Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Jiwe kafura kanuna kanyong'onyea,kalegea tepetepe baada ya kusikia watoto wa mwalimu wamemuomba Lissu akalale kwao,wakati Jiwe alimforce bi mkubwa wa taifa aende pale mkendo akaongeze idadi ya vichwa.
Amechoka
IMG_20200926_181306.jpeg
 
Sasa kwanini anamkaribisha mtu anayetusumbua hivi! Tunakosa usingizi, presha zinapanda bila utaratibu & halafu unakula na kunywa na kubwa la maadui.
Hivi kwann hii familia inamkaribisha mtu anayetumika na mabeberu?...alisikika jiwe akimuuliza Bashiru.
 
Wazungu wanasema never say never yaani usiseme sita kuja kufanya kitu fulani maishani mwangu.

Gwajima kakaa meza moja na Kardinali Pengo, Lissu kalala Mwitongo kwa Mwalimu.

Kesho hakika ni “fumbo”.
 
Iy
Wakuu,

Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.

Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,

Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.

Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."

View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Iyo ndo demokrasia
 
Sio hivyo ngoja nikuambie kitu ambacho nawafundisha kila Siku ila hamuelewi magufuli ni mwepesi Sana kupigwa chini kwa sababu Ya visas na kutaka kila anaemkosoa amdhalilishe.

Kumbuka makongoro aliposema Siku ile ile issue ya Simba kutaka kushuka daraja akasaidiwa na yanga asishuke ilimuuuuma saaaana magufuli maaana makongoro alimaaanisha kuwa hawataki kuona chadema inakufa, anahitaji chadema iwepo ili kuleta ushindani, ndicho alichomaanisha madaraka Kwa maaana nyingne akipinga ile hali Ya magufuli kutaka kuuwa upinzani.

Sasa baada Ya makongoro kumaliza kuongea baadae alikuja Magufuli kuongea akaiponda familia Ya Mwalimu kuwa waliogombea wakaambulia kura Tatu akazitaja, tena akawa anazitaja anacheka na akawa anazitaja Kwa kebehi ili kuwadhalilisha, hilo liliwauudhi Sana familia na wanajipanga kumwaaangusha.

Magufuli ni wa visas na vitina hataki hata kidogo wewe umpinge Au uupende upinzani, ndio maaana timunasema hafai na nirais kumtoa Kwa sababu hatumiii akiri kwenye siasa anatumia nguvu, angalia sasa kapoteza Kwa ile familia na ina watu wengi Sana mno siasa ni akiri yeye anatumia ukatari ili asishauliwe anapenda chuki.
[SUP]Basi kwa kuwa jiwe amelikoroga ngoja alinywe[/SUP]
 
Hivi hilo neno sumptuous Magufuli anaelewa maana yake?

sasa kama Rais haelewi, tena mwenye PhD haelewi hilo neno, nani atalielewa? Mwandishi anamwandikia Kiingereza Mtanzania gani atakaelewa ???

Hivi Donald Trump anaweza kujifunza Kiarabu halafu akaanza kuwandikia Wamarekani Twitter za Kiarabu ????
 
Nikikutajia itakusaidia nini wewe? hatufanyi kazi kwa manufaa ya ccm bali tunafanya kazi kwa maendeleo ya watanzania kwa ujumla.

Magufuli ni chaguo la wengi na tutamchagua kwa kura nyingi sana.
Nyoko zako wewe, unahangaika na nini kwenye bandiko langu kenge wewe, watanzania wanajadili Namna Ya kumuondoa huyu katiri, muuwaji, alieajiri kikundi cha kigaidi nakukuita wasiojulikana, Halafu unaleta usenge wako hapa, wewe umefurahia wale aliowauwa? Umefurahia wale aliopora Mali zao? Unafurahia kuona mtu katiri muuwaji Kama Magufuli akiwa kwenye madaraka? Nyoko Ya mama yako wewe
 
Tundu Lissu ahaminiki alikuwa anamtukana Nyerere leo anajifanya kulala kwake hiyo laana itawagusa hadi waliomkaribisha.
Alimsema Lowassa fisadi lakini alikuwa mstari wa mbele kumsafisha alipohamia chadema na kumgeuka dr. Slaa
 
Tafadhali Sana wakuu huu uzi haruhusiwi kuchangia mwanachama wa watu wasiojulikana
 
Nyoko zako wewe, unahangaika na nini kwenye bandiko langu kenge wewe, watanzania wanajadili Namna Ya kumuondoa huyu katiri, muuwaji, alieajiri kikundi cha kigaidi nakukuita wasiojulikana, Halafu unaleta usenge wako hapa, wewe umefurahia wale aliowauwa? Umefurahia wale aliopora Mali zao? Unafurahia kuona mtu katiri muuwaji Kama Magufuli akiwa kwenye madaraka? Nyoko Ya mama yako wewe
Matusi na mapovu hayakusaidii kitu comrade. Watanzania wanaimani kubwa sana na CCM na watatupa kura nyingi ili tushinde kwa kishindo.

Eti unafanya nini kwenye bandiko langu nakupa za uso ukajiharishie vizuri.
 
Matusi na mapovu hayakusaidii kitu comrade. Watanzania wanaimani kubwa sana na CCM na watatupa kura nyingi ili tushinde kwa kishindo.

Eti unafanya nini kwenye bandiko langu nakupa za uso ukajiharishie vizuri.
Hao watanzania ni wapi? maana naona woote kwenye bandiko langu wanakushushua, wote wanamkataa huyo unaemtetea sasa watanzania wapi? Angalia kwenye fb kura za kiutafiti kila anaeweka bandiko lisu ni asilimia tisini, ingia pia tweeter ya MO uone kaweka Halafu anahoji watanzania inamaana hamtaki magufuli mbona hamlike mnatweeter tu kwa lisu, nenda uona, njooo huku tarime uone wameanza kujifisha wenyewe wale ambao walikuwa na uthubutu wa kumtetea huyo jambaz wenu
 
Nakumbuka wakati muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya pili ya JK, KUB alikua Hamad Rashid Mohamed wa CUF. Siku ya Alhamisi ambayo ni siku ya maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, KUB alikua akipata kifungua kinywa nyumbani kwa PM na wakiondoka wote kwenda Bungeni.

Utamaduni huu umekomeshwa kikatili sana. Sasa hivi sio tu dhambi kumtembelea mtu mnae tofautiana itikadi za chama bali pia ni dhambi kumjulia hali mgonjwa hospitakini kama si wa chama chako! Na tunapoelekea hata kuzikana watu wa vyama tofauti itakua ni kosa la kimaadili la kuadhibiwa na chama. Nani katufikisha huku? Tusikubali.
Awamu ya kikatili imetutenganisha na kutujengea uadui mkubwa sana
 
Back
Top Bottom