Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee una uhakika Lisu alilala nyumbani kwa mama Maria?Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Wivu auBwashee una uhakika Lisu alilala nyumbani kwa mama Maria?
Hujajibu swali!Wivu au
Roho imemuuma...[emoji23][emoji23][emoji23] haamini anayoelezwaWivu au
MachoWe unaonaje .?
Jamaa anapuyanga tu huko, ona anachohutubiaUamuzi ule ulikuwa fair kabisa, Nyerere kwa nafasi yake binafsi ndie alipigania mfumo wa vyama vingi Tanzania wakati wengi ndani ya chama chake walikuwa hawautaki.
Japo binafsi nasubiri kuona reaction ya jamaa yule baada ya tukio lile hasa alivyo na tabia ya kisirani.
Huo ni ujumbe kwa wazalendo maslahi,kuwa mzalendo halisi anajulikana hivyo watafute mbinu nyingine ya kukubalika na jamiii.Ushauri wangu kwao ,wageukie agenda ya uhuru,haki na maendeleo ya kweli,waache ubaguzi.Hiyo ndio dawa na sii kutafuta mbeleko ilipo wakati huu.Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?