Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Jambo jema ni kuwa familia ya mwalimu haigusiki na yoyote.Sio hivyo ngoja nikuambie kitu ambacho nawafundisha kila Siku ila hamuelewi magufuli ni mwepesi Sana kupigwa chini kwa sababu Ya visas na kutaka kila anaemkosoa amdhalilishe.
Kumbuka makongoro aliposema Siku ile ile issue ya Simba kutaka kushuka daraja akasaidiwa na yanga asishuke ilimuuuuma saaaana magufuli maaana makongoro alimaaanisha kuwa hawataki kuona chadema inakufa, anahitaji chadema iwepo ili kuleta ushindani, ndicho alichomaanisha madaraka Kwa maaana nyingne akipinga ile hali Ya magufuli kutaka kuuwa upinzani.
Sasa baada Ya makongoro kumaliza kuongea baadae alikuja Magufuli kuongea akaiponda familia Ya Mwalimu kuwa waliogombea wakaambulia kura Tatu akazitaja, tena akawa anazitaja anacheka na akawa anazitaja Kwa kebehi ili kuwadhalilisha, hilo liliwauudhi Sana familia na wanajipanga kumwaaangusha.
Magufuli ni wa visas na vitina hataki hata kidogo wewe umpinge Au uupende upinzani, ndio maaana timunasema hafai na nirais kumtoa Kwa sababu hatumiii akiri kwenye siasa anatumia nguvu, angalia sasa kapoteza Kwa ile familia na ina watu wengi Sana mno siasa ni akiri yeye anatumia ukatari ili asishauliwe anapenda chuki.
Magu kapoteza mapema mno