Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uamuzi ule ulikuwa fair kabisa, Nyerere kwa nafasi yake binafsi ndie alipigania mfumo wa vyama vingi Tanzania wakati wengi ndani ya chama chake walikuwa hawautaki.

Japo binafsi nasubiri kuona reaction ya jamaa yule baada ya tukio lile hasa alivyo na tabia ya kisirani.
 
Marehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
 
Uamuzi ule ulikuwa fair kabisa, Nyerere kwa nafasi yake binafsi ndie alipigania mfumo wa vyama vingi Tanzania wakati wengi ndani ya chama chake walikuwa hawautaki.

Japo binafsi nasubiri kuona reaction ya jamaa yule baada ya tukio lile hasa alivyo na tabia ya kisirani.
Jamaa anapuyanga tu huko, ona anachohutubia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Nawapenda sana watani zangu Wagogo, naamini kabisa mtanipa kura, tena inawezekana Lusinde akanitafutia Kasichana kazuri ka Kigogo au mnasemaje Wagogo?, si mtanipa?, zege halilali, RC Dodoma mwagize Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma huu mwezi wa tisa ndani ya miezi miwili Barabara ya Mlowa kwenda Mvumi itangazwe tenda kwa ajili ya kujengwa kwa kiwango cha lami ili Wagonjwa wanaougua hapa wawe wanapelekwa Mvumi, tunataka Jimbo hili ambalo lipo karibu na Makao Makuu ya Nchi tulibadilshe liwe lenye kunusanusa makao Makuu”
Jpm akiwa Mtera leo
 
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa

Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?

Huo ni ujumbe kwa wazalendo maslahi,kuwa mzalendo halisi anajulikana hivyo watafute mbinu nyingine ya kukubalika na jamiii.Ushauri wangu kwao ,wageukie agenda ya uhuru,haki na maendeleo ya kweli,waache ubaguzi.Hiyo ndio dawa na sii kutafuta mbeleko ilipo wakati huu.
 
Back
Top Bottom