Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

"Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kua hayapo"- Mwl. Nyerere

Nyie endeleeni tu mkuu ila tunaiba na kupora future ya watoto wetu pale tutakapowarithisha nchi iliyojaa chuki, roho mbaya na visasi. Sumu hii ikikolea na kua utamaduni itachukua miaka miingi sana kuiondoa
Wanaosema maneno kama haya yako ni wale walikuwa wezi na mafisadi wa nchi hii walitaka waachwe tu ili waendelee kutuibia. Lazima mshughulikiwe mpaka mwache wizi na ufisadi wa mali za watz.
 
Mwaka huuu watajua Mara ni Mkoa gani, Hakuna kupora ushindi wa lisu Mwaka huuu, hata hao wagombea wa Ccm baadae watatimuka wenyewe toka Mkoa wa Mara tutabaki na wanaukombozi tu
 
Hapo umecheza bingo, maana kuna wale waliotaka kutumia familia hii kwa maslahi yao binafsi. Sasa umeweka balance.

Hii familia haipaswi kutumika kimaslai hata kidogo..Ni familia ya kuheshimika sana.
 
Acha uongo wakati mpaka wabunge wanaoana bila kubaguana. Upo Tanzania kweli? Muulize Zitto amezaa na mbunge wa CCM pia mke wa Kafulila ni Chadema bila kusahau mke wa msemaji wa Chadema ni CCM! Acha kubwabwaja kama hujui. Mimi mwenyewe mke wangu ni Chadema. Pia angalia video clip hapa chini. Tena sasa hivi watz wa vyama tofauti wanashirikiana kuliko hapo awali. Ndiyo maana namsikitikia msaliti Lissu anapowaambia eti watz waingie barabarani labda alete maburuki toka nje ya nchi. Atashangaa baada ya tarehe 28/10/2020.

View attachment 1582506

..Mzee Bulembo hamtaki mkwe wake Zitto kwasababu yuko upinzani.

..Kafulila na Kishoa walioana wakati wote walipokuwa ktk upinzani.

..sasa hivi ccm wanamfanyia fujo na kumdhalilisha Jesca Kishoa bila kujali kwamba mumewe ni mwana-ccm.

..Jiwe ameleta chuki kubwa na tabia za ukatili ktk siasa zetu.
 
Hapo wafuasi wa Lissu ndio mnapokwama, kwa akili yako unafikiri nyomi ndo ushindi? Hukujifunza kwa Lowassa? Una fikra finyu sana comrade.
Kwa hiyo wasanii wanini kwenye kampeni kama siyo kuvuta watu, nyomi?! Ndo maana nakuambia kiwango chako bado! Ujinga wa Polepole hufiki Hata robo!
 
..Mzee Bulembo hamtaki mkwe wake Zitto kwasababu yuko upinzani.

..Kafulila na Kishoa walioana wakati wote walipokuwa ktk upinzani.

..sasa hivi ccm wanamfanyia fujo na kumdhalilisha Jesca Kishoa bila kujali kwamba mumewe ni mwana-ccm.

..Jiwe ameleta chuki kubwa na tabia za ukatili ktk siasa zetu.
Labda wewe na familia yako. Hiyo video clip niliyoweka nayenyewe unaisemeaje?
 
Kwa hiyo wasanii wanini kwenye kampeni kama siyo kuvuta watu, nyomi?! Ndo maana nakuambia kiwango chako bado! Ujinga wa Polepole hufiki Hata robo!
Wasanii wamewakataa Chadema hilo lipo wazi, kanisani kuna kengele misikitini kuna adhana yote iyo kuwavuta watu ili wasikie ujumbe kusudiwa ndio itakua kwenye siasa.

Jaribu kuwa na Fikra comrade.
 
..Mzee Bulembo hamtaki mkwe wake Zitto kwasababu yuko upinzani.

..Kafulila na Kishoa walioana wakati wote walipokuwa ktk upinzani.

..sasa hivi ccm wanamfanyia fujo na kumdhalilisha Jesca Kishoa bila kujali kwamba mumewe ni mwana-ccm.

..Jiwe ameleta chuki kubwa na tabia za ukatili ktk siasa zetu.
Dawa Ya huyu mtu ni kumuonda Kwa kuungana, Kwan kuunganisha watu pamoja na kumuondoa Kwa nguvu
 
Hakuna atakaechagua mateso na manyanyaso
Jipe moyo comrade
JamiiForums-1558112830.jpg
 
Jk alikuwa Mtoto wa Mwanasiasa, Mjukuu wa Akida, Mwanajeshi Mstaafu, Mwana Kijitonyama wa tangu Kibaha Secondari n.k
Nakumbuka wakati muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya pili ya JK, KUB alikua Hamad Rashid Mohamed wa CUF. Siku ya Alhamisi ambayo ni siku ya maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, KUB alikua akipata kifungua kinywa nyumbani kwa PM na wakiondoka wote kwenda Bungeni.

Utamaduni huu umekomeshwa kikatili sana. Sasa hivi sio tu dhambi kumtembelea mtu mnae tofautiana itikadi za chama bali pia ni dhambi kumjulia hali mgonjwa hospitakini kama si wa chama chako! Na tunapoelekea hata kuzikana watu wa vyama tofauti itakua ni kosa la kimaadili la kuadhibiwa na chama. Nani katufikisha huku? Tusikubali.
 
Back
Top Bottom