Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Ni moja tuu.. Kiswahili na hiyo aliyoitumia ni wachache Sana wanaimudu na Kwa mujibu wa mwandishi tuliowengi hatuwezi ata kusalimia Kwa lugha hiyo achilia mbali kung'amua vocabularies alizotumia.. kumbuka mchezo unaoendelea Kwa SASA unahitaji kugusa walio wengi.. unless Hana haja na sie tulio wengi.
Hii ndo shida ya misukule ya lumumba hujui hata lugha rasmi za taifa ni zipi???
 
Msaliti wa Nchi hana hata aibu kulala kwa Baba wa Taifa
 
Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.

Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.

Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.

Maendeleo hayana vyama!
 
ninyi watu wa fisiemu mtandaoni ndio mlitafsiri jinsi mlivyotaka ninyi, ila uhalisa wake wananchi waliuelewa ndio maana akapata mapokezi huko. acheni propaganda. yaani nimbake mkeo afu kesho kutwa unipokee nyumbani kwako? sio dunia hii
 
... kwenye Bunge la Katiba Mh. Lissu aliweka wazi ukweli uliokuwa umefichwa! Kwa mfano, enzi za Nyerere ulimi ukiteleza ukatamka neno "Tanganyika" tena ukiwa na mkeo shambani mnalima moja kwa moja unawekwa detention.

Sasa upuuzi ule wasingetokea majemadari kama akina Lissu tungeendelea kuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe kisa kuhofia "miiko" ya CCM kana kwamba ndio msahafu wa taifa! Ujinga ulioje!
 
Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.

Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.

Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.

Maendeleo hayana vyama!

Tatizo lenu ni moja tu, UKWELI mnauita matusi, kwakuwa wana chato na hao wa butiama wanaelewa anachoongea, ndo maana wakamualika wakala na kunywa pamoja kwani ni "yeye wamtazamiaye"... laiti ingekuwa vinginevyo basi na wasingesogelea hata motokari aliyofika nayo.

Upumbavu ukiwaondoka mtakuwa huru.
 
Lissu amemnena vibaya Magufuli kwa sababu kweli ni Mtu mbaya, Wananchi wa Chato hawajakasirika kwa sababu Wanamjua kweli ni Mtu mbaya
 
Tatizo lenu ni moja tu, UKWELI mnauita matusi, kwakuwa wana chato na hao wa butiama wanaelewa anachoongea, ndo maana wakamualika wakala na kunywa pamoja kwani ni "yeye wamtazamiaye"... laiti ingekuwa vinginevyo basi na wasingesogelea hata motokari aliyofika nayo.

Upumbavu ukiwaondoka mtakuwa huru.
Kwahiyo hapo Ufipa mmejazana wapumbavu maana hamko huru!
 
vijiwe vyote huku CHATO ni habari ya lissu TU...
Labda kijiwe cha mama yako, jana nilikwambia akikanyaga CHATO atapopolewa na mawe ukabisha nini kilitokea??

Pamoja na kusomba watu kutoka Katoro lakini bado mkapopolewa na mawe ya kutosha.

Kale kajmaa kenu milikokarekodi et kansema nimetoka Katoro kuja kumsapot Lissu ??
 
Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.

Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.

Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona CCM inaongoza kwa kutenda mabaya?
 
Labda kijiwe cha mama yako, jana nilikwambia akikanyaga CHATO atapopolewa na mawe ukabisha nini kilitokea??

Pamoja na kusomba watu kutoka Katoro lakini bado mkapopolewa na mawe ya kutosha.

Kale kajmaa kenu milikokarekodi et kansema nimetoka Katoro kuja kumsapot Lissu ??
si mlipanga .....unataka na wewe tukuite nabii kwa drama za kupangwa mbona alifanya mkutano vizuri tu sema mda tu ila angepata mda mgeteseka maaana nyumbani kwenu na kuleta vitu vyote bado wanamuona pombe ni mwaribifu na muoneaji
 
Wakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.

Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.

Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.

Maendeleo hayana vyama!
we kunguru mbona huku kemea kitendo cha baadhi ya misukule kurusha mawe kwenye msafara?
 
Back
Top Bottom