iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Hapo ni nyumbani kwa Kinjikitile Ngwale kule kilwa katika mikakati ya vita vya maji maji.Hizi picha ni kabla ya Uhuru 1955
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni nyumbani kwa Kinjikitile Ngwale kule kilwa katika mikakati ya vita vya maji maji.Hizi picha ni kabla ya Uhuru 1955
Kamuulize polepoleKwani kura zinapigwa mkoa wa mara tu?? Acheni kuweweseka na usiwatie ujinga watu wa mara kwamba mtaleta fujo tutawapiga virungu kisawasawa. Lissu hatoshinda comrade hilo lipo wazi.
Ni kweli Magu alisema kuwa Bashiru alikua anauza ndizi sokoni aya niambie wapi tulitaka kufanya kuuza ndizi kwa Bashiru kuwa jambo la kitaifa na kuwatangazia walimwengu?? Nyie kulala tu chumbani kwa Madaraka mmeona ni bonge la jambo mnadhani kura tutapigia chumbani kwa Nyerere?
Sema bwana alimtoa Magu na sasa ametwaa kwenye siasakama mimi ni elitwege natakiwa kucomment nini hapa?
Nikamuulize nini comrade hata mimi pia naweza kuwa ni uyo polepole unayetaka nikamuulize. Acha kuweweseka comrade.Kamuulize polepole
Umeshaanza kuwewesekaTutapigia kura chumbani kwa polepole.
Salute Mama nikienda Mpanda ntakuletea Mchele na ndizi za MweseSio hivyo ngoja nikuambie kitu ambacho nawafundisha kila Siku ila hamuelewi magufuli ni mwepesi Sana kupigwa chini kwa sababu Ya visas na kutaka kila anaemkosoa amdhalilishe.
Kumbuka makongoro aliposema Siku ile ile issue ya Simba kutaka kushuka daraja akasaidiwa na yanga asishuke ilimuuuuma saaaana magufuli maaana makongoro alimaaanisha kuwa hawataki kuona chadema inakufa, anahitaji chadema iwepo ili kuleta ushindani, ndicho alichomaanisha madaraka Kwa maaana nyingne akipinga ile hali Ya magufuli kutaka kuuwa upinzani.
Sasa baada Ya makongoro kumaliza kuongea baadae alikuja Magufuli kuongea akaiponda familia Ya Mwalimu kuwa waliogombea wakaambulia kura Tatu akazitaja, tena akawa anazitaja anacheka na akawa anazitaja Kwa kebehi ili kuwadhalilisha, hilo liliwauudhi Sana familia na wanajipanga kumwaaangusha.
Magufuli ni wa visas na vitina hataki hata kidogo wewe umpinge Au uupende upinzani, ndio maaana timunasema hafai na nirais kumtoa Kwa sababu hatumiii akiri kwenye siasa anatumia nguvu, angalia sasa kapoteza Kwa ile familia na ina watu wengi Sana mno siasa ni akiri yeye anatumia ukatari ili asishauliwe anapenda chuki.
Duh siasa siyo mchezo wa kitoto ...Lissu huyu huyu aliwahi kumtukana na kumdhalilisha Baba wa taifa....nimemkumbuka mtu mmoja aliyekwenda kwa Kardinali Pengo baada ya kumdhalilisha ya kumtukana Kardinali huyo kipindi Cha nyuma...tusubiri tuone hizo baraka au laana...yangu macho na masikio...Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Hivi mkuu uongo unakusaidia nini lkn?Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amekutana na familia ya Hayati Baba wa Taifa huko Mwitongo, sehemu ambayo alizaliwa na kuzikwa
Miongoni mwa wanafamilia waliowakaribisha ni pamoja na Mtoto wa Mwalimu Nyerere, Madaraka
View attachment 1582392
View attachment 1582397
View attachment 1582401
Kupitia Mtandao wa Twitter Lissu ameandika:
Sawa basi muulize jiweNikamuulize nini comrade hata mimi pia naweza kuwa ni uyo polepole unayetaka nikamuulize. Acha kuweweseka comrade.
Hakika.Umeshaanza kuweweseka
Ila Jiwe atakuwa ka mind sanaAtubu,kwani alishawahi kusema kuwa "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo" hii karma itatamtafuna bila kumbakiza
Woyoooooowhom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Hahahahahahahahhahahh😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Lumumba kamati roho mbaya wanabetuaje midomo!!
Kuitetea ccm ya magufuli unahitaji PhD ya uendawazimuUmeshaanza kuweweseka
Unaweweseka mkuu