Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa mwisho ni yule aliyesema hawezi kuwateua watoto wa Mwalimu maana wana kura 2 na 3, wakati huo akamteua mwenye kura 0 kuwa mgombea.Atubu,kwani alishawahi kusema kuwa "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo" hii karma itatamtafuna bila kumbakiza
Visukari vitapamba moto upande ule wa pili...homa na harara[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amekutana na familia ya Hayati Baba wa Taifa huko Mwitongo, sehemu ambayo alizaliwa na kuzikwa
Miongoni mwa wanafamilia waliowakaribisha ni pamoja na Mtoto wa Mwalimu Nyerere, Madaraka
View attachment 1582392
View attachment 1582397
View attachment 1582401
Kupitia Mtandao wa Twitter Lissu ameandika:
Jaribuni muone. Nawahakikishia mtapoteza wanachama zaidi ya milioni tano kwa hicho kitendo kidogo tu.
Huyu ni Idd Amin dadaChagua CCM chagua Magufuli View attachment 1582412
Nakusoma sana pande hizi Ngongo[emoji28]Sasa kwanini anamkaribisha mtu anayetusumbua hivi !.Tunakosa usingizi,presha zinapanda bila utaratibu & halafu unakula na kunywa na kubwa la maadui.
Kwako hakuna wachawi!labda ndio Polepole anaongea na waandishi kulitolea ufafanuzi..
Lissu ukija mji wetu uje ulale na kwangu...nione jiwe ataniambia raia wa wapi?
Mungu amtunze huyu mama msema kweliHata familia ya Nyerere inajua Ccm kinawatumia tu.
Madaraka na Makongoro walipata jumla ya kura 5 kwny kura za Maoni sababu hawana pesa za kuhonga wajumbe.
Mama Maria hata yeye ameanza kushtukia mchezo.View attachment 1582415
HahahHii habari italeta mpasuko CCM,maana Meko alishapiga biti wana CCM kumkaribia Lissu
Huyu mbaguzi nambari one dunianiWa mwisho ni yule aliyesema hawezi kuwateua watoto wa Mwalimu maana wana kura 2 na 3, wakati huo akamteua mwenye kura 0 kuwa mgombea.