Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa nyerere waligoma kutoa rushwa kwa wajumbe, wajumbe wakatoa adhabu kali kwao.Hasira zao za kushindwa tu kura za maoni
Watoto wa Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro na Madaraka, wamepata kura chache katika kura za maoni Jimboni kwao Butiama, Mara.
Jimbo la Butiama lilikuwa na wagombea 59 na wajumbe waliopiga kura walikuwa 555 na matokeo yaliongozwa na Jumanne Sagini aliyepata kura 84, akifuatiwa na Frank Mahemba aliyepata kura 80, wa tatu akiwa Joseph Nyamboha kura 46.
Katika kura hizo za maoni Makongoro Nyerere alipata kura 5 na Madaraka Nyerere aliambulia kura 2. Makongoro Nyerere aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha kupitia NCCR-Mageuzi.
Utafiki wako na Mayala utakuharibu.Bwashee una uhakika Lisu alilala nyumbani kwa mama Maria?
Uliwahi kuwanunulia hata shuka wewe kula kulala?Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira
Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
Wenye Baba hawajasikia hizo kashfa.Lisu si alimkashifu Baba wa Taifa kwenye Bunge maalum la Katiba,imekuaje leo?
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Shikamoo Mama Mkubwa....wameona acha tuu wamkaribishe ili ajifunze kuwa na breki mdomoni.Wenye Baba hawajasikia hizo kashfa.
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Wewe mtu back ndo useme alimtukana???? Kweli CCM hamna akili!! Ndo wameshamkalibisha kwao na amelala kwao. Sasa utafanyeje?Hayajitambui, mtu alimtukana baba yao hadharani kabisa
Genta the Genius. Hamna mtu atakayeponzwa. Magufuli sio Raisi wa Tanzania 2020-2025. Visa si vyake anarudi navyo chato.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
Yaani CCM mnategemea mtuwekee mtu muuaji, fedhuli, mzandiki, mwenye chuki, roho mbaya na visa si visivyo vya kawaida alafu mnategemea familia ya Mwl Nyerere imuunge mkono????Kwa nafasi ya Familia ya Nyerere hawatakiwi kuwa na upande. Kwa sababu hata mfumo wa vyama vingi ulihasisiwa na Nyerere na hupo kisheria. Na Nyerere ni Baba wa Taifa.
Ndio angemkaribisha. Kwani kuna tatizo lolote ndugu yangu???Kuna Swali nimeuliza katika hiyo 'post' yangu hujaliona au? Je, Madaraka 'angepitishwa Kugombea 'Ubunge' na CCM 'angemkaribisha' Tundu Lissu?
Alimtukana tusi gani??? Kama wanafamilia hawajaliona hilo tusi wewe ni nani utushawishi???Mara nyingi nimemsikia Tundu Lisu alimtukana na kumdhihaki Nyerere leo amethubutu kwenda kulala kwake labda anatafuta kiki ya kuomba kura lakini kesho utasikia tena akimtukana na Mbowe ajiandae naye lazima atatukanwa tu subirini.
Ni kweli. Mbaya sana. Lakini alitukana zamani. Na si ajabu ameenda pale kuomba msamaha. Mwingine alimburuza mama yao hivi karibuni. Kisha akawakejeli vibaya wao wenyewe juzi tu. Hapo vipi?Hayajitambui, mtu alimtukana baba yao hadharani kabisa