Hii ndo shida ya misukule ya lumumba hujui hata lugha rasmi za taifa ni zipi???Ni moja tuu.. Kiswahili na hiyo aliyoitumia ni wachache Sana wanaimudu na Kwa mujibu wa mwandishi tuliowengi hatuwezi ata kusalimia Kwa lugha hiyo achilia mbali kung'amua vocabularies alizotumia.. kumbuka mchezo unaoendelea Kwa SASA unahitaji kugusa walio wengi.. unless Hana haja na sie tulio wengi.
Baba Nyerere, Muombee mwanao Tundu Lissu, Mzalendo #1
Ya kwangu unayo wewe ambayo ndio nakutahadharisha ukitulize isije kutokaWewe ya kwako imeshatoka?
Ya kwako umeibebea mgongoni!Ya kwangu unayo wewe ambayo ndio nakutahadharisha ukitulize isije kutoka
Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.
Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.
Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.
Maendeleo hayana vyama!
Lissu amemnena vibaya Magufuli kwa sababu kweli ni Mtu mbaya, Wananchi wa Chato hawajakasirika kwa sababu Wanamjua kweli ni Mtu mbayaWakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.
Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.
Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo hapo Ufipa mmejazana wapumbavu maana hamko huru!Tatizo lenu ni moja tu, UKWELI mnauita matusi, kwakuwa wana chato na hao wa butiama wanaelewa anachoongea, ndo maana wakamualika wakala na kunywa pamoja kwani ni "yeye wamtazamiaye"... laiti ingekuwa vinginevyo basi na wasingesogelea hata motokari aliyofika nayo.
Upumbavu ukiwaondoka mtakuwa huru.
Labda kijiwe cha mama yako, jana nilikwambia akikanyaga CHATO atapopolewa na mawe ukabisha nini kilitokea??vijiwe vyote huku CHATO ni habari ya lissu TU...
Mbona CCM inaongoza kwa kutenda mabaya?Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.
Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.
Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.
Maendeleo hayana vyama!
si mlipanga .....unataka na wewe tukuite nabii kwa drama za kupangwa mbona alifanya mkutano vizuri tu sema mda tu ila angepata mda mgeteseka maaana nyumbani kwenu na kuleta vitu vyote bado wanamuona pombe ni mwaribifu na muoneajiLabda kijiwe cha mama yako, jana nilikwambia akikanyaga CHATO atapopolewa na mawe ukabisha nini kilitokea??
Pamoja na kusomba watu kutoka Katoro lakini bado mkapopolewa na mawe ya kutosha.
Kale kajmaa kenu milikokarekodi et kansema nimetoka Katoro kuja kumsapot Lissu ??
we kunguru mbona huku kemea kitendo cha baadhi ya misukule kurusha mawe kwenye msafara?Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.
Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.
Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna tofauti kati ya kumpokea mgeni na kumpa " kura"Lissu ameamua kuvuruga ngome ya JPM kanda ya ziwa, na amefanikiwa kwelikweli.