Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu yenu. Jaribuni muone
Hivi hawezi kupiga kampeni bila mabunduki?Duh Magu kampeni zake hazina hata stategie kabisa kazi kuzungukwa na watu wenye mabunduki.
Jaribuni muone. Nawahakikishia mtapoteza wanachama zaidi ya milioni tano kwa hicho kitendo kidogo tu.Sasa kwanini anamkaribisha mtu anayetusumbua hivi !.Tunakosa usingizi,presha zinapanda bila utaratibu & halafu unakula na kunywa na kubwa la maadui.
Awamu ya 5 imejitahidi sana kutufarakanisha.Nakumbuka wakati muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya pili ya JK, KUB alikua Hamad Rashid Mohamed wa CUF. Siku ya Alhamisi ambayo ni siku ya maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, KUB alikua akipata kifungua kinywa nyumbani kwa PM na wakiondoka wote kwenda Bungeni.
Utamaduni huu umekomeshwa kikatili sana. Sasa hivi sio tu dhambi kumtembelea mtu mnae tofautiana itikadi za chama bali pia ni dhambi kumjulia hali mgonjwa hospitakini kama si wa chama chako!!! Na tunapoelekea hata kuzikana watu wa vyama tofauti itakua ni kosa la kimaadili la kuadhibiwa na chama. Nani katufikisha huku? Tusikubali
Sio hivyo ngoja nikuambie kitu ambacho nawafundisha kila Siku ila hamuelewi magufuli ni mwepesi Sana kupigwa chini kwa sababu Ya visas na kutaka kila anaemkosoa amdhalilishe.Madaraka Nyerere kasaliti chama huyu tumpokonye kadi yetu mara moja.
Sasa comrade tundu Lissu kulala chumbani kwa Madaraka Nyerere inamsaidia nini babu na bibi yako walioko kijijini?Mama Maria Nyerere kajibu kwa vitendo baada ya kushurutishwa aende mkutano wa CCM kuongeza vichwa kisha kulazimishwa kuongea
AmeshapitishwaYes Tundu ndio rais