kaamua kuwa karibu na CHADEMA kama hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuanguka...ni figisu figisuKwahiyo Madaraka Nyerere baada ya 'Kuanguka' na 'Utiaji Nia' wake ndani ya CCM sasa 'Hasira' zake kaamua kuwa karibu na CHADEMA kama hivi?
Hivi mkuu uongo unakusaidia nini lkn?
Hizi picha zilipigwa mwaka 1981 wakati wa mahafali ya Lissu kumaliza kidato cha 4.
Acheni uongo bana.
Na Leo KANDA MAALUM INAONGEASasa comrade tundu Lissu kulala chumbani kwa Madaraka Nyerere inamsaidia nini babu na bibi yako walioko kijijini ?
Kwa iyo?Na Leo KANDA MAALUM INAONGEA
Mkuu hii familia ni muhimu sana lakini CCM ina ichukulia kama familia ya mjumbe wa nyumba kumi!Kwahiyo Madaraka Nyerere baada ya 'Kuanguka' na 'Utiaji Nia' wake ndani ya CCM sasa 'Hasira' zake kaamua kuwa karibu na CHADEMA kama hivi?
Hakuanguka...ni figisu figisu
Mkuu hili ni tangazo au umekosa cha kupost?Chagua CCM chagua Magufuli View attachment 1582412
Rafiki niazime hiyo miwani yako hapo kwenye avatar!Natumaini alitumia nafasi hio kuomba msamaha kwa kejeli na dharau alizokua anazitoa kuhusu mwalimu Nyerere.
Kuna familia zina moyo wa kusamehe
[emoji23][emoji23] Inawauma sana...Vile MATAGA wa Lumumba wanapanic wakipata hii habariView attachment 1582437
Amekwenda huko kupata laana...he is finished...mark my words...Atubu,kwani alishawahi kusema kuwa "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo" hii karma itatamtafuna bila kumbakiza
Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Lissu mpatie Madaraka kacheo kadogo
Nafikiri mwandishi hakuwa ana address umma wa watanzania..hiyo ni weekly report anaituma Kwa hadhara yake.Hivi hilo neno sumptuous magufuli anaelewa maana yake?
Mmmh hahahahahaSio hivyo ngoja nikuambie kitu ambacho nawafundisha kila Siku ila hamuelewi magufuli ni mwepesi Sana kupigwa chini kwa sababu Ya visas na kutaka kila anaemkosoa amdhalilishe, kumbuka makongoro aliposema Siku ile ile issue ya Simba kutaka kushuka daraja akasaidiwa na yanga asishuke ilimuuuuma saaaana magufuli maaana makongoro alimaaanisha kuwa hawataki kuona chadema inakufa, anahitaji chadema iwepo ili kuleta ushindani, ndicho alichomaanisha madaraka Kwa maaana nyingne akipinga ile hali Ya magufuli kutaka kuuwa upinzani, sasa baada Ya makongoro kumaliza kuongea baadae alikuja magufuli kuongea akaiponda familia Ya Mwalimu kuwa waliogombea wakaambulia kura Tatu akazitaja, tena akawa anazitaja anacheka na akawa anazitaja Kwa kebehi ili kuwadhalilisha, hilo liliwauudhi Sana familia na wanajipanga kumwaaangusha, magufuli ni wa visas na vitina hataki hata kidogo wewe umpinge Au uupende upinzani, ndio maaana timunasema hafai na nirais kumtoa Kwa sababu hatumiii akiri kwenye siasa anatumia nguvu, angalia sasa kapoteza Kwa ile familia na ina watu wengi Sana mno siasa ni akiri yeye anatumia ukatari ili asishauliwe anapenda chuki
mmebaki ka kikundi Rwanda si mbali....Umeshaanza kuweweseka
Ndo kuweweseka huko lazima mwisho wa siku utatafuta tusi tu.Kuitetea ccm ya magufuli unahitaji PhD ya uendawazimu