Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Sawa lakini kwanini anakazana kuamzisha uzi uwanjani hakuna watu ?Mkuu taratibu,mleta mada ameeleza kuwa hayo ni maandalizi ya K umpokea Lissu jimbo la Musoma Mjini,LISSU yuko njiani kuelekea huko
Time will tellLowasa akishinda na maalim Seif alishinda na Tundu Lissu anaenda kushinda........
Lowasa alikua nyanya nyanya na alikua bado Mwana ccm..... Tundu Lissu yuko ngangali nadhani umemsikia
Kasema..... Sasa baaasssss....... Tumechoka
Sawa lakini kwanini anakazana kuamzisha uzi uwanjani hakuna watu ?
Wanamshinikiza Kaijage amwengue Lissu , hawana ujanja , wamekaliwa kooni , hali mbaya , game imechenji .
Aliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii
Mlifanyà nini na tallying stations? Maneno mengi tu lakini level field hamuitaki. Safari hii Mkurugenzi wa NEC akifanya ujinga lazima aoshe rungu ya mtu.Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Time will tell and read between the linesMlifanyà nini na tallying stations? Maneno mengi tu lakini level field hamuitaki. Safari hii Mkurugenzi wa NEC akifanya ujinga lazima aoshe rungu ya mtu.
Harafu musoma sehemu gani anakuja mbona mi nipo harafu sioni harakati zozote
Ujinga mzigo mbona husemi kuhusu jiwe kuishi na betriAliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii
Lakini mgombea sio yule yule wa kumwachia Mungu. Lowasa anaogopa kulala mahabusu. Lisu haogopi.Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Unamaanisha ccm na dola watafanya jinai ili waendelee kubaki madarakani? Kwamba uchaguzi hautakuwa huru na wa haki kama ilivyokuwa 2015?Time will tell and read between the lines
Ngoja tuone to fight a battle pia unahitaji hata wafuasi wawe na roho ngumu kama wewe siyo wale wanaona polisi wakifanya mchaka mchaka basi siku ya maandamano hakuna hata anayejitokeza barabaraniLakini mgombea sio yule yule wa kumwachia Mungu. Lowasa anaogopa kulala mahabusu. Lisu haogopi.
Harafu musoma sehemu gani anakuja mbona mi nipo harafu sioni harakati zozote
Na kamanda ukiwa na roho nyepesi kama ya Lowasa huwezi kupata wafuasi shupavu. Uliona ile mikwala ya Sirro watu kutoenda airport. Watu wameenda na ka freeze. Alikuwa ana beep na karejeshewa. Lissu sio Mange Kimambi!Ngoja tuone to fight a battle pia unahitaji hata wafuasi wawe na roho ngumu kama wewe siyo wale wanaona polisi wakifanya mchaka mchaka basi siku ya maandamano hakuna hata anayejitokeza barabarani
Time will tell ngoja tuoneNa kamanda ukiwa na roho nyepesi kama ya Lowasa huwezi kupata wafuasi shupavu. Uliona ile mikwala ya Sirro watu kutoenda airport. Watu wameenda na ka freeze. Alikuwa ana beep na karejeshewa. Lissu sio Mange Kimambi!
Bora Mkuu umenielekeza vizuriOfisi za Chadema-Nyakato